kero

  1. Ushauri kwa Rais na washauri wake: Anzisha vipindi vya televisheni kusikiliza kero za wananchi na kupokea simu zao

    Ushauri kwa Rais na watu wake, hii itasaidia sana kusikiliza kero za Tanzania nzima kwa wakati mfupi. Anaweza kuwa live kwenye TV na radio. Kuliko sasa hivi anatupotezea muda bara barani anafunga bara bara na ni hatari kwake. Hakuna mkuu wa wilaya au mkoa anayeweza kuzuia mwananchi asipeleke...
  2. I

    Kero hii NHIF hadi lini?

    Pale unapokwenda kutafuta tiba na katikàti ya huduma unaelezwa na madaktari husika kuwa: "Kipimo au tiba hii haiingii kwenye NHIF, inabidi ulipie cash." NHIF mlipoanza huduma hii hili mlilipanga vipi? Je, ni haki mteja wenu mnamkata pesa kila mwezi na mara nyingi haugui ama kutumia kadi hata...
  3. Kero: Tabia ya ajabu Mbeya kuchangisha pesa za misiba imezidi mno

    Binafsi niweke wazi kabisa kwamba napenda kuishi kijamii na wala sinaga tatizo na misiba ila hali ya mbeya imezidi sana Sasa kwa huku Mbeya hali ya misiba imekuwa tofauti sana, watu hawajali kushiriki kwako msibani hawakwambii hata msiba ulipo mpaka uwauilze na hata hawajali ukaribu wako na...
  4. Airtel Tanzania ondoeni hii meseji mnayotuma kwa wateja kila muda, pindi wanapopiga simu na kukata simu. Ni kero

    Yaani kila ninapo mpigia mtu simu mnatuma meseji yenu hii. Nikikata simu mnatuma pia, licha ya kuwa na kifurushi cha dakika. Kwangu mimi ni kero kufuta meseji zenu kila muda. Nimewapigia simu mara kadhaa na kuwaeleza kero hii ila hamjaweza kuondoa kero hii. Na hii ni huduma ambayo sikujiunga...
  5. Jafo awaonya wanaosababisha kero za kelele na mitetemo

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo amewaagiza wamiliki wa kumbi za starehe na burudani kuhakikisha sauti zitokanazo na shughuli zao hazizidi viwango vinavyokubalika kwa mujibu wa sheria. Waziri Jafo amesema hayo hii leo Jijini Dodoma wakati wa...
  6. Vodacom kumbe ni kero

    Wakuu habari, Juzi nimebakisha salio la kawaida sh. 2000, leo nataka kujiunga kifurushi wananiambia salio halitoshi, naangalia Kuna sh 1900 tu. Nawapigia Wanasema eti salio limekatwa kwajili ya huduma ya THE BEST wakati sijiungagi na huduma yoyote ya kipuuzi puuzi, yaani hii mitandao ni wezi...
  7. Misafara ya viongozi wa Serikali ni manyanyaso kwa watumia barabara

    Wakuu niko njiani nasafiri na bus la Shabiby kuelekea Dodoma, tumesimamishwa hapa eneo la ubena kupisha msafara wa kiongozi wa serikali zaidi ya masaa mawili sasa tumesimamishwa. Je, ni halali watu kusimama hivi barabarani muda mrefu bila huruma kisa mtu mmoja anapita kuelekea Dar? kwa nini...
  8. Suala la Wamachinga: Kuwatimua DC na DED inaweza kuonekana ni kuwatetea "wanyonge" lakini ni kuendeleza kero kwa wananchi

    Tumeona karibuni Mama Samia kamtumbua DC na DED huko Morogoro. Suala ni namna ya kuwaondoa Machinga barabarani. Kwanza, kuwaondoa Machinga na kuwaweka sehemu "iliyotengwa", kwa kweli ni kutoelewa how a machinga operates. A machinga is a small trader of no fixed abode. Machinga angeweza...
  9. Msafara wa kiongozi wa serikali wawa kero Singida

    Nikiwa msafiri leo nikitoka Kagera tumekuta foleni kubwa kabla ya kuingia Singida tunaambiwa ni msafara wa waziri mkuu. Tuliowakuta hapa wanadai wapo tokea saa 7 mchana na sisi tumefika hapa saa 11 jioni na bado hakuna dalili ya kuondoka. Viongozi washughulikie kero hii si sawa kabisa
  10. M

    Ukaguzi wa magari Mbeya umeanza kuleta kero

    Kufuatia agizo la IGP la ukaguzi wa magari nchi nzima ambayo ni nia njema tu limegeuka kero kwa wasafiri mbalimbali hapa mkoani Mbeya. Sijajua mikoa mingine lakini hili zoezi ni kama halikuandaliwa mazingira mazuri ya kukagua ili kutoathili usafiri. Mfano, abiria wameshapanda ndani ya gari...
  11. Kero za askari wa usalama barabarani: Utaratibu wa kutoza adhabu barabarani uangaliwe upya

