kidogo

The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.

View More On Wikipedia.org
  1. ward41

    JamiiForums Tanzania Turudi Nyuma Kidogo

    Jamaa alionywa lakini
  2. Kaka Ibrah

    JamiiForums Tanzania Mgeni kidogo

    Naitwa Kaka Ibrah, naombeni ushirikiano wa karibu kutoka kwenu, shukrani.
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Dk. Mwaka, tumia busara kidogo, namshauri RPC au RC wamuite na kumtaka aombe radhi, hii amani imepatikana kwa gharama

    Namshauri Dk mwaka aombe radhi tu, hakuna atakachopungukiwa. Analeta malumbano yasiyo na msingi. Namshauri Mkuu wa Mkoa amwite na kumnasaha aombe radhi, ikishidikana RPC amwite kwa mahojiano, maana analeta viashiria vya uvunjifu wa amani nchini. Ahojiwe,labda anatumika na kundi ambalo...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asante kwa aliyetuletea Fiston Mayele, Yanga tulikosa mshambuliaji wa aina yake kwa muda mrefu kidogo

    Habari wanamichezo, Juzi niliangalia goli alilofunga Mayele, kasi yake alvyopokea mpira, utulivu wake, akili yake ya kufunga, control yake hakika niseme asante Engineer Hersi kwa kutuletea huyu mtu. Wanayanga tulimkosa huyu mtu kwa muda mrefu sana tangu Yanga ya Donald Ngoma nadhani hatujapata...
  5. blogger

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Sabaya hatakiwi na hastahili kuonewa huruma hata kidogo

    Wakina mama wanamlilia Sabayahuko mahakamani kesi yake unavyozidi pigwa kalenda. Nasema hivi.. huyu Sabaya hastahili kuonewa huruma na mtu yeyote kwani alikuwa amejaa dharau kali, jeuri kiburi ma majivuno. Kama aliweza muonesha hadharani mkuu wake wa mkoa Anne Mngwira (RIP) dharau ya wazi...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Japokuwa Madini ya Zinc huhitajika kwa kiasi kidogo mwilini yana faida kubwa sana kiafya

    Madini ya zinc huhitajika kwa kiasi kidogo mwilini lakini huwa na faida kubwa sana kwa afya. Kwa mujibu wa National Institutes of Health, wanawake wenye umri wa miaka 19 na kuendelea huhitaji kiasi cha 8 mg kila siku huku wanaume wakihitaji kiasi cha 11 mg. Wakati wa ujauzito na unyonyeshaji...
  7. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Tuwe wawazi kidogo, wazo la Ujamaa halikuwa jema kwa ukubwa

    Sawa, najua utachoanza kusema, ooh ukabila ulikomeshwa, hakuna civil war, mabeberu wangepindua tena nchi hii, etc. Lakini twende na uhalisia wa matokeo, ni nchi gani iliyokuwa mfuasi wa ukomyunisti (kutoka kwa Mchina na Mrusi) leo ina maendeleo yenye kasi kubwa, bali tu kuwa wahanga wa sera zao...
  8. Mkurya romantic

    JamiiForums Tanzania SoC02 Unashindwa Kuweka Akiba Ya Kipato Chako Kidogo? Tumia njia hizi

    “Kweli natafuta na napata… lakini fedha hazitoshi kabisa…”. Hizo ni kawaida kuzisikia kauli hizi katika maisha ya kila siku ya watanzania wengi hususan huku uswahilini kwetu ambapo wengi tunafanya kazi za kipato cha chini. Ingawa kuweka akiba ni mtihani mkubwa kwa watanzania wengi, lakini ni...
  9. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo kifinyo hiki cha Polisi huko Zanzibar

    Hiki ni kipigo alichopata Mazrui kwenye uchaguzi uliopita Zanzibar, leo ni Waziri wa Afya! Kuna wengine hawajawahi kutolewa hata kucha na bado wanajiita wanaharakati.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tuliwaonya vijana wanunue magari yanayotumia mafuta kidogo hawakutusikia

