Kevzy
JF-Expert Member
- May 23, 2026
- 632
- 951
Hamjambo nyie waja
Binafs sitaki niulizwe, yaani ukute leo nimetoa uzi mimi mwizi, kesho kutwa mimi askofu au sheikh sitaki niulizwe au nikumbushiwe
Uwa nawa replesent watu wangu wa karibu, sasa mkiniuliza mimi nilikuwa mlevi vipi leo naswalisha sitak maswali ya hivyo
Humu kuna watu hawaelewi.. mpaka niwakamatishe kwa wazee wa UNUNI…. Jisheshimuni
By the way nawapenda sana JF.. wanaume shikamooni ila wanawake nawapenda wote nikipata nafasi nitawatongoza