kesho

Kesho Yvonne Scott (born 1953) is associate professor of American Studies and Sociology at Grinnell College. Scott received her M.A. in political sociology at the University of Detroit and received her Ph.D. in American Studies from the University of Iowa in 1988. After receiving her doctoral degree she became Distinguished American Studies Scholar in Residence at Pennsylvania State University in Harrisburg (1989), visiting professor at Nanjing University in China (1994), and Fulbright visiting professor at Addis Ababa University in Ethiopia (2001–2002). Scott's interests include black women in America, multiculturalism, and unlearning racism.
She is the first African-American woman to receive tenure at Grinnell.

View More On Wikipedia.org
  1. Hornbil

    JamiiForums Tanzania Natakiwa kufika Dar kesho jioni, nipo Simiyu Bariadi mda huu.Kama Kuna dereva yeyote anapita njia hii naombeni msaada wakuu nina 40k tu mfukoni

    Wakuu natakiwa siku ya kesho niwe Dar ila nauli ya kufika Dar Sina nina 40k tu, naombeni kama Kuna dereva anapita hii njia ya Bariadi - dar anipe rift nifike dar wakuu. Naombeni sana madereva 🙏 Update;Nilifanikiwa na maisha yanaenda fresh tu
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Drafti: Ronaldo kaisha tangu arudi kutoka ughaibuni, kesho atacheza na Simba Dom kwa aibu atakayoipata hatokaa asahau

    Kuna wakati kulikuwa na ubishi nani mkali kati ya dogo Sisko(jini) na Ronaldo (mwanasayansi) kiukweli kwa kipindi kile angalau angalau angefurukuta ila alikuwa kila akiwekewa dau acheze naye anakimbia au akijua kwenye mashindano Sisko yupo jamaa hashiriki hayo mashindano. Sasa bwana jamaa hapa...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kesho mafuta yatapanda bei?

    Kesho kwa maana ya masaa machache yajayo Kuna tetesi za wazi kwamba kesho ni kiama kingine cha ongezeko la bei kwenye mafuta Mafuta Yaliyopanda bei ni yale yaliyokuwa nchini.. Ambayo kiuhqlisia hayakupaswa kupandishwa bei Sasa mzigo mpya ni ule ambao umepitia misukosuko ya vita hata kama...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Dabi ya Simba na Yanga kesho mashakani

    Hizi ni za ndani kabisa kesho mechi ya Simba na Yanga iliyopangwa kufanyika katika uwanja wa Meja Isamuhyo ipo kwenye hati hati ya kutochezwa. 'Updates' zitakuja hivi punde au kesho asubuhi.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Wa Rwanda Paul Kagame Kufanya Ziara Ya Siku Moja Nchini hapo Kesho. Kufanya mazungumzo na Taifa Rais Samia Moyo Wa Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Kufanya Ziara ya Siku moja Nchini siku ya kesho. Ambapo katika ziara hiyo atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wetu Mpendwa na Moyo Wa Taifa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Rais wetu Mpendwa anaendelea kuonyesha...
  6. The Dictator

    JamiiForums Tanzania UAE yatangaza kujiondoa rasmi katika muungano wa OPEC na OPEC+

    Serikali ya Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza rasmi leo, Aprili 28, 2026, uamuzi wake wa kujiondoa katika Shirika la Nchi Zinazouza Mafuta Duniani (OPEC) pamoja na muungano wa OPEC+. Uamuzi huu utaanza kutumika rasmi tarehe Mei 1, 2026. *****  UAE (kupitia Abu Dhabi) ilijiunga na OPEC mwaka...
  7. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Malezi: Tunarithishana maumivu

    Kuna kitu nime witness Leo kwenye daladala, Kuna mama sjui bibi! Alikua na mtoto mdogo, very innocent.. inaonekana kabisa hakua mama yake, yule mtoto hakua comfortable, alikua anaumwa jino (nilikuja kugundua baadae!) So kwanza dogo, dogo kawekwa pembeni, siti ya kukaa watu wawili yule mama...
  8. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Msiteseke kwa ajili ya kesho msioijua

    Nimeona nyuzi nyingi za kipumbavu humu Jf , kuanzia namna ya kukaa na wanawake kwa akili, jinsi ya kufanikiwa kiuchumi na mpaka wengine kujifanya ni life coaches. Acheni kujisumbua na uo upumbavu , ishi kwa kufuata dhamira yako , sababu ya wew kujikuta umezaliwa Africa ni ishara tosha kwamba...
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Daladala Mwanza, Dar es salaam zaomba kusitisha huduma ya usafiri kuanzia kesho tarehe 09

    Saa chache baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra) kutangaza kuongeza muda wa wiki mbili zaidi wa kupokea maoni kuhusu mapitio ya nauli, Umoja wa Wasafirishaji Abiria Dar es Salaam na Mwanza umeomba kusitisha kutoa huduma. Kwa mujibu wa wasafirishaji hao, sababu kuomba...
  10. M

