kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Marioo afunguliwa kesi ya Madai ya Tsh. Milioni 550 kwa kukiuka Mkataba wa Tamasha

    MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Omary Mwanga, maarufu Marioo, anayedaiwa zaidi ya Sh. milioni 500 kwa kuvunja mkataba, anatarajiwa kujitetea Mahakama Kuu Machi 18 na 19, mwaka huu. Marioo na Meneja wake Sweetbert Mwinula wameshtakiwa katika Mahakama Kuu Masjala ya Wilaya ya Arusha mbele ya...
  2. JamiiForums Tanzania Elon Musk afunguliwa kesi ya madai ya Tsh. Bilioni 326.4 kwa kuwafukuza kazi kikatili Watendaji wa Twitter

    MAREKANI: Watendaji Wakuu wa Mtandao wa X (zamani Twitter) ambao walifukuzwa kazi baada ya Elon Musk kuununua Mtandao huo, wamefungua Kesi ya madai wakimtaka Bosi huyo mpya kuwalipa zaidi ya Tsh. Bilioni 326 kwa kuwaondoa kazini kikatili. Kesi hiyo imefunguliwa katika Mahakama ya Wilaya ya San...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu kesi yangu na app za mikopo

    Kama nilivoahidi kuwa leo Jumatatu tarehe 26/02/2024 naanza mchakato wa kuwashitaki hawa watu. Nimeanzia TCRA ambako nimepeleka malalamiko yangu, Majibu ya TCRA ni kwamba wao hawahusiki kwa sababu hasimamii watu bali wabasimamia makampuni ya mawasiliano. Hii kidogo imeshitua hivo ikabidi niende...
  4. JamiiForums Tanzania Aliyeachiwa kwa msamaha wa Rais ahukumiwa miaka 30 jela

    JOHN Chibuga (31), mkazi wa Kijiji cha Bugolola wilayani Ukerewe, mkoani Mwanza, ambaye Desemba 9, mwaka jana aliachiliwa kwa msamaha wa Rais, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kukutwa na kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha. Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Aidan Nziku, alidai...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

    Hukumu iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, ya mjane wa bilionea wa madini, Bilionea Msuya, Miriam Steven kusomwa leo. Miriam pamoja na mshtakiwa mwenzake, Revocatus Everist Muyella, maarufu kama Ray, wanakabiriwa na shtaka la mauaji ya kukusudia, wanadaiwa kumuua kwa kumchinja, Aneth Elisaria...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kesi ya mke wa bilionea Msuya imenifanya nikumbuke misemo na nahau zifuatazo

    Hii ndiyo misemo unayoweza kuikumbuka dhidi ya ushindi wa mke wa bilionea! 1. Anaye cheka mwishoni hucheka sana 2. Tamaa mbele mauti nyuma 3. Mchuma janga hula na nduguze 4. Heri kumwagwa kuliko kumiminwa 5. Haiwi imekwisha hadi iishe 6. Ghafula bin vuu 7. Ukitaka kuruka agana na nyonga 8. Leo...
  7. JamiiForums Tanzania Moshi: Kijana aliyelawitiwa na Wanaume Watano, wazazi Wasema hawawezi kumudu gharama za nauli ya kufuatilia kesi

    Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20 (jina tunalihifadhi kwa sasa) ambaye inaaelezwa kuwa ana changamoto ya matatizo ya akili amelawitiwa na Wanaume watano. Tukio hilo limetokea Katika Wilaya ya Hai katika Kata ya Machame, Narumu Mkoani Kilimanjaro limezua taharuki miongoni mwa...
  8. JamiiForums Tanzania Israel kwenye kesi ya ICJ - nchi 52 kutoa ushahidi kuanzia Feb 19-26

    Wanakumbi. 🚨🇮🇱ISRAEL KWENYE KESI YA ICJ - NCHI 52 KUTOA USHUHUDA KUANZIA FEB 19-26 Kesi za ICJ zitaendelea hadi Februari 26. Baadaye, majaji wanatarajiwa kuchukua miezi kadhaa kujadili kabla ya kutoa maoni ya ushauri. Kikumbusho: Hata iwe uamuzi gani, ni juu ya nchi kote ulimwenguni kutunga...
  9. T

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Hakuna kesi ya Covid-19 mahakamani, Kinana mwongo, Spika awaondoe

    Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, John Mnyika, ameanika namba ya Spika hadharani ili ahojiwe moja kwa moja na Wananchi kwa kukataa kutii sheria inayomtaka awaondoe bungeni watu 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA, al maaruf Covid 19. Amesema maelezo ya CCM kupitia Kinana kwamba watu hawa wanasubiri...
  10. JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika mahojiano ya Tundu Lissu Star TV leo Februari 16, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=IqmxT2cZNSM Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu yupo Star TV muda huu akifanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha The Big Ajenda. Fuatana nami katika uzi huu ambao utamulika baadhi ya hoja zinazoibuka: TUNDU LISSU KUHUSU LOWASSA NA KESI YA UFISADI DPP...
  11. JamiiForums Tanzania Aliyeozeshwa mtoto ahukumiwa miaka 30 Jela

