kero

  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Milioni 192.8 zatumika kutatua kero ya maji Ushetu

    Zaidi ya Wakazi 2000 wa Kata ya Nyankende Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameondokana na tatizo la kutumia Maji ya kwenye visima na Mabwawa baada ya Serikali kujenga Mradi wa Maji Safi na Salama wenye gharama ya Shilingi Milioni 192.8. Baadhi ya Wanufaika wa Mradi huo akiwemo Veronica...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Madhara ninayoyapata kwa kutofanya mapenzi toka nizaliwe

    Mimi ni kijana wa kiume,umri wangu ni early 20s. Kiukweli toka nizaliwe hadi sasa sijawahi kufanya mapenzi(penetrative sex) licha ya kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na wasichana kadhaa,lakini wote tumeishia kufanya romance tu. Nimebahatika kuwa na muonekano mzuri kidogo kwa hiyo pisi nyingi...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kero ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi za afya, Ongezeni mikopo

    𝐒𝐚𝐥𝐚𝐦𝐮 𝐳𝐚 𝐡𝐞𝐬𝐡𝐢𝐦𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢 𝐰𝐨𝐭𝐞 𝕎𝕒𝕟𝕒𝕗𝕦𝕟𝕫𝕚 𝕨𝕖𝕟𝕘𝕚 𝕨𝕒 𝕞𝕨𝕒𝕜𝕒 𝕨𝕒 𝕜𝕨𝕒𝕟𝕫𝕒, 𝕙𝕒𝕤𝕒 𝕨𝕒𝕝𝕖 𝕨𝕒 𝕜𝕠𝕫𝕚 𝕫𝕒 𝕒𝕗𝕪𝕒, 𝕥𝕦𝕟𝕒𝕡𝕒𝕥𝕒 𝕔𝕙𝕒𝕟𝕘𝕒𝕞𝕠𝕥𝕠 𝕜𝕦𝕓𝕨𝕒 𝕜𝕒𝕥𝕚𝕜𝕒 𝕜𝕦𝕝𝕚𝕡𝕚𝕒 𝕒𝕕𝕒 𝕫𝕖𝕥𝕦. ℍ𝕚𝕚 𝕟𝕚 𝕜𝕨𝕒 𝕤𝕒𝕓𝕒𝕓𝕦 𝕞𝕚𝕜𝕠𝕡𝕠 𝕪𝕒 𝕤𝕖𝕣𝕚𝕜𝕒𝕝𝕚 𝕙𝕒𝕚𝕥𝕠𝕤𝕙𝕚 𝕜𝕦𝕗𝕚𝕕𝕚𝕒 𝕞𝕒𝕙𝕚𝕥𝕒𝕛𝕚 𝕪𝕠𝕥𝕖 𝕪𝕒 𝕖𝕝𝕚𝕞𝕦. ℍ𝕒𝕥𝕒 𝕥𝕦𝕟𝕒𝕡𝕠𝕡𝕠𝕜𝕖𝕒 𝕡𝕠𝕤𝕙𝕠 (𝕓𝕠𝕠𝕞), 𝕚𝕟𝕒𝕜𝕦𝕨𝕒 𝕙𝕒𝕚𝕥𝕠𝕤𝕙𝕚 𝕜𝕦𝕥𝕦𝕟𝕚𝕤𝕙𝕒 𝕞𝕒𝕙𝕚𝕥𝕒𝕛𝕚...
  4. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi kukupigia simu kila saa ni sawa tuseme ni mapenzi au kero ?

    Hivi kwenye mqpenzi , kuwa na mpenzi anayekupugia simu kila wakati naona kama ni kero . Kuna muda akili inatakiwa I focus na mambo mengine ya maisha sio kubebishana kila wakati
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Barabara inayoelekea kwenye Mahakama Kinondoni,Ofisi za OSHA ina mashimo yanaleta kero, TARURA ipo wapi?

    Barabara inayotokea njia Kuu ya Kinondoni(Kawawa road )kuelekea Mahakama ya Kinondoni/Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki, Ofisi za OSHA imearibika na ina mashimo ambayo sio salama jambo ambalo linapeleka madhara ikiwemo kuleta usumbufu kwa wenye magari, ambapo baadhi tumekutana na changamoto ya...
  6. mrangi

    JamiiForums Tanzania KERO Makundi ya jogging na kero zao

    Hii tabia yenu ya kufunga barabara kuingia coco beach mpaka tanzanite Bridge mnatuletea wengine kero. Bora mtafute maeneo mengine mkafanyie mazoezi yenu, mazoezi yenu wengine mnatuletea kero tu. Yaani kila Jumamosi mnafunga barabara. Huu upuuzi wngine tuna misele yetu mnatupotezea. Ova
  7. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

    Nimepiga hesabu nikaona dini ni urithi mmoja wa ajabu sana, ninaamini Mungu yupo ila nita mwabudu nje ya hilo box. Yaani unazaliwa na kukabidhiwa kitu usichokielewa au kupewa nafasi ya kuchagua. Na hizi dini ndio zimetengeneza viumbe wenye hulka ya mazombie au vampire, ambao wao kazi yao ni...
  8. Anastasia21

    JamiiForums Tanzania Bando linapaa hadi kero

    Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh 🙌🏾 adi kero
  9. K

    JamiiForums Tanzania KERO Bora Daraja la Magufuli likamilike tu, foleni Kivuko cha Kigongo - Busisi ni kero na zinaharibu ratiba za Watu

