kero

  1. Champion number one

    JamiiForums Tanzania Huku kupenda au kero sms laki 1 ?

    Kabla ya kusema umependa ifahamu hii, Mwanamke mmoja huko Arizona alikamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ufuatiliaji wa mtu (stalking) baada ya kudaiwa kutuma zaidi ya ujumbe 159,000 kwa mwanaume aliyekutana naye kupitia app ya kutafuta wachumba. Ujumbe huo ulikuwa na maneno ya mapenzi, lakini...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mlango wa Abiria kuingia Stendi Kuu ya Nyegezi (Mwanza) ufunguliwe, kuchangia njia pamoja na Daladala ni hatari

    Geti la kutokea Daladala kwenye Stendi Kuu ya Nyegezi kwenda Barabara Kuu (highway) ndilo hilohilo linatumika kama njia ya abiria kupita wakiwa wanaingia kutoka upande wa barabara kuu, kibaya zaidi ni kuwa upo mlango wa abiria kwa upande huo lakini umefungwa na kuwalazimu abiria wote wanaoingia...
  3. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Kero mabasi ya mikoani: Wahudumu hawatulii sehemu moja, kila wakati wanajipitisha pitisha

    Nyie mnaojiita wahudumu wa hayo MABASI ya VVIP ,pamoja na baadhi ya abiria wenu mnakosa ustarabu. Inakuaje muhudumu wa basi hutulii sehemu moja, Kila muda unajipitisha pitisha na kuleta migusano isiyo ya lazima kwenye gari ?Tena baadhi yenu mnanuka kienyeji sana, kwanin usitembee ndani ya basi...
  4. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Je ni lini serikali itatua kero ya mawasiliano kwa maeneo yaliyo pembezoni mwa nchi?

    Katika halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera vipo vijiji ndani ya kata za Isingiro,Kaisho,Rutunguru Rubwera nk Hizi ni kata ambazo zimepakana na nchi za Rwanda pamoja na Uganda Huwapo ndani ya hizi kata mitandao ya mawasiliano ya simu ni shida kiasi kwamba ukiingia tu unaanza...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Makanisa mengi ya kilokole ni kero, niliwahi kuacha kodi ya miezi minne kwasababu ya makelele, nilipoenda kulalamika niliitiwa polisi naleta vurugu

    Nipo tayari niishi karibu na makanisa ya waroma, wauteri, wasabato, n.k. lakini sio ya walokole. Nakumbuka dalali alinipeleka siku ambayo kumetulia sana, nilipaelewa mahali hapo nikalipia kodi miezi 6 na dalali nikampa hela yake, maisha yakaanza. Kanisa lilipofunguliwa hakuna rangi ambayo...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kero ya Kutegemea Michango kwa Harusi au Tafrija

    Katika nchi kama Tanzania, harusi au tafrija kubwa haziwezi kufanyika bila kuchangiwa na marafiki, ndugu na jamii kwa ujumla. Ingawa utamaduni huu una asili ya mshikamano na upendo wa kijamii, hali imebadilika na kuwa kero kubwa kwa watu wengi. Leo hii, mtu anapotangaza kufunga ndoa, mara moja...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Mods Tuanaomba habari zote za Vita ya Israel na Iran ziwe kwenye uzi Mmoja. Zimegeuka kero hapa JF

    Mods tunaomba hizo habari za Vita ya Israel na Iran ziunganishwe kwani zimekuwa kero na nyingi ni za uongo. Nawasilisha.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kero za kudumu

    Hizi hapa ni kero za kudumu hapa nchini. Hapa nitataja zile ambazo zinaendane na maisha bora kwa kila mtu. Kero: 1. Ukosefu wa maji safi na salama: Kama nchi bado tumechemka sana. 2. Miundombinu ya barabara 3. Elimu: Hapa kuna shida kubwa. 4. Huduma hafifu za afya 5. Umeme: 6. Uhuru wa...
  9. Logikos

    JamiiForums Tanzania KERO ya Ku-block / Cease / Blacklist Matumizi ya NIDA NIN (National Identity Number); Tafadhali busara itumike tusirudishane zama za Kale,

    Ni kwamba huenda wewe yamekukumba hapo ulipo na wala haujui kama yamekukumba huenda unadhani upo salama kumbe haupo salama mpaka siku ukitaka service ambayo Taasisi itatakiwa kuvuta information zako NIDA ndio hapo utakutana na ujumbe wa THERE IS A PROBLEM PARSING MESSAGE RECEIVED FROM NIDA; au...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Maji kisiwani Mafia

    Mimi mdau wa jamii forum, ninakero unayohusu idara ya maji katika wilaya ya Mafia kisiwa cha mafia mkoa wa pwan, maji wanayotumia wakaazi wa mafia si salama kwa afya za wakaazi kutokana kuwa na taka taka nyingi na kutu kushindwa kutumia kwa matumizi ya nyumbani hivo tunaomba mamlaka zisaidie...
  11. Jerry Farms

