kero

  1. Just Distinctions

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuzielewa Submeter za Umeme aje hapa

    Habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kuhusiana na submeter ambazo zinaonesha ni kiwango gani mpangaji anatumia umeme, Je zinafanyaje kazi?, je zipi ndio nzuri na ni brand gani ndio imara zaidi? Wapi zinapatikana na gharama yake ikoje?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kufanya mapenzi kwenye vyoo vya kumbi za starehe na baa imekithiri na imekuwa kero

    Unabanwa haja ukiwa baa au klabu, unaenda ili ujisaidie unafungua mlango lakini haufunguliwi. Baadae anatoka mwanaume na mwanamke. Hii imekithiri sana hapa Bongo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kero Kituko Uwanja wa Ndege Zanzibar

    Naipongeza serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kufanya ukarabati mkubwa wa uwanja wa ndege wa Zanzibar, ambapo ni wazi umebadilisha taswira ya uwanja kuwa bora kuliko ilivyokuwa awali. Cha ajabu ni kwamba pamoja na ukarabati huo kuna kero mpya imejitokeza hasa kwa abiria wanaondoka/wanaotoka...
  4. Saint_Maxi

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie Jicho Kero ya usambazaji wa Umeme eneo la Ukara, Ukerewe

    Ukara wilayani Ukerewe mkoa wa Mwanza kuna shirika la umeme (JUMEME) linahusika na huduma ya usambazaji wa umeme wa nguvu ya jua ila kero ipo kwenye bei. Bei ni Elfu mbili 2000/= kwa kila unit, na namna ya huduma ya kila mteja katika matengenezo yao, kwasababu mita ina tatizo ukimtafuta fundi...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kama ulianza kutumia Internet mapema miaka ya 1990 na 2000 njoo hapa tukumbushane Internet Cafe tulizoenda, Vimbwanga, Kero na Kumbukumbu

    MUHIMU: UZI HUU SIO WA KUKUMBUSHANA COMPUTER GAMES Binafsi nilianza kwenda Internet cafe 2002, computer zilikuwa zenye visogo 😂 . Mitanado maarufu kwa hapa bongo ilikuwa ni Marafiki.com na DarHotwire, baadae zikaja Jamboforums (kwa sasa jamiiforums), Hi5, Bongo 5, tulikuwa tunalipia kwa...
  6. Equation x

    JamiiForums Tanzania Fani yako inakusaidiaje katika kutatua Kero za Jamii?

    Wengi huwa tunajifunza fani mbalimbali ili mwisho wa siku tuweze kutatua kero au changamoto za jamii; mfano: Daktari atatatua kero za wagonjwa kwa kuwatibu. Mwalimu atatatua kero za wajinga kwa kuwapa elimu na ujuzi. Mzibua vyoo atatatua kero ya kuzagaa kwa maji taka na kuelekea kwenye mfumo...
  7. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Kuongelea kero ya maegesho, Chalamila umechukua heshima yangu!

    Hawa jamaa wamekithiri mno kunyanyasa watu. Nashukuru kuwa mamlaka imegundua kuwa wanatumia vibaka.
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Chama tawala kinaagiza wakati CHADEMA Mbowe anasema anachukua kero na atampelekea SAMIA

    Mimi siamini katika mikutano ya hadhara hasa ya upinzani baada ya uchaguzi. Sababu yangu ni moja, wapinzani hawana ufumbuzi wa kero za wananchi. Hii imeoneka wakati wa Kampeni ya 255 ya CHADEMA wanasema wanachukua kero ili wazipeleke kwa rais wakati Katibu mkuu wa wa CCM anaagiza na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mikutano ya Act wazalendo sio kama ya Chadema na vyama vingine. Sisi tunaeleza kero na namna ya kutatua.

  10. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Mbio za Mwenge ni KERO kubwa DAR

    Maeneo yanayopitiwa na mbio za mwenge wananchi wanateseka bila sababu. Chukulia mfano leo mwenge ulikuwa unaenda kuzindua barabara iliyojengwa kiwango cha zege kuanzia eneo linaloitwa sauzi mpaka matosa kuelekea njiapanda ya Goba. Cha kushangaza barabara ilifungwa tangu jana kuanzia msikiti...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kamati yaanza kupokea kero za wafanyabiashara Kariakoo

    Kamati ya watu 14 ya kushugulikia changamoto za wafanyabiashara nchini imeanza kazi kwa kukutana na makundi tofauti ya wafanyabiashara. Kamati hiyo ilisema Dar es Salaam jana kuwa itafanya kazi kwa weledi, itasikiliza maoni yote na itazunguka katika masoko nchini. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dk...
  12. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Kusafiri gari moja na watu wa jamii ya kifugaji ni kero

