kidogo

The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Asante kwa aliyetuletea Fiston Mayele, Yanga tulikosa mshambuliaji wa aina yake kwa muda mrefu kidogo

    Habari wanamichezo, Juzi niliangalia goli alilofunga Mayele, kasi yake alvyopokea mpira, utulivu wake, akili yake ya kufunga, control yake hakika niseme asante Engineer Hersi kwa kutuletea huyu mtu. Wanayanga tulimkosa huyu mtu kwa muda mrefu sana tangu Yanga ya Donald Ngoma nadhani hatujapata...
  2. JamiiForums Tanzania VIDEO: Sabaya hatakiwi na hastahili kuonewa huruma hata kidogo

    Wakina mama wanamlilia Sabayahuko mahakamani kesi yake unavyozidi pigwa kalenda. Nasema hivi.. huyu Sabaya hastahili kuonewa huruma na mtu yeyote kwani alikuwa amejaa dharau kali, jeuri kiburi ma majivuno. Kama aliweza muonesha hadharani mkuu wake wa mkoa Anne Mngwira (RIP) dharau ya wazi...
  3. JamiiForums Tanzania Japokuwa Madini ya Zinc huhitajika kwa kiasi kidogo mwilini yana faida kubwa sana kiafya

    Madini ya zinc huhitajika kwa kiasi kidogo mwilini lakini huwa na faida kubwa sana kwa afya. Kwa mujibu wa National Institutes of Health, wanawake wenye umri wa miaka 19 na kuendelea huhitaji kiasi cha 8 mg kila siku huku wanaume wakihitaji kiasi cha 11 mg. Wakati wa ujauzito na unyonyeshaji...
  4. JamiiForums Tanzania Tuwe wawazi kidogo, wazo la Ujamaa halikuwa jema kwa ukubwa

    Sawa, najua utachoanza kusema, ooh ukabila ulikomeshwa, hakuna civil war, mabeberu wangepindua tena nchi hii, etc. Lakini twende na uhalisia wa matokeo, ni nchi gani iliyokuwa mfuasi wa ukomyunisti (kutoka kwa Mchina na Mrusi) leo ina maendeleo yenye kasi kubwa, bali tu kuwa wahanga wa sera zao...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Unashindwa Kuweka Akiba Ya Kipato Chako Kidogo? Tumia njia hizi

    “Kweli natafuta na napata… lakini fedha hazitoshi kabisa…”. Hizo ni kawaida kuzisikia kauli hizi katika maisha ya kila siku ya watanzania wengi hususan huku uswahilini kwetu ambapo wengi tunafanya kazi za kipato cha chini. Ingawa kuweka akiba ni mtihani mkubwa kwa watanzania wengi, lakini ni...
  6. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo kifinyo hiki cha Polisi huko Zanzibar

    Hiki ni kipigo alichopata Mazrui kwenye uchaguzi uliopita Zanzibar, leo ni Waziri wa Afya! Kuna wengine hawajawahi kutolewa hata kucha na bado wanajiita wanaharakati.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tuliwaonya vijana wanunue magari yanayotumia mafuta kidogo hawakutusikia

    Yaani vijana wa siku hizi wabishi na wapenda sifa za kijinga. Utamkuta kijana anakunja laki 8 kwa mwezi baada ya kodi, makato na tozo Yani kitaa hatuna amani fujooooo. Tukawaonya na kuwashauri acheni kununua magari yanayotumia mafuta mengi baneni matumizi kwa kununua IST, Passo, vitz na...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Wadau wa football tujadili kidogo

    Nini maoni yako wewe?
  9. JamiiForums Tanzania Utafiti usio rasmi: Kuna vurugu na malumbano kidogo sana ama hakuna kabisa kwenye ndoa zenye wanaume wanaovuta bangi tofauti na wanaokunywa pombe

    Hata kwa nchi zilizoruhusu bangi hesabu zinaonesha ndoa zenye wavuta bangi ni nadra sana kuwa na matatizo tofauti na ndoa za walevi wa pombe ambazo zimejaa kesi kibao za kuvunjika kwa ndoa, kupigana, kutukanana hadharani, watoto kupigwa hovyo, n.k. Tukija hata hapa bongo tushazoea kuona pombe...
  10. JamiiForums Tanzania Tusipende kutumia msemo kwamba Mungu amempa huyu na fulani hajampa, Mungu hana upendeleo na huenda anahusika kidogo sana kwenye mafanikio yetu duniani