    JamiiForums Tanzania KERO Wizi wa Mpunga na Mchele katika mashine za kuchakata mchele maeneo mbali mbali nchini

    Hii ni mada ya kukufumbua macho mkulima. Dhima kuu ya mada hii "Kulinda maslahi binafsi ya mkulima mdogo mdogo" Kufuatia ukuaji wa teknolojia nnchini na duniani! Mkulima sasa amehama katika ile zama ya kutwanga mpunga katika kinu asili na kuenda katika mashine. Ni hatua kubwa na nafuu na...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walinzi wa viwanja vya Mnazi Mmoja wamekuwa kero

    Siku moja natoka kazini (4 June 2025) nikakutana na mpenzi wangu maeneo ya mnazi mmoja hospital, kutokana na kelele zilizokuwepo pale nje ikabidi tusogee uwanjani kwakuwa kuna mwanga na usalama zaidi. Kitendo cha kufika pale, walikuja vijana wawili ambao wamevaa kiraia, walifika kwa matusi na...
  13. P

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya mwanza mataa, tuta la stendi ya daladala makoroboi

    Pale makoroboi stand ya dalala, kuna tuta(bump) kubwa, baada ya tuta hilo kuna mashimo makubwa sana katikati ya barabara. Cha ajabu kwenye tuta hilo na chini ya tuta hilo utakuta zimepaki dalala juu ya tuta, zinapaki daladala tatu hadi nne kwa upana na kuacha sehemu ndogo sana ya barabara...
  14. fh kwenye beat

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa mizani (Tanroads )kutolipwa posho

    Napenda kutoa taarifa kwa viongozi wanaoweza kuokoa hali ya sintofahamu kuhusu watumishi wa vituo vya mizani kitolipwa malipo yao kwa takribani miezi 6. Kutokana na hili vitendo vya Rushwa vimekithiri juu ya ukata uliopo baina ya wafanyakazi na wasafirishaji. Natoa wito kwa viongozi...
  15. 13hadithi

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya RITA ifanye uchunguzi wa RITA Misungwi

    Habari wana JF, Naomba mamlaka za RITA makao makuu zifanye uchunguzi wa kiutendaji katika taking la RITA MISUNGWI Kwanza, Kuna mtu alienda kufanya marekebisho ya cheti Old to New wakamwambia ni Tsh 30,000 wakati control namba ni Tsh 7,000 achana na hapo toka 3/5/2025 mpaka leo tar 1/6/2025...
  16. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Kero za Muungano Awamu hii ya Sita Hazipo?

    Wakuu ndugu zetu kule upande wa Visiwani naona kwasasa hawaoni Kero za Muungano kabisa, Nimeona wabunge wao majority wanapiga kelele kukemea activists wanaokuja kutoka Nje ila Mambo ya Muungano wameweka Pembeni kabisa Kulikoni tena ndugu zetu?
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mamlaka husika zinawaza nini kuhusu Stendi ya Mbagala Rangi Tatu? Ni kero kipindi cha mvua

    Hali ni mbaya kwenye stendi hiyo yenye daladala na ofisi za mabasi yanayoenda mikoani hasa mikoa ya kusini, abiria tunaofika kwenye stendi hiyo tunakumbana na kero kubwa, daladala na mabasi kuna wakati yanapata shida ya kupita kutokana na tope. Lakini inashangaza kwa miaka yote Watu wa daladala...
  18. Friji la mtumba

    JamiiForums Tanzania Kero za Kubaki Bachela – Maisha ya Kuazima Furaha kwa Wengine!

    Wakuu Nimerudi tena na hawa kataa ndoa, nimekaa nikaangalia maisha ya mabachela (na mimi nimewahi kuwa mmoja wao), nikagundua kuwa kubaki hujaoa kwa muda mrefu ni kama kujitesa. Maisha ni ya muda, ya kubahatisha, ya kuomba msaada kwenye kila jambo. Kero kuu za maisha ya bachela: 1. Hakuna mtu...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kelele za Mlango, Chura Kisimani na Joka la Mdimu. Japo Si Lolote, Si ChochoteZikizidi ni Kero. Maa' Hebu Wape Tuu...Bila Mabadiliko, INEC ni Batili!

    Wanabodi Makala yangu gazeti la Nipashe la leo Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, nikijikita kwenye kitu kinachoitwa Sovereignty, huu ni uhuru wa nchi, kujiamulia mambo yake yenyewe ya ndani, bila kuingiliwa na mataifa ya nje au taasisi za kimataifa. Nimeileta mada kama...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Kelele za Mlango, Hazimkoseshi Mwenye Nyumba Usingizi, Zikizidi Zinakera!. Kelele za Minimum Reforms, Sio Kero?, Mwenye Nyumba Anapata Usingizi?

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu ya gazeti la Mwananchi. Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, nikijikita kwenye kitu kinachoitwa Sovereignty, huu ni uhuru wan chi, kutoingiliwa kwenye mambo yake ya ndani. Nimeileta mada hii baadab ya kusikia malalamiko ya baadhi ya Watanzania kuwa...
Back
Top Bottom