kichwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Waziri asimulia alivyotishiwa kwa kuwekewa Bastola kichwani kisha wezi wakamuibia

    Waziri wa Uchukuzi wa Afrika Kusini, Sindisiwe Chikunga amesimulia tukio la kuibiwa wa kusema wezi walimtishia kwa kumuwekea bastola kichwani kisha wakamuibia wakati alipokuwa akibadilisha tairi la gari lililopasuka Jijini Johannesburg. Amesema wezi waliwafamia wakati walinzi wake wakibadilisha...
  2. JamiiForums Tanzania Leo nimekumbuka sana maisah ya chuo,kinachozunguka kichwani mwangu viongozi wa wanafunzi(CCM wings) wapo kwenye hali gani?

    Maisha ya chuo yanaraha na karaha zake bhana yani ni sawa pepo na dunia unaishi muda mchache maisha magumu then unaambiwa bata lipo peponi unaishi katika uzima wa milele,naamini kabisa kwa mliosoma DODOMA UNIVERSIT -UDOSO sio kitu kigeni yaani mashauzi mengi na hasa mawaziri wa fedha(wanajiona...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki Ataja Muarobaini wa Kumtua Mama Ndoo Kichwani Katika Ziara ya Chongolo Mkoa wa Katavi

    MBUNGE MARTHA MARIKI ATAJA MUAROBAINI WA KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI MKOA WA KATAVI KATIKA ZIARA YA CHONGOLO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki ameshiriki katika ziara ya Katibu Mkuu CCM, Ndugu Daniel Chongolo katika Mkoa wa Katavi iliyolenga kukagua utekelezaji wa...
  4. JamiiForums Tanzania Je huyu Msanii naye atakamatwa kwa uchochezi?. Piga kichwani joka la kijani.

    Huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono. CCM imefunga watu wengi kisa kukoslewa. Anza na yule dawa wa chato, Ney wa mtegp, Sifa na sasa huyu hapa mwamba... Je naye watamfunga?. Mabadiliko yanakuja COM kaeni mguu sawa.
  5. JamiiForums Tanzania Vishilingi kichwani msaada wa dawa

    Nina sehemu mbili hazina nywele kichwani, vipo kama vishilingi nimetumia dawa zote hazioti. vina miezi saba sasa. msaada tafadhali. haviwash wala vipele havina ila vinakula nywele
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimuendekeza atakupanda kichwani. Mke wa jamaa yangu kafuga msitu hataki kunyoa, eti hadi apewe laki akanyolewe kwa Wahindi

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Leo rafiki yangu wa tangu tukiwa watoto alinipigia simu kwamba anataka tuangalie mpira pamoja na ana jambo ambalo anataka nimshauri, hivyo basi nitafute sehemu nzuri tulivu ili tuwe tunaangalia mpira na kuongea. Basi nikamwelekeza sehemu jirani na...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Jina la DGIS wa sasa halikaririki na linahaulika upesi Kichwani tofauti na ilivyokuwa kwa Watangulizi Modestus na Diwani?

    Yaani kila nikijitahidi Kulikariri nashindwa na hata nikilijua tu ndani ya muda mfupi nalisahau tofauti na ilivyokuwa kwa Watangulizi wake Yule Mluguru ( Morogoro ) Tumbo Tumbo na Mpare ( Kilimanjaro ) Msomi na Mmedani Jeuri. Je, na nyie Wenzangu mmeshindwa Kumkariri Jina lake na huwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kuamini ukiachana na mpenzi wako atafikwa na baya ni ujinga!

    Ati ukiachana na mpenzi wako basi litampata baya huko aendako na hata kama likimpata baya usifikiri limempata kwasababu aliachana nawewe! Huo ni upuuzi tu ambao ni kama failure ya ubongo. Your not the one who made every heart beat for anyone, so stop that foolish idea. Wacha kufikiri kuna kitu...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi huyu DC wa Bunda anaelewa anachofanya kweli?

    Yaani watu wamefariki kwa ajali ya mitumbwi Ziwa Victoria huko Bunda Mkoani Mara wakienda Kanisani kumuabudu Mwenyezi Mungu, Mkuu wa Wilaya ya Bunda kaamuru Mchungaji wa Kanisa akamatwe haraka. Kwanini GENTAMYCINE nimesema huenda huyu DC wa Bunda Dk. Vicent Kichwani mwake hazijakamilika? Jibu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania DKT. Samizi amshukuru Rais Samia kumtua Mama ndoo kichwani Muhambwe

    Jana Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amefika Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma kukagua miradi ya maji ambapo Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Florence George Samizi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Maji kwa namna wanavyofanikisha kumtua ndoo kichwani Mama na Wananchi wa Muhambwe. Kwenye...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ana uwezo mdogo sana wa kuchambua mambo, anaongoza kwa ubishi