    Leo nimebahatika kupita katika Kivuko cha Kigongo - Busisi Mkoani Mwanza, nikiwa abiria nimekuta hali ni mbaya, ni kero Kwa kila mtu. Foleni ya magari ni kubwa sana, foleni ya abiria ni kubwa, abiria unatumia takribani saa mbili hadi tatu kuvuka, magari yanatumia saa mawili hadi tatu pia kuvuka...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kuondoa kero ya mabasi ya mwendokasi - Rais naomba nafasi mimi mzalendo

    Mh. Rais pole na majukumu yako ya kila siku na kubwa ni katika kuwaletea maendeleo watanzania. Natambua kuwa kwa nyakati tofauti tofauti ukipata nafasi huwa unapitia mitandao ya kijamii na kuona au kusoma jumbe mbali mbali wanazotoa watanzania au jumbe za kukushauri na nyingine nyingi za...
  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania KERO: Mwananchi Chanika amawangukia Waziri wa Nishati baada ya TANESCO kushindwa.kumuunganishia umeme zaidi ya miez 6 ya kulipa gharama zote 1.9M.

    NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya TANESCO, nguzo...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania KERO: Mwanachi Chanika amawangukia waziri wa nishati Baada ya TANESCO kushindwa kumuunganishia umeme licha ya kulipa gharama zote 1.9M zaidi ya miezi.

    Hi Great Thinkers. NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya...
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kero: Leo huku Moshi tumesimamishwa kwa dakika 45 ili msafara wa Naibu Waziri Mkuu upite

    Leo wakazi wa moshi na viunga vyake, tumesimamishwa zaidi ya dakika 45 ili tu kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko. Naambiwa Biteko alitoka kwenye Kili Marathon, sasa alipokuwa anatoka huko kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ndio wanyonge tukawekwa pembeni...
  14. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania Kero ya ukosekanaji wa maji

    Kumekuwa na ukosekanaji wa waji katika baadhi ya nyumba eneo la tabata mtaa wa migombani (tembomgwaza) yaan maji yanatoka kwa kuchagua nyumba baadhi, takribani wiki tatu sasa. Wananchi hawaelewi ni Dawasco au kuna uhuni wa ukataji wa mabomba. "Tunaomba serikali itusaidie kufuatilia kwa kuihimiza...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Binti kuwa na subira atakuoa, ni kero kumkumbusha kila baada ya miezi 6 kwa jambo aliloahidi

    Binti kuwa na subira atakuoa, ni kero kumkumbusha kila baada ya miezi 6 kwa jambo aliloahidi. Si kashasema ATAKUOA? Punguza kiherehere cha kila baada ya miezi 6 kukumbusha jambo lililo kwenye mchakato tayari.
  16. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanafunzi kutoka bara wanalazimika kulipia mafunzo kwa vitendo Zanzibar?

    Mimi kama mdau nahoji kwa nini vijana kutoka Tanzania bara wanapokuja kufanya mafunzo kwa njia ya vitendo ZANZIBAR wanalazimika kulipia kiasi kisichopungua shilingi laki moja na nusu kama gharama ya mafunzo kwa njia ya vitendo? Je ikitokea wakutoka zanzibar nao wameenda bara kufanya mafunzo je...
  17. ricochetmarcus

    JamiiForums Tanzania KERO Kata za Kikio na Misughaa, mnara wa TTCL unatumia mitambo ya umeme wa jua nakupelekea usiku mawasiliano kukata

    Hapo awali nlileta kero kuhusu kukosekana kwa huduma za kimtandao katika kata za Kikio na Misughaa ,mkoani Singida. Kuhusu kero za mnara wa shirika la TTCL,mnara unatumia mitambo ya umeme wa jua nishati ambayo haitoshi kuundesha,licha ya kuepo kwa nguzo za umeme karibu. Ni zaidi ya kero...
  18. R

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu basi la Alys Star

    Wakuu habari za usiku, Natumai nyote mko salama. Naomba kushare uzoefu mbaya nilioupata katika moja ya mabasi ya Alys Star yanayofanya safari za Mwanza - Dar. Katika harakati za kutafuta mkate nikitokea pande za kanda maalum kurudi Daslam kupitia Mwanza usafiri ulikua shida kidogo mabasi...
  19. C

    JamiiForums Tanzania KERO Umeme wilaya ya Newala Mtwara unakatika sana

    Umeme ni kero kubwa sana wilaya ya Newala kukaa siku mbili, tatu hata wiki ni kitu cha kawaida bila taarifa yeyote. Tanesco tunaomba sana mliangalie Hili watu wanaumia, biashara hazifanyiki na mbaya zaidi ni tatizo la kudumu
  20. Pantomath

    JamiiForums Tanzania Kupunguza kero ya Watumishi kuhama, Serikali ingefanya yafuatayo kwa faida ya wote

    Tuliona ajira za afya mwishoni mwa 2024, Pia Tumeona ajira za walimu zimetoka kwa baadhi ya mikoa mfano Dar, Moro, Pwani n.k na utaratibu ni ule ule, wanakupanga popote, sio ulipoombea wala ulipo, Kwa nini Kabla ya kutoa post za allocation za vituo kwa ajira mpya, mfano wanajua Dar, Shinyanga...
Back
Top Bottom