Mnaotaka kuandamana Jumanne 7/7, mmejipangaje?

Mnaotaka kuandamana Jumanne 7/7, mmejipangaje?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,704
Reaction score
18,000
Unajua Mimi pia napenda ccm ing'oke ( ila siungi mkono maandamano ya amani)

Wenzenu CCM wana majeshi yote, jwtz imeshajiweka wazi ipo kwa ajili ya kulinda mipaka ya ccm isiingiliwe, jeshi la polisi lipo pale kulinda viongozi na malizao, nyie mna nini??

Kwamfano na nyie mmekuja na silaha zenu za moto na jeshi lenu, Yani mithili ya m23 ningewaelewa.

Kuitoa CCM ni kwa njia ya kuunda jeshi la uasi lakini kwa njia hiyo eti maandamano ya amani mtasubiri sana.

Hizo nguvu mnazotumia kuhamasisha maandamano mngezitumia kuunda jeshi lenu na kuomba udhamini wa silaha hata baada ya miaka miwili ndio kinaumana.

Jumanne ni mwendo wa za kichwa, mnaenda kupamabana na wanajeshi na vijana wa mafwele.

Mimi nitakuwa zangu ndani naangalia kombe la dunia.
 
Ibara ya 20(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Ibara hiyo inasema:

"Kila mtu anastahili kuwa huru, bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani..."

Hii ndiyo ibara inayotambuliwa kama msingi wa kikatiba wa uhuru wa kukusanyika na kuandamana kwa amani nchini Tanzania.
 
Nakuhakikishia, hakuna mwananchi atakayeandamana barabarani na bango lolote hio jumanne. Labda waandamane vitandani na majumbani mwao.
 
Ibara ya 20(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Ibara hiyo inasema:

"Kila mtu anastahili kuwa huru, bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani..."

Hii ndiyo ibara inayotambuliwa kama msingi wa kikatiba wa uhuru wa kukusanyika na kuandamana kwa amani nchini Tanzania.
Kijitabu? Wao washaonesha hawafuati katiba kwenye mambo mengi sio Hilo la maandamano tuu, inatumika njia ileile iliofeli kutafuta matokeo badala ya kutafuta njia mbadala.
 
Ni upumbavu mtupu. Watu wamewaua ndugu zenu kwa maelfu bado mnawakenulia meno. Yani hata ile polisi kupigwa jiwe hamna.

Matak.o yenu
 
Back
Top Bottom