kichwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanatembea na mizigo mizito kichwani ukipata nafasi wasikilize

    Leo nikiwa katika usafiri wa jamii baba mmoja mwenye plasta jichoni alinisalimia vizuri tu na kuniuliza ninapoelekea. Ni wazi kuwa alikua anatafuta mtu wa kuongea nae ila asichokijua ni kuwa ninashare story humu jukwaani hasa mikasa halisi ya watu. Huyu bwana alidumu kwenye ndoa kwa miaka 28...
  2. JamiiForums Tanzania Napenda harufu ya nguo ya ndani ya mwanamke, nikilala naivaa kichwani inashuka hadi puani

    Nnatabia ambayo sio ya kawaida huwa napenda harufu ya chupi ya mwanamke na nikilala usiku naivaa kichwani halafu naishusha hadi puani inaziba pua kale kaharufu najihisi niko peponi. Je, nina shida? Ila iwe imevaliwa hata wiki na isifuliwe.
  3. JamiiForums Tanzania Sasa tuzungumze kimichezo, Nawapongeza sana Simba, Yanga tuna la kujifunza kwa Simba hili liko wazi atakayebishe ana matatizo kichwani

    Kipute cha robo fainali kati ya Simba na Orlando kimekwisha na Orlando amesonga mbele kwa kutupa faraja wana Yanga kuzima kelele, tambo na kejerli za Simba. Tuongee ukweli tu ni kwamba mashabiki wa Simba hamna cha kuidai timu yenu kwa kutolewa robo fainali ni hatua nzuri timu imefika...
  4. JamiiForums Tanzania Ukitaka kufanya biashara, Anzia kuifanya Kichwani mwako na si usubiri ukiwa na Mtaji mkononi

    Huwa nasikitika sana ninapotoa ushauri kwa watu wenye mitaji mikononi,hasa wale wanaotoa na kuandika thread kuwa wana kiasi "flani cha pesa" Je wafanyie nini? Ukweli ni kwamba kila mtu hapo alipo ktk chochote anachofanya kumuingizia kipato anajua hela anayoitafuta anataka kuifanyia kitu...
  5. JamiiForums Tanzania Super black haikai kabisa kichwani, wiki 1 tu imeisha

    Habari za muda huu nakuja moja kwa moja kwenye mada wazee super black haikai kabisa kichwani wiki 1 tu yote ishaisha nipeni muongozo
  6. JamiiForums Tanzania Polepole mlivuruga uchaguzi ili kutokomoa wapinzani, sasa unaona yanayoendelea? CCM wenzako wamepanda kichwani wananchi

    Mlipotaka muwe na Bunge la WanaCCM kwa asilimia tisini na nane hamkujua umuhimu wa wabunge wa upinzani? Hili bunge lingekuwa hata na wabunge wa upinzani 40% hii dharau ya WanaCCM kulifanya bunge kibogoyo isingekuwepo. Mliharibu uchaguzi na kumbe mlikuwa mnaharibu maisha ya Watanzania...
  7. JamiiForums Tanzania Kibendera cha Offside juu; Mchezaji gani anakujia kichwani?

    Ukiona kibendera cha offside juu kama hivi, mchezaji gani anakujia kichwani yupo offside?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu anasumbuliwa na majipu kichwani

    Habari wapendwa poleni na maandaliz ya sikukuu! Nina mtoto mwenye umri wa miezi 4 anasumbuliwa na vipele vidogo vinavyotunga usaha kadri sku zinaend vinakuw vikubw kiasi, aliyepitia changamoto hii msaada tafadhali! Hospital wamempa amoxylin..! Mwanangu ni kibonge mwenyew nakosa raha jaman...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa tuliopigwa na vitu vizito kichwani kisa mapenzi tukutane hapa

    Mapenzi huzuzua akili sana haswa pale yule umpendae kwa dhati anapokwenda kinyume na makubaliano yenu ama kutenda ndivyo sivyo!, karibuni tu share mambo hayo. Binafsi nilikua na mpenzi wangu wakike ambae tulikuwa jirani,awali alianza yeye kuniapproach nami nikazama penzini tukapeana vyakupeana...
  10. JamiiForums Tanzania Faida za kutumia mafuta ya mzeituni (olive oil) kwenye kichwa dakika 30 kabla hujaosha nywele

    Olives are a wonderful fruit native to Mediterranean Europe. They are also cultivated in many other regions of the world nowadays. Some of these including North and South America, South Africa, China, India, Australia, and New Zealand. But olives’ health benefits tend to fly under the radar, as...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Wanamichezo hawa Wawili wa Tanzania nani amechanganyikiwa akili na nani anaonyesha kuwa Kichwani zimekamilika?

