kidogo

The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Hii mechi ya Yanga inaitaji pombe kidogo

    Honestly niko na mzee wangu hapa anasema yeye hii mechi lazima aka wake kwanza pombe 🍻🍻mbili tatu ndo anangalia. 90 minutes are very long. bila few drinks na support. ujapiga ganzi kwanza. you move. tupige bia,🍻🍻. it's a failed country any way.
  2. JamiiForums Tanzania Tucheze mchezo kidogo

    Hapo Tofauti na “Visa” neno gani lingine umeliona?
  3. JamiiForums Tanzania Namna Faza Nelly alivyouawa kwa kuchomwa visu 9

    FAZA NELLY MEMBER WA X PLASTAZ KUNDI LA HIP HOP KUTOKEA MKOANI ARUSHA... ✍🏼 Jumatatu ya 29 March Mwaka 2006 Fans wa Swahili Hip hop World wide dunia nzima walikua na simanzi kutokana na Taarifa za kifo cha Nelson Chrizostom Rutta/maarufu kama Faza Nelly ambae alikufa kutokana na Majeraha ya...
  4. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo kauli za viongozi wa Simba

    1:Try Again "Tumedhamiria kufanya usajili wa nguvu utakao kirudisha kikosi chetu kwenye ubora wa juu msimu ujao na hilo linawezekana kutokana na malengo tuliyokuwa nayo ya kuifanya Simba kuwa klabu kubwa Afrika" Hii ilikuwa ni baada ya Young Africans Sports Club kufika fainali ya kombe la...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hospitali za Serikali zimekuwa zikitumia vijana waliomaliza intern (post intern attachment) huku wakiwalipa hela kidogo sana

    Habari. Kuna rafiki yangu mmoja amemaliza internship ya udaktari mwaka jana katika hospitali ya rufaa ya Morogoro na kabla ya wao kumaliza hospitali iliomba watu kumi waandike barua kwa ajili ya kujitolea na wakaiita (post intern attachment). Kwa kawaida watu wanapochaguliwa kujitolea huwa...
  6. JamiiForums Tanzania Gamond: Yanga nayoitaka bado kidogo

    Huyu jamaa anaitakia nini kolouzidad?
  7. JamiiForums Tanzania Nimetoa pesa kwa makato kidogo

    Leo nimetoa pesa kwa wakala, kwenye simu nilikua na 50000. Wakala akanambia tumia njia ya kawaida Kama unatuma pesa akanipa namba ya kawaida, kwenye kiasa akanambia weka 49550 kweli nikaweka kwenye makato nikakatwa 410 Sasa nilikua nataka kujua hizi ni aina gani ya laini na utaratibu wa...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mafanikio kiduchu kelele kama zote, Kwanini watu wa Forex wanavimba sana na kutaka attention hata kwa mafanikio madogo?

    1. Mtu wa forex anaweza kuwa na laki 4 bank lakini akatumia laki 1 kupiga picha kali location kali, ni watu ambao wana undugu na photoshoot. 2. Wakinunua magari (gari pendwa mark x) wataweka maandishi ya forex, wengine wanaenda mbali kuweka plate number za milioni 10 kwenye gari zisizozidi...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Pateni kuitambua saa aina ya Bulgari Serpenti Seduttori: ina vipande 197 vya almasi, 2 vya rubi adimu na karati 16 za sapphire (zumaridi)

    Serpenti Sedutori (Nyoka atongozaye) ndio saa inayovuma saa hizi mtandaoni popote Tanzania na East Africa, gharama yake ikiwa ni dollar za kimarekani 44,200, takribani shilingi za kitanzania 110,500,000/= (millioni mia moja na kumi na laki tano)! Soma zaidi hapa chini ili kujua imetengenezwa...
  10. JamiiForums Tanzania Watu wengi wana kiasi kidogo cha asidi tumboni lakini hawafahamu

    Kwa siku mwili wa binadamu unatengeneza kiasi cha asidi kati ya lita 1 hadi 1.5. Yaani ile asidi ya kujaa kopo kubwa la maji la lita 1.5! Asidi hiyo ni nyingi na kali sana. Ukali wake unafika PH ya 1.5. Manyama, matobolwa, samaki, minyofoo, pweza, vyakula vyote vigumu na laini husagwa na asidi...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Makabila makubwa yakishika uongozi hujazana wao, bora nafasi za juu wapewe makabila madogo