    Yaani vijana wa siku hizi wabishi na wapenda sifa za kijinga. Utamkuta kijana anakunja laki 8 kwa mwezi baada ya kodi, makato na tozo Yani kitaa hatuna amani fujooooo. Tukawaonya na kuwashauri acheni kununua magari yanayotumia mafuta mengi baneni matumizi kwa kununua IST, Passo, vitz na...
  11. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau wa football tujadili kidogo

    Nini maoni yako wewe?
  12. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti usio rasmi: Kuna vurugu na malumbano kidogo sana ama hakuna kabisa kwenye ndoa zenye wanaume wanaovuta bangi tofauti na wanaokunywa pombe

    Hata kwa nchi zilizoruhusu bangi hesabu zinaonesha ndoa zenye wavuta bangi ni nadra sana kuwa na matatizo tofauti na ndoa za walevi wa pombe ambazo zimejaa kesi kibao za kuvunjika kwa ndoa, kupigana, kutukanana hadharani, watoto kupigwa hovyo, n.k. Tukija hata hapa bongo tushazoea kuona pombe...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tusipende kutumia msemo kwamba Mungu amempa huyu na fulani hajampa, Mungu hana upendeleo na huenda anahusika kidogo sana kwenye mafanikio yetu duniani

    Msemo huu hupendwa sana kutumika hasa na watu kanda ya mikoa ya pwani ya bahari. Utasikia hili sio fungu langu, fulani kapewa fulani kanyimwa. Hizi ni fikra za kimasikini sana za kumfanya mtu anafikia mpaka kuridhika na hali yake na kushindwa kupambana kwa njia tofauti za kufikia malengo yake...
  14. APA CHICAGO

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI kuweni na utu japo kidogo

    Leo nikiwa zangu Maeneo ya Mtaa wa Isevya mjini Tabora nimekutana na mlinzi mmoja wa shule ya sekondari ya serikali akaniambia ya kwake ya moyoni kuwa ana miezi miwili sasa hajalipwa yaani wa Saba na wa nane. Akasema mhasibu wa shule Kila akimpigia anajibiwa mfumo haujafunguliwa wa kuwawezesha...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Jamani hili huko Liberia lilitokana na nini? Picha inatisha kidogo

    Ilitokana na nini? Cabinet ministers lined up for execution after a coup d'état in Liberia, 1980 A Liberian army soldier stands ready to execute a former cabinet minister following the 1980 coup. The minister in the photo: Cecil Dennis. The 66-year old president was savagely murdered by...
  16. mashaka saidi beneu mboyo

    JamiiForums Tanzania Tutaniane kidogo wakulungwa

    Unaesoma post hii wewe ni mbwa koko
  17. Nyamwage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anae fahamu hizi simu za Kyocera BASIO 3 anipe mwanga kidogo kuzihusu nisije pigwa za kichwa PLEASE

    Nimezikuta mjini unguja zinauzwa 90k mpaka 100k nimeingia google nimekuta GSM arena hawajazifanyia review na ni simu ya 2017-2018 na kwenye baadhi ya apps zimeandikwa kichina nimaogopa nisije yakanyaga nikavuka zangu maji nikaondoka lakini hivi karibuni nitaenda tena huko Zanzibar sasa nahitaji...
  18. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, kuongeza sifuri kwa mgongo wa tozo ni kuendeleza mateso kwa wananchi

    Kuwabebesha wananchi tozo na kodi nyingi sio suluhisho lenye tija la kuiongezea nchi mapato, ni kuendelea kuwatesa. Mwigulu Nchemba anachojua ni kuongeza sifuri, hana ubunifu wowote ule. Kama akiendelea kufanya anayoyafanya sababu ndo mwisho wake wa kufikiri ulipofikia, atawatesa sana wananchi...
  19. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Form six waliopungukiwa sifa kidogo jiungeni foundation program

    Kama wewe ni mhitimu wa Kidato cha Sita umepata DEE, EEE, CSS, EDS, ESS, DSS, EES, EEF, DEF, kwa ufupi, kama huna D mbili kwenye masomo yako lakini una Pass Moja na Subsidiary Moja jiunge Foundation Program ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ili upate sifa ya kujiunga Degree katika vyuo vikuu...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mitindo ya Koffi Olomide siielewi hata kidogo

Back
Top Bottom