Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,437
- 17,914
Kutakuwa na mgomo wa madereva wa malori yanayosafirisha mizigo kesho.
Nimepakia mzigo wangu kwenye lori ila nimepewa angalizo, kwamba kesho hawatashusha sababu kutakuwa na mgomo. Labda kama watafika kabla ya saa 12 ahsubuhi ndio naweza kushusha. Nimeongea na m1 wa madereva ambao huwa namtumia kanihakikishia kuwa kesho mgomo upo.