kero

  1. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Raisi Mbona hawa wananchi hawaelezi kero zao

    Wandugu nawashangaa hawa wananchi wanaotembelewa na Raisi Samia siwasikii wakieleza kero zao wamesimama tu kama makatuni flani hivi,hawajielewi au wametishwa.
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kulala wageni Dar imekuwa kero sana, wahusika fuatilieni hili ni hatari

    Wadau hili suala limekuwa kero sana na imekuwa kasumba kwamba unapoenda kutafuta chumba unaulizwa kwanza kama unalala au ni fasta. Sasa ukisema unalala unaambiwa hatupangishi vyumba vya kulala mpaka Saa nne usiku. Kwa maana hiyo Sasa hivi gesti zimebadilisha matumizi badala ya nyumba za...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bei za mafuta nchini Tanzania limekuwa tatizo na changamoto kubwa kwa wananchi imetokana na vita zinazoendelea nchi za Ulaya

    Kila kukicha Serikali imeendelea kutangaza mfumuko ya bei ya mafuta mpaka sasa kwa mkoa wa Dar es salaam lita moja ya mafuta ya petroli inakaribia elfu tatu miatano, miezi iliyopita bei za nauli ziliongezwa ili kuendana na mfumuko ya bei ya mafuta. Vita zinazoendelea kati ya Urusi dhidi ya...
  4. Kelela

    JamiiForums Tanzania Kero: RITA mna matatizo gani?

    Habari wana JF, Naandika uzi huu ili kuelezea kero zangu na wengine wengi kuhusu RITA kama kuna wahusika humu walifanyie kazi. Natoa kero hizi leo Tarehe 26-Julai-2022 1. Kero ya Kwanza: Namba ya Huduma kwa wateja ni BUTU. Namba ya Huduma kwa wateja ya RITA haifanyi kazi, yaani ukipiga...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chenga ya mwili: Walininukuu vibaya, sikusema nyongeza ni asilimia 23.3 kwa kima cha chini bali nyongeza ni sh 23,300/= kwa kima cha chini!

    Kama nyongeza kwa kima cha chini ni sh 23,300/= maana yake nyongeza inapungua kwa kadri mshahara unavyokuwa mkubwa hadi nyongeza inakuwa chini ya sh 10,000/=. Na ndivyo watumishi mlivyopata kwenye mishahara yenu! Bila shaka sasa nimeeleweka!
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Simu janja / Smartphone kuendelea kuwa saizi kubwa kiganjani kuzidi za zamani, hii ni kero kwangu tu au?

    Smartphone kibao siku hizi zimekua kubwa sana aisee, hasa hizi za line mbili ambazo kibongobongo ni wengi tunatumia line za ziada. Nakumbuka zamani simu kibao zilikuwa zinakaa kiganjani unakuta saizi yake ni incni 5.0 kushuka chinim yani kiganjani unatumia fresh. hizi mpya yani kawaida kukuta...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi achanja mbuga kusikiliza kero za wananchi na kuhamasisha sensa jimboni

    DKT. SAMIZI ACHANJA MBUGA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI NA KUHAMASISHA SENSA JIMBONI. Leo imekuwa mwendelezo wa ziara ya Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe Dkt. Florence George Samizi ambaye ametembelea kwenye Stendi ya Halmashauri ya Kibondo na kuhamasisha Sensa ya watu na makazi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi na kazi ya kutatua kero za wananchi jimboni

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi na ziara yake Jimboni kwake kuendelea kusikiliza kero za Wananchi na kuzitatua, kusisitiza watu kujitokeza kwa wingi kuhesabiwa kwenye Sensa na mambo mengine mengi.
  9. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kero: RC DSM tuondolee kampuni zinazokamata magari ni kero na zinachochea rushwa rushwa

    Kilio chetu kwa mkuu mkoa DSM sisi wananchi mkoa DSM kuna tabia sasa imerudi ilikuwepo zamani ikaondolewa wakati fulani sasa imerudi tena kwa kasi. Kuna kampuni zimesajiliwa sijui na TARURA kukamata magari barabarani pale unaposimama na kupaki mahali au gari ikiwa imeharibika njiani. Kwanza ni...
  10. Head prefect

    JamiiForums Tanzania Kero ya kusota vituo vya mwendokasi muda mrefu

    Wakuu Salaam. Sijui kama watu wengine wanakerwa na huu utaratibu. Kumekuwa na utaratibu abiria wanakaa sana vituo vya mwendokasi haswa Gerezani, Msimbazi B na Msimbazi A huku mabasi yamepaki Gerezani kule madereva wanapiga hadithi. Ni nini maana ya kuita Rapid Transfer ikiwa abiria anakaa...
  11. Sam 2023

