Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,080
Hoja ya ukabila haihusiani na kwamba wangapi wamesoma au la.
Kwanini ofisi ikiwa na viongozi labda wangoni au wahehe tusikute wahehe au wangoni wamejazana?Ni kwamba hakuna wahehe au wangoni waliosoma?
Miaka ya leo uniambie kuna kabila halina wasomi waliokosa ajira, lipo hilo?
Sasa tuje kwa makabila yanayojificha kwenye kivuli kwamba wamesoma. Mfano ofisini kiongozi akiwa ni Mchaga wanajazana Wachaga, tukitumia kigezo cha elimu ni kwamba hata hao wengine Wahaya, Wanyakyusa na Wasukuma hawawekwi kwa kuwa hawajasoma au ni ukabila?
Ofisini akiwa Mhaya ni Kiongozi makabila yote mengine hadi hao wengine wasomi unawatafuta kwa tochi, ni kwamba hawana elimu au?
Nadhani kuna shida ya ukabila ambayo haisemwi wazi ila ipo shida ya ukabila na udini nchi hii.
Kwamba unaajiri watu wa usafi wakabila lako mpaka walinzi kwasababu wamesoma mbona hoja inakataa kabisa, zaidi ya ukabila hakuna lingine hapo.
Kuna tasisi mpaka za serikali akiingia mojawapo katika hayo makabila basi unakuta wanaanza kujazana wao kwa wao, kupandishana vyeo, kupeana mikopo, n.k.