    Hoja ya ukabila haihusiani na kwamba wangapi wamesoma au la. Kwanini ofisi ikiwa na viongozi labda wangoni au wahehe tusikute wahehe au wangoni wamejazana?Ni kwamba hakuna wahehe au wangoni waliosoma? Miaka ya leo uniambie kuna kabila halina wasomi waliokosa ajira, lipo hilo? Sasa tuje kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tusome kidogo Bajeti ya Serikali yetu ili tunapodai uwajibikaji na haki tujue tunadai nini

    Ni Jumatatu Nyingine Mahususi kabisa ambayo ni ya kwanza kwa mwezi huu wa February wa mwaka 2024.Nikiwa hapa Ofisini kwangu na mshahara ukiwa bado haujatoka. Pamoja na andiko hili naambatanisha link ya ukurasa ambao utakupatia vitabu vya Bajeti vya Serikali yetu ili tujue Pesa yetu inapelekwa...
  13. JamiiForums Tanzania CPI Ripori: Tanzania ni kati ya Nchi zenye kiwango kidogo cha Rushwa Afrika, unakubaliana na hilo?

    Ripoti ya Mtazamo Kuhusu Rushwa ya 2023 (CPI) imeonesha Rushwa na Ufisadi unazidi kushamiri ambapo Theluthi 2 ya Nchi zimepata alama chini ya ya 50 kati ya 100, hali inayodhihirisha kuwa bado zina matatizo makubwa ya Rushwa. Pia, Ripoti hiyo imeitaja Tanzania kwenye nafasi ya 13 katika Nchi...
  14. JamiiForums Tanzania Inawezekana CCM ina hofu kidogo kuhusu mkoa wa Mwanza?

    Au labda "hofu" is too strong a word? Kwa sababu huu ndio Mkoa ambao mgombea wa CCM (Kikwete) alishambuliwa jukwaani na chizi. Huu ndio mkoa ambao TANU ilikuwa inaihitaji msaada wa Bomani kuingia na kutoka kule. Sasa tunaona Makonda yuko Maswa,lakini huko si ndiko alikoenda miezi michache...
  15. JamiiForums Tanzania Shingi 200 leo kidogo inivue utu

    Wataalam, Leo nmepanda daladala hapa Dar, Yani saivi tu kama nusu saa ilopita nilikuwa natoka job nmeachana na yule broo aliyeniunganisha na hyo kazi(nmemuachia 30k).... , Sasa nauli nakoenda ni 800, mi konda nikampa buku ila hakunrudishia chenji. Ile nashuka nkadai chenji akasema eti...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Examination Officer written interview

    Wakuu habari ya leo, Naomba kupata muangaza kidogo katika written interview za examination officer aina ya maswali yanayoulizwa.
  17. JamiiForums Tanzania Dj Ally B: Maneno kidogo pesa nyingi

    Angalia hapa jinsi Dj Ally anavyotamba na Mandinga yake. Anakwambia tafuta hela ili uwe na machaguzi mengi.
  18. JamiiForums Tanzania Wapenzi wa movies nina swali kidogo

    Wapenzi na wafatiliaji wa movies nina swali kuhusu hii movie ya money heist/ La casa de papel, toka ilipoishia season 5 netflix walisema hakuta kuwa na seoson lakini baadae wakaja kusema kuwa kutakuwa na movie itakayoonyesha matukio ya Pedro Alonso or Berlin kabla ya tukio la money heist ya...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba tufikirie kidogo na tupeane miongozo

    Seriikali ni taasisi moja ya sifa ya Taasisi huongozwa kwa mfumo Rasmi (bureucracy} baadhi ya sifa au kiini cha BUREUCRACY ni sheria na kanuni, kuajiri kwa kufata sifa na kuwepo kwa mfumo wa vyeo{hierarchical system} sifa hizi zinaipa taasisi nguvu ya kutokuwa na mfumo wa mazoea ambao ni...
  20. JamiiForums Tanzania Asante Mama Samia kwa utenguzi huu; Ulichelewa kidogo

    Hongera Mama kwa jicho kuona huko nishati kuna mengi najua ni mwanzo HONGERA SANA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…