    Nitangulize kupongeza wote waliohusika kubadili utaratibu wa kutoza adhabu za vyombo vya usafiri barabarani badala ya ule wa awali ambapo mahakama pekee ndio ilikuwa inatoza. Hakika, walikuwa na nia njema ya kuondoa usimamaji wa vyombo vya usafiri kusubiri hukumu ya mahakama. Pamoja na nia...
  12. K

    Samaki sio wa kuokota Kama senene/ kumbikumbi

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Kuna hii tabia ya watu wa mikoani ambapo hakuna ziwa Wala bahari Wana tabia ya kuagiza vitu utadhani vinakwenda kuokotwa tu Unakuta mtu anakwamba ukirudi kutoka Mwanza naomba uniletee samaki na dagaa kwani wa uko ni watamu Sana Pengine hata shilingi mia moja...
  13. Kuchati kwenye simu wakati mmetoka 'out' na mtu ni kero

    Habari gani watu wa nguvu..! Poleni kwa Majukumu ya siku nzima na kwa wale walioingia kazini usiku huu, Majukumu mema. Acha niende kwenye maada, katika karne hii ya 21 kuna mambo memgi yamejitokeza, Mengi mazuri na Mabaya machache. Moja ya mambo yaliyokuja kwenye karne hii ya 21, ni pamoja...
  14. C

    Kero ya usafiri wa daladala Mloganzila

    Habarini wadau wote wa humu. Baada ya kusubiri kwa muda mrefu ili angalau wahusika waone hili tatizo,nimeona ni bora niwape taarifa maana naona bado watu wanaumia. Kabla ya kuzuiliwa Daladala kutoka nje ya mkoa wa Dsm kuingia mjini kati kulikuwa hakuna tatizo la kutoka na Kurudi...
  15. Umeme wa TANESCO umekuwa kero katika wilaya ya Masasi

    Sisi wananchi wa wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara kuanzia jana umeme umekuwa unakatika kila baada ya dakika 10 na kuleta madhara makubwa kwa sisi wananchi ambao tunautumia kwani tunaunguliwa na vifaa ambavyo vinatumia umeme. Pia majokofu yanashindwa kufanya kazi kwa ufanisi kutokana na kero ya...
  16. Mfumo wa Tasac nao haupatikani wiki ya pili sasa. Kuna kipi kinaendelea?

    Tasac mfumo wao nao haupatikani hewani itakikanavyo. Kwa nini mifumo mingi inasumbua sana jamani kwa sasa?! Mfumo wa mikopo benki mbovu mwezi unaenda wa pili sasa. Inakwaza sana!
  17. Nini matatizo sugu ya mkoa wa Dar es Salaam?

    Sisi wakazi wa mkoa huu wa Darisalama na wageni wetu hebu tuorodheshe kero sugu zinazoukumba mkoa wetu huu ili kuwasaidia watatua kero wazisikie na kuzifanyia kazi. Kwa kuwa hawawezi kufika ktk kila kona basi mimi na wewe ndio wawakilishi wazuri kuziorodhesha kero zetu. 1.Malori kuingia mtaani...
  18. D

    Unashauri njia gani sahihi kupita kati ya hizi tatu zenye kero?

    Mwendo ni mrefu na inatakiwa upite kila siku njia hiyo hiyo: kutoka Mji (A ) kwenda kula JIJI (B). Zingatia; (Hairuhusiwi kwenda kwa miguu, pikipiki wala bajaji) (Njia ya kwanza ni Lami yenye Foleni): Kutoka sehemu (A) kwenda (B) kuna barabara ya lami, lakini imejaa magari mengi na inafoleni...
  19. R

    Waziri Lukuvi njoo Tanga utatue kero za Urasimishaji mashamba na viwanja unaofanywa na H/ya wilaya ya Muheza na Mkandarasi aitwaye MAKAZI SOLUTIONS

    Huu ni mradi wa urasimishaji wa mashamba na viwanja katika Wilaya ya Muheza. Mkandarasi niMakazi Solutions. Ni katika yaliyokuwa mashamba ya Geiglizi na wawekezaji wengine wa Kizungu tanga ukoloni. Kero baadhi 1. Mradi kutokamilika 2. Ahadi za kutoa hati zisizotekelewa 3. Malipo yasiyo na...
  20. M

    Wizara kuweka gharama za kulipia nguzo 1,2,3 = Tsh 27000/= linaleta kero kubwa, TANESCO hawana uwezo wa kufidia punguzo hilo

    Wizara ya Nishati umeshindwa kutatua kero za kuunga umeme kwa wananchi na badala yake imezidisha ugumu wa kupata huduma ya umeme hasa kwa wateja Wanahitaji nguzo 1,2,3,4,5,6,7,8,9, Hadi kumi. Wizara ilitoa sharti gumu kwa TANESCO inayojiendesha kihasara kupunguza gharama za umeme wa nguzo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…