    JamiiForums Tanzania LATRA kupokea maoni ya nauli kuanzia April 8, 2026

    MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) leo itaanza mchakato wa kupokea maoni ya wadau kuhusu uwezekano wa kufanya mapitio ya nauli za usafiri wa umma, baada ya kupanda kwa bei ya mafuta na wadau kulalamika kunachangia kuongezeka kwa gharama za uendeshaji kwa watoa huduma. Taarifa ya umma...
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Nimesurubiwa leo nitafufuka kesho kutwa

    Wapendwa wananangu, Leo, nimesurubiwa. Hivyo, msiposikia toka kwangu, ngojeni hadi nitakapofufuka soon. Hilo ndilo neno la 'Mungu' jamaa alisurubiwa, akafa, akazikwa na kufufuka. Yuko wapi? Msiniulize. Habari ndiyo hiyo.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kesho ni sikukuu ya wajinga, je umewahi kudanganywa au kudanganya nini kwenye sikukuu ya wajinga ?

    Tar 1 mwezi wa 4, dunia hua inaadhimisha sikukuu ya wajinga, ambapo watu wengi wanaitumia siku hii kuwafanyia watu utani au kuwadanganya ili waisherehekee vizuri siku ya wajinga wakiwa kama wajinga waliodanganyika. Je katika sikukuu ya wajinga uliwahi kudanganywa nini ? au kama ulipata fursa...
  13. 888I

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Uaminifu: Madhara ya Kuminya Habari na Mtego wa "Content Creators"

    Mimi ni Mwanahabari na Mtanzania Nasema ... Kuna huzuni nzito inayotanda ndani ya vyumba vya habari nchini,siyo huzuni ya kukosa vifaa au teknolojia, bali ni huzuni ya kuona taaluma yetu ikigeuzwa kuwa "kipaza sauti" cha upande mmoja, huku misingi ya uhuru wa kutoa maoni na kuchambua ukweli...
  14. Bani Israel

    JamiiForums Tanzania Waliotuletea dini wote wanakula sikukuu kesho ila sasa nchi yangu 🥲

    Iran kwa washia pamoja na vita vyao kesho wanaangusha ngamia MashaAllah nako Saudia chimbuko la sunni nako kesho ni shughuli yani middle east yote kesho ni bata batani Inashangaza tanzania imekuwa kawaida kusherekea sikukuu hizi siku ambazo ni tofauti na tunaowaangalia kama ndio chimbuko la...
  15. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Mach 17 kesho tunaenda kushuduia unafiki wa kiwango cha kupitiliza cha wanasiasa wa Tanzania

    Kesho kila mtu atajifanya alikua rafiki wa JPM hata maadui zake kesho wanaenda kutumia karata ya uzalendo wa JPM na wao kujifanya wanasisitiza watanzania kua wazalendo wakati ni kinyume chake. Kesho tunaenda kuona na kushudia hata wale waliosema...
  16. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kesho Machi 17 kwenye kumbukumbu ya Hayati Magufuli tutashuhudia unafiki wa wanasiasa wa Tanzania

    Kesho kila mtu atajifanya alikua rafiki wa JPM hata maadui zake kesho wanaenda kutumia karata ya uzalendo wa JPM na wao kujifanya wanasisitiza watanzania kua wazalendo wakati ni kinyume chake. Kesho tunaenda kuona na kushudia hata wale waliosema bahari imetulia au waliosema wabaya hawafi nao...
  17. M

    JamiiForums Tanzania EWURA: Tunaomba sana kesho utufanyie jambo lililotukuka

    Kesho baba EWURA tunakuomba utuvushe sisi wauza mafuta kuanzia vituo vya mafuta mpaka wauza vidumu Tunakuomba upige kwenye mshono kwa pigo takatifu hii itasaidia kupanda kwa bei za usafiri na bidhaa ili tuweze kujipatia faida juu ya faida. Kwa wale washangiliaji, mtakatifu Trump amewasikia...
  18. PLOII

    JamiiForums Tanzania Wadau mna lipi la kusema? Maana sielewi Simba as the

    Wadau mna lipi la kusema? Kesho nilale ndani au?
  19. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Eti refa akiharibu mchezo wa kesho tutamfunga!

    Hii ni kauli ya Karia,kwahiyo siku hizi masuala ya mpira yanapelekwa mahakamani? Wakati jamaa fulani walikuwa wanapeleka kesi mahakami,si mlipiga kelele kuwa masuala ya mpira hayapelekwi mahakamani,sasa imekuwaje?
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Natakiwa kulipwa Milioni 7 ya NSSF, nimepewa 198,000, nyingine hadi mwaka upite, wanajua kesho yangu?

    Kero yangu ni kwa watu wa NSSF, nilikuwa nafuatilia mafao yangu ya ukomo wa kazi kwenye statement yangu kuna shilingi 7,000,000 kazini nilikuwa nalipwa 600,000, hivyo NSSF nilikuwa nawekewa 120,000 sasa imefika wakati wa kufatilia nakuja kulipwa Shilingi 198,000. Sasa hiyo hela mimi naifanyia...
Back
Top Bottom