kero

  1. JamiiForums Tanzania Tujadili kidogo kuhusu baadhi ya tabia ambazo watu huziona za kawaida ila zinakera sana

    Wasalaaam.. Nina imani mko poa na mnatekeleza majukumu yenu kama ilivyo ada. Kabla ya yote, watu tunafanya mambo kulingana na uhitaji wetu, na tunafanya kwa makadirio ya kuridhika na kitu ambacho tunafanya. Kwa mfano, nikiwa nina hamu ya soda nitanunua kwa lengo la kunywa ili kukidhi ile kiu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wana picha nyingi mitandaoni zisizoendana na utatuzi wa kero za maendeleo; kila jambo wamejiposti

    Ukiona kiongozi anapenda kila anapokwenda vyombo vya habari vimpige picha na kuposti tambua huyo hana maono. Utendaji kazi haupomwi kwa wingi wa picha na ziara ulizofanya; utendaji kazi upimwa kwa idadi ya kero ulizotatua . Na siyo kero ulizotatua pekee bali namna ulivyotafuta ufumbuzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Kwa Barikiwe - Kinzudi ni kero, najiuliza wasimamizi walisinzia wakati kinamwagwa kifusi

    Barabara ya Kwa Barikiwe - Kinzudi ni kero, najiuliza wasimamizi walisinzia wakati kinamwagwa kifusi cha gadeni tena kipindi hiki cha mvua? Hali ya Barabara Africana njia ya kuanzia kwa "Kwa Barikiwe" kuelekea Kinzudi ni mbaya mamlaka zitusaidie hata kukwangua matope maana ni kero kwelikweli...
  4. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Jiji imeshindwa kumsimamia Mkandarasi kuzoa taka kwa wakati Mitaa ya Kariakoo

    Hili siwezi kukaa nalo lazima niliseme maana alihitaji uelewa zaidi wa kibobezi. Mimi nafanya harakati zangu za kutafuta riziki mitaa ya Kariakoo sasa nina mwaka mmoja na miezi kadhaa lakini kuna jambo naomba nililete hapa jukwaani wana JF tusaidiane kulipazia sauti. Kama tunavyojua kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Sisi tunatatua kero Kisayansi, hatupigi kelele

    Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio maana tunatatua kero zetu kisayansi, kimyakimya tunatangaza tumefanya moja mbili tatu.
  6. JamiiForums Tanzania Balozi Nchimbi: Kikokotoo ni kero kubwa, nitamfikishia taarifa Rais Samia

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi ameahidi kuifikisha hoja ya kikokotoo kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwaajili ya utatuzi akisistiza imekuwa kero kubwa kwa wastaafu. Pia amewataka waliopewa zabuni ya kujenga Uwanja wa Ndege wa mkoani Rukwa kuongeza kasi ili...
  7. JamiiForums Tanzania KERO Kero ya ubovu wa barabara ya Majohe, Dar es Salaam

    Habari za weekend wakuu, Tusaidiane kufikisha Hii taarifa ya adha inayowakumba wakazi wa Majohe kwa muda mrefu sana kuhusiana na ubovu wa barabara kuanzia shule ya sekondary Halisi mpaka kituo cha kwa mjeshi. Barabara hii ni mbovu mno kupelekea vyombo mbali mbali vya usafiri ikiwemo usafiri wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kero ya ubovu wa barabara ya Majohe Dar es salaam

    Habari za weekend wakuu, Tusaidiane kufikisha Hii taarifa ya adha inayowakumba wakazi wa majohe kwa mda mrefu sana kuhusiana na ubovu wa barabara kuanzia shule ya sekondary Halisi mpaka kituo cha kwa mjeshi Barabara hii ni mbovu mno kupelekea vyombo mbali mbali vya usafir ikiwemo usafir wa umma...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa NHIF kumtaka mgonjwa akapate Rufaa toka Hospitali za Wilaya ni kero

    Kuna ndugu yangu amelipia kifurushi cha NHIF cha Tshs. 530,000 kwa mwaka. Hapa karibuni amepata tatizo la maumivu ya jino. Kwa vile anaishi Oysterbay, akaamua kwenda kwenye hospitali binafsi iliyo karibu ili kupata matibabu. Alivyofika hospitali, walimwambia kabla ya kupata matibabu inabidi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kero ya umeme Mitaa ya Tegeta, Kilimahewa Juu

    Pamekua na kero kubwa ya umeme tegeta salasala maeneo ya kilimahewa juu. Umeme unakata kata sana bila taarifa na kupelekea vitu kuharibika na kuingia hasara. Tunaomba mamlaka itoe ufafanuzi juu ya hili mana ni maeneo ya huku tu ndo umeme haupatikani lakini maeneo mengine upo. Takribani wiki...
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kaimu Afisa utumishi Halmashauri ya wilaya ya Mwanga ameshindwa kusimamia maslahi ya watumishi

