Kevzy
JF-Expert Member
- May 23, 2026
- 969
- 1,695
Msio amini M/Mungu habari zenu
Moja Kwa Moja kwenye sikitiko langu hili, msaada Kwa wenye mahitaji, walemavu wa aina mbali mbali
Yaani natoka asubuhi nashindwa hata kuandaa japo TSH 500 ya kutoa sadaka barabarani na isitoshe nyumbani nimeshaacha kibaba Cha unga na mboga mlo wa siku, na kwenye pochi nna pesa ya ziada, yaani nawapita tu wenye mahitaji barabarani bila hata kuwapa hata mia mbili au tatu , aisee roho imenikereketa sana Leo, mwaka nzima huu sijatoa hata mia Kwa wenye mahitaji barabarani wanaokaa na kuomba chochote , M/Mungu naomba msamaha wako
Kibaya zaidi nawaona na nawapita na kikubwa Zaid Wana visipika vya kutangaza kuomba msaada yaani nawasikia hata wakisimama Kwa mbali, roho inaniuma sana
Naomba niweke ahadi yangu hapa jf, Mwaka kabla haujapinduka huu nitafanya jambo Kwa walemavu na wenye mahitaji wanaoomba mabarabarani,🙏 panapo majaaliwa na nikiwa na uzima, kwanza nitaanza kuandaa hizi jero jero nitoe kila siku alaf nitandaa sadaka kubwa zaidi Kwa ajili Yao, amiiina
Kwani kanisani najipindaga natoaga sadaka kubwa tu, sisemi nakosea hapana ila natakiwa nitoe na Kwa Hawa wa barabarani kwani sijui kesho yangu au sijui kwenye mgongo wangu M/Mungu ameweka nn? Na sijui kesho Yao
Na hii Kwa wote wale kama Mimi tunaowapita walemavu na wenye mahitaji barabarani, tusiwapite tuwape chenji zilizobakia
Asante