A
Anonymous
Guest
Mimi ni mdau wa JamiiForums, naishi Zanzibar mkoa wa Mjini Magharibi, Shehia ya Kwahani.
Kero yangu kwa mamlaka za Usalama na hasa Jeshi la Polisi Zanzibar - mbona lipo kimya sana huku kukiwa na matukio ya baadhi ya wananchi mitaa hiyo wakitembea usiku na mchana Kuna vibaka wanawapora Mali walizokuwa zao?
Zinaweza kuwa Aidha ni simu au Pesa na kisha wanawashambulia kwa silaha za ncha kali na kuwaacha na majeraha mwilini.
Zilisharipotiwa kesi kadhaa katika vituo vya Polisi lakini bado Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi lipo kimya na hakuna hatua zilizochukuliwa huku hali ya hofu ikiwa kubwa katika baadhi ya mitaa ya mkoa wa Mjini Magharibi