    JamiiForums Tanzania Kero: Tabia ya kurundika/kumiliki vitu vingi kuzidi uwezo wa kuvimudu au kuvitunza

    Habari ya wakati huu wakuu? Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye hii tabia ya watu kupenda kumiliki vitu vingi visivyotumika. Nitavitaja kimoja kimoja lakini sioni mantiki ya wao kufanya hivyo kwa sababu wakati mwingine huishia kutengeneza uchafu. 1. Mabegi/mafurushi makubwa kwenye safari...
  12. May Day

    JamiiForums Tanzania Kero ya taka Mijini, kila Mtaa wamiliki "incenerator"

    Incenerator ni Mtambo utumikao kuteketeza taka. Mitambo ya aina hii ni maarufu sana kutumika kwenye Mahospitali na Viwandani, ila pia ipo Mitambo mikubwa na midogo kwa ajili ya kutumika majumbani. Ukizunguka kwenye Miji hii mikubwa kama Jiji la Dare Es Salaam, Arusha n.k lazima utakubaliana na...
  13. aka2030

    JamiiForums Tanzania Magari kupaki barabarani ni kero kubwa, Serikali wanaojenga majengo michoro iambatane na parking

    Hasa Dar imekuwa kero sana hivi halmashauri inakuwaje mnatoa ujenzi wa majumba katikati ya Mji mahoteli na ya biashara bila majengo hayo kuonesha wapi magari yatakuwa yanapaki? Watu wakipaki magari yao barabarani inakuwa finyu watu tunashindwa kupita kwa amani na magari yetu ya kifahari
  14. Enkaly

    JamiiForums Tanzania Kero ya daraja la Nyiburu kwa wakazi wa Chanika

    Daraja la Nyiburu ni daraja pekee ambalo limekua kero kwa wakazi wa Chanika. Madiwani wapo, wabunge wapo hivi inahitajika nin cha ziada ambacho kama wakazi tunaweza kuelezwa mkandarasi alipewa muda gani kumaliza hilo daraja? Sasa ni zaidi ya miwili kama wanajenga flyover kweli? Daraja la...
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama, Waziri wa Ulinzi watembelea watumishi wa Mzinga, watoa neno kuhusu maslahi yao

    Serikali imedhamiria kwa dhati kutatua changamoto za watumishi wa umma katika Shirika la Mzinga lililopo mkoani Morogoro ikiwa ni pamoja na kuboresha maslahi yao. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora, Jenista Mhagama (Mb) aliyefanya ziara ya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Waziri chengerwa awadhihirishia Watanzania kuwa; kero za Wizara ya Utamaduni na Michezo zinaenda kuisha kupitia bajeti yake ya 2022/23

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa leo amewasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 ya zaidi ya shilingi bilioni 35.4 Akiwasilisha bajeti hiyo bungeni jijini Dodoma Waziri Mchengerwa amesema kati ya fedha hizo Shilingi Bilioni 8.2 ni Mishahara...
  17. aka2030

    JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa kuhubiri injili kwenye magari ya abiria ni kero kubwa, LATRA muingilie kati

    Mtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno la Bwana bila kujua watu waliopo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka. Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Tukibadili mtizamo pale Kivukoni Kigamboni tutaondoa kero ya kudumu na kuzalisha Masaki mpya kama hivi

    Historia ya mji wa kigamboni ilikuwa shamba, kama ilivyokuwa mbezi beach na maeneo mengine yaliyokuwa pembezoni mwa mzizima (Dar) Mawazo ya kuleta kivuko pale kigamboni yalilenga tiba ya dharula kwa wakati huo teknolojia ilikuwa haijasambaa duniani! Hivyo matumizi ya kivuko siyo usafili wa...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Noah yenye namba za polisi (PT) inayotumiwa na trafiki kwa RPC Kilimanjaro ni kero

    Gari hiyo inatumika kubeba matrafic kuzunguka barabara kuu ya kutoka moshi mjini hadi Hai inakusanya rushwa na TAKUKURU Kilimanjaro wana Najua na wana Piga kimya. Kuna Askari mama mfupi mzee kazi yake ni kupiga magari touch na kufanya makubaliano ya kuomba fedha. Mashine ya EFD wanayotembea...
  20. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Uongozi: Mambo ya Kibajeti na yasiyo ya kibajeti kiutendaji

    Habari za leo wana JF Naomba sana usome bila kuchoka tafadhari ni ombi. Naomba tushirikiane kwa elimu,kukumbushana na umuhimu wa hadidu za rejea kwa wenye dhamana za mamlaka za uteuzi au wateule wenyewe, na pia umuhimu wa mamlaka za uteuzi kuainisha na kuzingatia vigezo msingi katika uteuzi...
Back
Top Bottom