    Hapa namaanisha Wamasai, Wagogo, Wasukuma na Mang'ati hawa watu usafi kwao ni sifuri wanajifunika na mashuka na mablanketi yanayonuka sana na mara nyingine yana kunguni na chawa. Usafi wa kinywa hawazing'atii wananuka midomo sana hawa watu usiombe ukae nao siti moja utajuta. Mara nyingi...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Hii tabia yake imekuwa kero na inaweza hatarisha maisha ya mtu

    Naombeni ushauri wenu. Demu anakula pesa zangu jinsi atakavyo. Ikifika wakati wa mimi sasa kumla anakuwa na masharti Kuna styles hazitaki. Anasema hawezi fanya mapenzi kwa style hatarishi kwake. Na anasema nyingine ni za kimalaya wakati yeye ni mtu wa dini. Sasa nikamwambia basi awe mtu wa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Je watanzania tunahitaji nini? tunafikiria na kuwaza nini? nini hatma ya nchi yetu kama mali tunazo, ardhi tunayo, je ni lini tutaondoka na kero.

    Kero kama maji, umeme, afya, elimu, ujinga na umasikini, lini tutaweza kuwa na umoja na ushikamano katika kujenga nchi, kutoa ubinafs kwa walio na nafasi, kujitegemea kupitia rasilimali zetu tulizonazo, kukataa rushwa na kutenda haki, je tunahitaji nini kama nchi ili tuweze kusonga mbele.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Waalimu, madaktari, wasomi na watu wa sekta nyingine tujifunze kwa wafanyabiashara wa Kariakoo kuzungumzia kero zetu.

    Wafanyabiashara wa Kariakoo wameonesha weledi mkubwa katika kuelezea kero zao mbele ya waziri mkuu Kassim Majaliwa. Wengi wa wafanyabiashara hawajasoma sana kama waalimu, wahadhiri, madaktari, nk. Wasomi tunashindwa wapi! Waalimu wana kero nyingi lakini hawathubutu kuzungumzia kero zao...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Hongera Waziri Mkuu kwa kuwasikiliza Wafayabiashara. Kero zao zitatuliwe isiwe zuga tu ya kuwatuliza

    Habari, Wakuu kama tunafatilia habari na mitandao tunatambua wiki hii nchini wetu imetawaliwa na matukio mengi. Miongoni mwa tukio lililogusa vituo vya habari ni pamoja na Mgombo wa wafanya biashara wa Kariakoo. Imekuwa sio kawaida kwa viongozi wetu kujitokeza kusikiliza migogoro ya Wananchi...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amewaahidi wafanyabiashara wa soko la Mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya utozaji wa ushuru

    WAZIRI ASHATU KIJAJI AAHIDI KUTATUA KERO YA UTOZAJI USHURU KWA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOA WA MANYARA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewaahidi wafanyabiashara wa soko la Mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya utozaji wa ushuru wa Shilingi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania NEMC Tanga City wadhibiti Wenyeji na vigodoro vya usiku mitaani, ni kero kubwa sana

    Hii ni kero ya miaka nenda rudi hakuna hatua inayochukuliwa. Tafadhali NEMC Tanga wadhibiti hawa watu. Kama mmeweza kwenye mabaa na kumbi za harusi, basi na hili halitawashinda. NEMC yafungia baa, kumbi za starehe 89
  19. Maguguma

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanachukulia poa suala la Kelele, hii ni kero, NEMC wametukumbusha furaha yako isiwe kero kwa mwingine

    Binafsi natoa pongezi nyingi kwa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa uamuzi wao walioufanya hivi karibuni, inawezekana ukaonekana kama wamekosea lakini siku zote binadamu huwa si rahisi kukubali mabadiliko. Mabadiliko yoyote yale huwa yanaambatana na changamoto kadhaa...
  20. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Maafisa utumishi ambao ni approvers wa HCMIS wasiendelee kusababisha hoja hii ya ukaguzi, imekuwa zaidi ya kero

    Wakuu, Nimepitia kwa uchache katika Ripoti Kuu ya Ukaguzi ya Serikali Kuu (MDA) Mwaka 2021-22 2020 ukiacha zile nyingine za LGAs na ya Mashirika, Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali katika ripoti hiyo iliyowasilishwa April Mwaka huu pamoja na mapungufu mengine alibaini; Matumizi...
Back
Top Bottom