    Mwanamichezo wa Kwanza kaamua Kuitangaza Tanzania katika Shati lake Kubwa, zuri na lililobuniwa vyema kwa Kuandika Maandishi makubwa ya VISIT TANZANIA. Mwanamichezo wa Pili kwa Akili zake anazozijua Yeye kaamua Kumuiga wa Kwanza kwa Kuandika mkononi mwa Shati lake Baya na Bovu ( tena kwa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Afanya upasuaji kwa kuweka cheni zenye dhahabu kichwani kwake kama nywele

    Rapa kutoka Mexico, Dan Sur @dansurig amefanyiwa upasuaji na kuondolewa nywele zake kichwani na kuwekewe cheni za dhahabu. Dan Sur anasema alitaka kufanya kitu tofauti, kuwa binadamu wa kwanza kuwa na cheni za dhahabu kichwani badala ya nywele, "Hizi cheni zimewekwa ndani ya ngozi yangu, mimi ni...
  13. JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya machinga vimezikwa na hayati Rais Dkt John Magufuli huko Chato?

    Wakuu Wamachinga wa soko la Samunge maarufu kama NMC jijini Arusha wameieleza kilio chao kwa mbunge Mrisho Gambo cha kulipa ushuru wa shilingi 50 kila siku huku wanaowatoza wakiambiwa kuwa vitambulisho vya machinga vimezikwa na hayati Rais Dkt John Magufuli huko Chato. Machinga wa soko hilo...
  14. JamiiForums Tanzania Haji Manara asaidiwe kabla ya kuanza kuokota makopo na chupi kichwani

    Ukiachwa achika Vijembe anavyorusha kwa Mo Dewji na Simba Sc na bado hajibiwi vinaweza kumfanya huyu mtu akawa data na kuanza kuokota makopo. Hatua aliyofikia ni mbaya sana hakuna tofauti yeyote na mtu ambaye wehu ndo umeanza kuingia ingia, ameanza kutembea bila viatu amekushikilia suruali...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Sijui kama mtazamo wangu uko sawa, ila nawaona wote wanaopinga chanjo kama wana shortage kichwani!

    Mweshmiwa mbunge wa viti maalumu Humphrey Polepole yeye anasema tusipige chanjo ila tufanye mazoezi kwa wingi pia tule ugali wa dona na matembele kwa wingi na kuondoa hofu tutaishinda corona Askofu yeye anadai tumuomne sana Mungu kwani alikua ameshaliponya taifa na korona ikaisha, pia analaumu...
  16. JamiiForums Tanzania Nimempiga mwizi mapanga mawili ya kichwa, akifa Mungu nisamehe

    Mungu anajua sijawahi liua jitu hata siku moja lakini ikitokea lile jamaa likafa shauri yake na familia yake. Mwaka jana nimeibiwa mara mbili nikahama mtaa. Wiki iliyopita nimemkosa kidogo tu, ashukuru niliamka usingizini nikiwa na pombe kichwani na kupelekea kupiga kelele akasepa zake. Leo...
  17. JamiiForums Tanzania Mtu anaechukua mkopo wa milioni 100 kujenga nyumba ya milioni 10, na anaemkopesha ndiye anayejenga (lazima); ana akili timamu kichwani kwake?

    Tuchukulie kwa mfano mtu anakuja kukushawishi akukopeshe pesa kiasi cha milioni 100 ili ujenge nyumba ya kuishi; ila sasa masharti ya huo mkopo ni kwamba lazima ramani za jemgo, vifaa vya kujengea, BOQ, na mafundi wote watoke kwake huyo anaekukopesha. Halafu huyo anaekukopesha anakuletea ramani...
  18. JamiiForums Tanzania Anaondoaje tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka?

    Habarini za leo marafiki. Ndugu zangu mwenzangu ana tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka. Anaondoaje tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka.
  19. JamiiForums Tanzania Mke wa Bob Marley alipigwa risasi kichwani akimuokoa mme wake, Vipi aina hiyo ya wanawake wapo Leo?

    Bob Marley's wife, Rita, once took a bullet to the head that was aimed at Marley in an attempted assassination in Kingston. Despite being shot in the head, she survived, due to her thick dreadlocks minimizing the impact of the bullet. Aina hii ya Wanawake bado wapo Tanzania, ??.
  20. JamiiForums Tanzania Video: Anayehusika na hii barabara ya Shaurimoyo (Al-haramain), ana akili sawasawa kweli kichwani?

    Hii hali ipo mwaka wa 5 huu, sasa utasema huyo mtu ana akili zilizotimia kichwani kwake, huu si ujinga huu kabisa?! Na hapa ni katikati ya jiji kabisa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…