Kwanini Jina la DGIS wa sasa halikaririki na linahaulika upesi Kichwani tofauti na ilivyokuwa kwa Watangulizi Modestus na Diwani?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,110
Yaani kila nikijitahidi Kulikariri nashindwa na hata nikilijua tu ndani ya muda mfupi nalisahau tofauti na ilivyokuwa kwa Watangulizi wake Yule Mluguru ( Morogoro ) Tumbo Tumbo na Mpare ( Kilimanjaro ) Msomi na Mmedani Jeuri.

Je, na nyie Wenzangu mmeshindwa Kumkariri Jina lake na huwa mnalisahau kama Mimi?

Nisaidieni hivi Jina lake ni nani kwani wakati naanza Kuandika hii Thread nilikuwa nalikumbuka, ila hivi ninavyomalizia Kuandika nimeshalisahau.
 
Back
Top Bottom