    Watumishi wa umma Kwa umoja wenu ninawasalimu na kuwaomba msome ujumbe huu,wenye kilio cha Afisa utumishi Halmashauri ya Mwanga. Mh Waziri uliyeaminiwa na Mh Rais Samia suluhu Hassani, tunakuomba , ufahamu, kumtambua na kumuondoa huyu kaimu Afisa utumishi wa hiyo Halmashauri. Suala la haki...
  12. N

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya Soko la Ndizi Mabibo ni mbaya, mamlaka ziwajibike kwa kufumbia macho kero ya Wananchi

    Hali ya Soko la Ndizi Mabibo ni mbaya mamlaka ziwajibike kwa kufumbia macho kero ya Wananchi. Hali Soko la Mabibo maarufu kama soko la ndizi inasikitisha hasa kipindi hiki ambacho mvua inaendelea kunyesha kwa mfululizo, karibia kila kona kwenye soko hilo ni tope tope, katika hali ya kushangaza...
  13. JamiiForums Tanzania KERO Malori yanaegeshwa karibu na makazi ya watu Tabata, yanaharibu barabara na kuvamia maeneo ya wazi

    Kumekuwa na ongezeko ya idadi kubwa ya malori yanayopaki ama kuegeshwa katika mitaa ya tabata mfano; mtaa wa shule ya st.mary’s na NSSF huku malori hayo ikileta maafa yafuatayo; 1. Kuharibu barabara 2. Kuziba njia kwa kupaki vibaya au kuharibika pamoja na kuziba njia zilizokuwepo hapo awali...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuondoa kero ya kukatika umeme mara kwa mara?

    Kwa umri wangu huu ninapoingia miaka 60 sijawahi kushuhudia umeme kuwa stable hapa nchini kwetu Tz. Kuna sababu nyingi zimekuwa zikitolewa ambazo zimekuwa zikijirudia hizohizo miaka yote: 1. Maji kupungua bwana la mtera 2. Kukosekana kwa mvua 3. Hitilafu ya mitambo 4. Mitambo kufanyiwa...
  15. JamiiForums Tanzania KERO Pemba: Barabara zaidi ya 90% zimechakaa kwa kiwango kibaya sana

    Serikali ya SMZ ikiangalie kisiwa cha Pemba kama ni sehemu muhimi ya uchumi wa Zanzibar. Barabara zaid ya 90% zimechakaa kwa kiwango kibaya sana zina mashimo mfano wa visima. Tofauti na kisiwa cha unguja tumeshuhudia barabara nzima zikibomolewa na kujengwa mpya , hali ipo tofauti kwa kisiwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero Barabara ya Kilwa eneo lijulikanalo kama Kokoto kuelekea daraja la Mzinga jijini Dar

    Naomba kuulizia, ni nini hasa kinachoshindikana kwa serikali kukijenga kipande hiki cha Barabara kisichozidi hata kilomita mbili na kuondokana na usumbufu unaosababisha msongamano wa magari katika eneo hili? Kipande hiki ni chembamba na kina mteremko mkali na daraja ambapo mara kwa mara...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Responded Barabara Tegete A ni kero, kama wameshindwa kuboresha watuambie Wananchi tujichange

    Wakazi wa Tegeta A (maarufu kwa Bedui) tuna kero ya Barabara, huu ni mwezi wa tano sasa unaelekea wa sita, barabara ni mbovu na inatuumiza Watumiaji. Barabara ninayoizungumzia hapa ni ile ya vumbi kutoka kwenye lamı ya kwenda Madale mpaka Centre maarufu kwa jina la Bedui. Barabara imechimbika...
  18. JamiiForums Tanzania Kero gani umewahi kukutana nayo kutoka kwa abiria mwenzio wakati unasafiri?

    Ebana Kuna Jamaa hakupiga mswaki alafu story aziishi na maswali yasiyo eleweka. Vipi wewe Mkuu?
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini, Anthony Mavunde utaifuta lini Leseni ya utafiti PL 6973/2011 ambayo imekwisha muda wake?

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, tunakuomba upitie ,ufuatilie leseni ya utafiti wa Dhahabu ambayo imekwisha muda wake PL 6973/2011. Leseni hii Mama yetu na Rais wetu Dkt. Samia, alisema ni eneo la wachimbaji wadogo huu ni mwaka wa tatu. Kwanini haifutwi ili kuruhusu wachimbaji wadogo...
  20. J

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Dawasco hawatoi ratiba ya maji?

    Jamani, mimi sielewi kwanini huku Dar maji yanaweza katika kwa muda mrefu bila taarifa. Maji yanakatikaje wiki mpaka wiki mbili bila taarifa? Ni changamoto tofauti kuwa na uhaba wa maji, lakini changamoto nyingine kabisa kuwepo kwa mgao bila taarifa yoyote. Sijawahi kuona kipindi maji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…