    Hopefully wote mtakuwa salama. Nisiwachoshe na mimi msinichoshe. Leo asubuhi bwana nilikuwa bored sana na idle as of tangu nime retire, i just decided kupumzika nyumbani na familia. Basi bwana nikajikuta nipo YouTube naangalia video mbalimbali, kuangalia hivi kidogo nakuta clouds wako live na...
  12. JamiiForums Tanzania Elibariki Kingu: Wabunge wa CCM tuko vizuri kichwani, tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu

    Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale...
  13. JamiiForums Tanzania Kuwaamini Wanasiasa wa upinzani wa sasa Tanzania ya leo ni sawa na kukubali kuwa hauna kabisa Akili Kichwani

    Kuna Mmoja wao kwa sasa Yeye, Mkewe na Watoto zake si Raia tena wa Tanzania ila Kutwa anazurula Mitaani na katika Media kutaka kuonyesha kuwa ana Machungu na Watanzania, anawapigania huku kila Siku Usiku Saa 3 anapiga au anapigiwa Simu na Kuongea kwa Furaha na Mtu Muhimu Tanzania huku akiwacheka...
  14. JamiiForums Tanzania Mtakaochangia mchango wa kufungua kesi hela zenu hazina kazi na kichwani kidogo kuna shida

    Hivi hao mawakili wameshindwa kweli kujichanga ndio wafungue kesi? Walifungua kesi wakitegemea pesa za watz? Na serikali mliwapaje kibari cha kutuchangisha uhuu ninupumbavu wafutiwe kibari cha kuchangisha Watz siku zote wanawaza kuwapiga watu uhuu ninupumbavu uhu upepo utaenda na pesa za watu...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi Kamati iliyomuadhibu yule Mpuuzi wa Mashujaa FC ina Akili sawa sawa Kichwani?

    Nilitegemea atahukumiwa ama Kifungo cha Miaka 15 au hata Maisha na Faini ya Shilingi Milioni Kumi ( 10 ) ili iwe Fundisho kwa Wapuuzi Wenzake wengine cha Kushangaza kafungiwa Mwaka Mmoja tu na Faini isiyouma. Huenda ndiyo maana GENTAMYCINE sijawa na kamwe sitokuja kuwa Hakimu ila kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Bado sehemu kubwa ya watu wetu wamenga'ng'ania vijiji kichwani mwao (waporipori)

    Wanasema unaweza ukamtoa mtu kijijini lakini ukashindwa kutoa kijiji kichwani mwake Maana yake nini, watu wetu wengi bado ni washamba sana (wapori-porii), bado wanatambaa na mawazo ya kale vichwani mwao. Haijalishi huyo mtu amesoma shule mpaka levels gani, au amekuwa exposed kiasi gani au...
  17. JamiiForums Tanzania Fei Toto kukata rufaa rasmi CAS aomba mchango wa pesa kwa Watanzania

    Aliyekimbia mshahara wa mil 4 anawaomba walala hoi wa instagram wamchangie pesa za kupeleka kesi CAS; === Picha: Feisal Salum (Fei Toto) Feisal Salum katika ukurasa wake rasmi wa Instagram ameandika ujumbe ufuatao: Ndugu zangu Watanzania na familia yote ya soka kwa Bara na visiwani. Mimi...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

    Wakuu za sahizi, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nipo hapa nacheka kaa fala kwa kweli. Hii ni baada ya kuona baadhi ya wanaume wanadatishwa kwa avatar za wanawake humu ndani bila kuangalia uhalisia. Asee nyie watu mnaenda kupigwa huko na vitu vizito watu mpaka mnaotana aseee 😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Huwezi kuwa serious, kabisa...
  19. JamiiForums Tanzania Vioja vya pombe kukolea kichwani, ngono zembe na ujasiri fake

    Wakuu, bila kupoteza wakati kuna haka ka kitu kanaitwa Mtungi, ama wanasema Bia tamu, Japo kiukweli mimi sijawah onja, ukiachilia mbali imani ya dini, ila kuna vioja ambavyo vinafanya Pombe niingalie tu. Kama unakumbuka kioja chochote kilichotokea kwako au kwa jamaa aliekua tungi emu kishushe...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Kijana acha kujaza ndeluche tu kichwani, jifunze mambo yatakayokusaidia.

    Hakuna wakati mzuri wa kujifunza na kujua mengi ya maana kama wakati huu tunapoishi. Mambo mengi yapo vidoleni mwetu una Google tu unayapata. Lakini la kushangaza vijana wengi wanazidi kuwa wajinga na mandeluche. Kuna vijana wanaonekana wajanja mdomoni lakini ukiwauliza Dodoma ipo Zanzibar ama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…