Mtoto wangu anasumbuliwa na majipu kichwani

Mtanzatozo

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
972
1,163
Habari wapendwa poleni na maandaliz ya sikukuu! Nina mtoto mwenye umri wa miezi 4 anasumbuliwa na vipele vidogo vinavyotunga usaha kadri sku zinaend vinakuw vikubw kiasi, aliyepitia changamoto hii msaada tafadhali! Hospital wamempa amoxylin..! Mwanangu ni kibonge mwenyew nakosa raha jaman nisaidien..

IMG_20211225_133655.jpg
 
Habari wapendwa poleni na maandaliz ya sikukuu! Nina mtoto mwenye umri wa miezi 4 anasumbuliwa na vipele vidogo vinavyotunga usaha kadri sku zinaend vinakuw vikubw kiasi, aliyepitia changamoto hii msaada tafadhali! Hospital wamempa amoxylin..! Mwanangu ni kibonge mwenyew nakosa raha jaman nisaidien..View attachment 2056848
Itakuwa aleji au DAMU ni chafu.
 
Habari wapendwa poleni na maandaliz ya sikukuu! Nina mtoto mwenye umri wa miezi 4 anasumbuliwa na vipele vidogo vinavyotunga usaha kadri sku zinaend vinakuw vikubw kiasi, aliyepitia changamoto hii msaada tafadhali! Hospital wamempa amoxylin..! Mwanangu ni kibonge mwenyew nakosa raha jaman nisaidien..😔View attachment 2056848

Mbona ni mtu mzima huyo!!😁, au umezaa mtu mzima🤣.

Sky Eclat njoo huku utoe msaada mtoto anaugua.
 
Ni muda gani sasa tangu ameanza kutumia amoxicillin? Zipe muda zifanye kazi. Akiwa na joto kali la mwili na homa mpe paracetamol ya watoto au calpol.
 
Ni muda gani sasa tangu ameanza kutumia amoxicillin? Zipe muda zifanye kazi. Akiwa na joto kali la mwili na homa mpe paracetamol ya watoto au calpol.
Anamaliza wiki sasa tangu atumie amoxylin! Sjaon changes na analia mara kw mara
 
Inaweza ikawa ni allergy, kuna dogo alikuwa anatoka hivyo vipele akila mayai akiacha anarudi kawaida jaribu kuangalia na upande wa vyakula
 
Habari wapendwa poleni na maandaliz ya sikukuu! Nina mtoto mwenye umri wa miezi 4 anasumbuliwa na vipele vidogo vinavyotunga usaha kadri sku zinaend vinakuw vikubw kiasi, aliyepitia changamoto hii msaada tafadhali! Hospital wamempa amoxylin..! Mwanangu ni kibonge mwenyew nakosa raha jaman nisaidien..😔View attachment 2056848
Mwanangu pia alikua na shida hiyo, mnunulie Ampiclox ya unga utaweka maji, vitakauka. Au subiri wataalamu waje.
 
Tafuta mafuta yanaitwa Bmax ni dawa pia ni mafuta vinakauka kabisa japo bei imechangamka kidogo kama uko dar nenda nakiete
 
Back
Top Bottom