    Mahakama ya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe tarehe 16 Februari 2024 imemhukumu mshtakiwa GIVEN MICHAEL NZUNDA (24) Mkulima, mkazi wa Shilanga kutumikia Kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la Kubaka. Mtuhumiwa alikamatwa Disemba 15, 2023 maeneo ya Shilanga, Kata ya Ihanda Tarafa ya Vwawa ambapo...
  12. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mauaji ya George Sanga na wenzake yafutwa, waachiwa huru na kukamatwa tena

    Leo tarehe 12 Februari 2024 Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amewasilisha Mahakamani nia ya kutoendelea na kesi ya mauaji inayowakabili George Sanga, Optatus Nkwera na Goodlucky Mfuse. Baada ya kufutwa kwa kesi hiyo Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amewakamata tena na kuwafungulia mashtaka yale yale...
  13. JamiiForums Tanzania Baba Levo amfungulia kesi Harmonize

    Baba Levo amemfungulia kesi msanii Harmonize na kumchukulia RB polisi. Baba levo amedai kuwa usiku wa kuamkia leo February 11,2024 msanii huyo wa muziki wa bongofleva alimshambulia. Ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram:- "Hii Itakuwa Mara Yangu Ya Mwisho Kuwa Mnyonge Kuwa...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Chipukizi CCM kutajwa kwa mara ya kwanza Jumanne 13, 2024

    Mwanaharakati na Mtetezi wa Haki za Watoto Kumbusho Dawson amewasilisha Ombi la Kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar, kesi hiyo ya namba 2212 ya mwaka 2024 itatajwa kwa mara ya kwanza tarehe 13.02.2024 majira ya saa tatu asubuhi mbele ya Jaji Angelo Rumisha. Mwanaharakati huyo na...
  15. JamiiForums Tanzania Anayedhani Mahakama za Tanzania siyo huru asome hii kesi

    Mahakama yatengua makubaliano yaliyorejesha mali ya Ushirika serikalini Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani imetengua hukumu ya Mahakama Kuu iliyohalalisha mkataba wa makubaliano baina ya Serikali na mfanyabiashara Amos Njile, kuhusu umiliki wa ghala la Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Mwanza...
  16. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufani Itoe Ratiba ya Kesi Zote Walizonazo

    Kalenda ya Mahakama kwa mwaka 2024 ilianza rasmi tarehe 1/ 02/ 2024 na inatarajiwa itaisha pengine Desemba 15/ 12/ 2024. Mahakama ya Rufani wametoa ratiba ya kesi za Februari 2024 peke yake. Halafu itakapofika mwishoni mwa mwezi Februari watatoa za mwezi Machi. Huku chini kuanzia Mahakama za...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kinana akiri kwamba CCM imeondoa kesi 9 za CHADEMA Mahakamani bado 2 wanazishughulikia: kumbe kesi zinafunguliwa na CCM?

    Mzee Kinana akizungumza na viongozi wa CCM DAR es salaam ameeleza kwamba CCM imeondoa kesi tisa za jinai walizowafungulia chadema mahakamani na sasa hivi wanaangalia namna ya kufuta kesi mbili zilizobaki. Kwa kauli ya Kinana ni kwamba anajivunia CCM kuwafungulia kesi za jinai wanachama wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania UWT yasimama kidete kumsaidia ndugu. Maria ngoda katika kesi inayomkabili

    UWT YASIMAMA KIDETE KUMSAIDIA NDUGU. MARIA NGODA KATIKA KESI INAYOMKABILI RUFAA YA MARIA NGODA YASIKILIZWA IRINGA Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ikiongozwa na Mwenyekiti wake Ndugu. Mary Chatanda (MCC) imeendelea kusimama kidete katika kuhakikisha inamsaidia Mwanamama Maria Ngoda...
  19. JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kunyongwa kwa kuua watu saba wa familia moja

    Mahakama Kuu kanda ya Kigoma imemuhukumu Mkazi wa Mlole, Kigoma Ujiji Peter Moris Mwandelema (34) kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya Watu saba wa familia moja. ( sita usiku mmoja na mmoja alifariki baadae ) Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Kigoma Agostine Rwizile...
  20. M

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Mahakama ya ICJ yaitaka Israel kuepusha Mauaji ya Raia katika eneo la Gaza

    Kwa wale ambao wana nafasi leo ndiyo siku ya hukumu ya kesi ambayo Afrika ya kusini ilifungua kuishitaki Israel katika mahakama ya kimataifa kuwa inafanya Genocide huko Gaza. kwa wale walio katika mitandao, muda wa hukumu unakaribia , siyo vibaya kuifuatilia hukumu hii LIVE ili kujua argument...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…