    Msemo huu hupendwa sana kutumika hasa na watu kanda ya mikoa ya pwani ya bahari. Utasikia hili sio fungu langu, fulani kapewa fulani kanyimwa. Hizi ni fikra za kimasikini sana za kumfanya mtu anafikia mpaka kuridhika na hali yake na kushindwa kupambana kwa njia tofauti za kufikia malengo yake...
  11. JamiiForums Tanzania TAMISEMI kuweni na utu japo kidogo

    Leo nikiwa zangu Maeneo ya Mtaa wa Isevya mjini Tabora nimekutana na mlinzi mmoja wa shule ya sekondari ya serikali akaniambia ya kwake ya moyoni kuwa ana miezi miwili sasa hajalipwa yaani wa Saba na wa nane. Akasema mhasibu wa shule Kila akimpigia anajibiwa mfumo haujafunguliwa wa kuwawezesha...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Jamani hili huko Liberia lilitokana na nini? Picha inatisha kidogo

    Ilitokana na nini? Cabinet ministers lined up for execution after a coup d'état in Liberia, 1980 A Liberian army soldier stands ready to execute a former cabinet minister following the 1980 coup. The minister in the photo: Cecil Dennis. The 66-year old president was savagely murdered by...
  13. JamiiForums Tanzania Tutaniane kidogo wakulungwa

    Unaesoma post hii wewe ni mbwa koko
  14. JamiiForums Tanzania Anae fahamu hizi simu za Kyocera BASIO 3 anipe mwanga kidogo kuzihusu nisije pigwa za kichwa PLEASE

    Nimezikuta mjini unguja zinauzwa 90k mpaka 100k nimeingia google nimekuta GSM arena hawajazifanyia review na ni simu ya 2017-2018 na kwenye baadhi ya apps zimeandikwa kichina nimaogopa nisije yakanyaga nikavuka zangu maji nikaondoka lakini hivi karibuni nitaenda tena huko Zanzibar sasa nahitaji...
  15. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, kuongeza sifuri kwa mgongo wa tozo ni kuendeleza mateso kwa wananchi

    Kuwabebesha wananchi tozo na kodi nyingi sio suluhisho lenye tija la kuiongezea nchi mapato, ni kuendelea kuwatesa. Mwigulu Nchemba anachojua ni kuongeza sifuri, hana ubunifu wowote ule. Kama akiendelea kufanya anayoyafanya sababu ndo mwisho wake wa kufikiri ulipofikia, atawatesa sana wananchi...
  16. JamiiForums Tanzania Form six waliopungukiwa sifa kidogo jiungeni foundation program

    Kama wewe ni mhitimu wa Kidato cha Sita umepata DEE, EEE, CSS, EDS, ESS, DSS, EES, EEF, DEF, kwa ufupi, kama huna D mbili kwenye masomo yako lakini una Pass Moja na Subsidiary Moja jiunge Foundation Program ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ili upate sifa ya kujiunga Degree katika vyuo vikuu...
  17. JamiiForums Tanzania Mitindo ya Koffi Olomide siielewi hata kidogo

  18. JamiiForums Tanzania Nawaza; Sijawahi kubahatika kusikia au kuona msiba wa Albino

    Wasssalaaaaaaam wazeeee!!!! Katika maisha yangu yote mpaka nimefika umri huu sijawahi kubahatika kusikia au kuona msiba ambao aliefariki ni albino. Kuna maalbino kadhaa mitaani nimeishi nao, nimefanya nao kazi , mpaka wengine nimesoma nao kabisa lakini unakuta gafla tu bin vuu mchizi...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake, hata kama mmetofautiana na waume zenu msiwaseme mbele za watu

    Peace be with you all, Weekend ya majuzi nilikua kiwanja flani ndani ya kitovu cha mji wa utalii Tanzania, nikiwa peke yangu katika kujipumzisha mwisho wa week. Ndani ya lounge ya hotel hii kilitokea kihoja kilichowastaajabisha wengi pale hotelini ila mimi sikushangaa maana nawajua wanamake na...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku?

    Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku? Michango yenu nitaishukuru sana tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…