kero

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Taa Za Makutano ya Uhuru-Msimbazi (Kariakoo) zipo likizo? Basi awekwe Traffic ili kuepusha kero

    Ni zaidi ya miezi miwili kwa nyakati tofauti kila nikipita kwenye makutano ya mataa ya Uhuru na Msimbazi nakutana na kero ya msongamano wa magari eneo hilo, mtaa yaliyofungwa kuongoza magari eneo hilo yanakuwa yamezimika na hazifanyi kazi, waliopo maeneo hayo wanadai kuwa kero hiyo imekuwa ya...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Morogoro (Ubungo hadi Mbezi) kuna kero ya foleni na hii sio kwa leo tu

    Mvua ambayo imenyesha maeneo mengi ya Dar es Salaam tangu jana (Mei 8, 2025) imesababisha foleni sehemu nyingi, hapa ni maeneo ya Kimara Mwisho, Stop Over hadi Ubungo Kijazi, kuna foleni kubwa na tumekaa hapa kwa zaidi ya saa moja sasa. Hali hii sijui itaisha lini hata kama hakuna mvua kila...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Ujenzi wa kipande cha Mwendokasi Karume (Dar) upo 'slow', unasababisha kero ya foleni

    Kwa zaidi ya miezi miwili eneo la Karume ambalo ni maarufu kwa wafanyabiashara wa mitumba kumekuwepo na changamoto ya foleni ambayo inatokana na ujenzi wa njia ya Mwendokasi. Mkandarasi ameziba njia upande mmoja kwa muda mrefu huku shughuli za ujenzi zikiwa zinafanyika taratibu (slow) jambo...
  4. Alubati

    JamiiForums Tanzania Kero: Manispaa Morogoro punguzeni matawi ya mianzi hapo darajani

    Katikati ya mji mita mia moja kutoka halmashauri ya manispaa ya Morogoro uelekeo wa kituo kikuu cha polisi ,kwenye daraja maarufu " daraja la shani". Kuna miti ya mianzi ambayo imekuwa na faida ya kuzuia mmomonyoko wa ardhi mara mto unapofurika. Lakini sasa matawi yake yamekuwa na kufanya eneo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mbeya: Mkandarasi anayejenga barabara Isyesye atengeneze barabara za michepuko ili kuondoa kero tunazopata

    Mimi ni mkazi wa Isyesye Mbeya Tunashukuru kwa maboresho ya barabara yanayofanyea na Serikali lakini tunaomba mumuelekeze Mkandarasi wa Kampuni ya Marmo kutengeneza barabara za michepuko (diversion ) kwani imeshakuwa kero kwa sasa kwani hajatengeneza barabara hizo na hazipitiki, tunapata shida...
  6. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Maofisini kuna aina ya watu uwepo wao ni kero kwa wengine

    Jitahidi sana maisha yako yawe baraka kwa wengine hata ukitoka sehemu watu waone wamepungukiwa , kuna aina ya watu huwa wakitoka sehemu watu waliobakia wanasema afadhali hayupo , hii ipo sana maofisini kuna aina ya watu uwepo wao tu ni kero kwa wengine hadi wafanyakazi wenzake wanaomba dua...
  7. EMMANUEL JASIRI

    JamiiForums Tanzania Kero ya Nzi,Nijulishe Tafadhali.

    Tafadhali nakuomba yeyote unayepajua popote penye kero kubwa ya nzi Nijulishe Ili nilete ufumbuzi wa haraka.
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kero TCRA mfumo SMS za lazima ambazo zinataka ukubari au kukataa huduma

    Kuna shida za SMS ambazo zinakuja kuchagua huduma zozote ambazo sio hitaji lako. Kwa wasio waelewa wanaweza kujikuta wanaingia makubariano bila kujua na ili bado TCRA imekaa kimya.
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima: Nimelipa gharama yote ya Ujenzi wa mtaro, hivi sasa, Kero ya Mafuriko eneo la Bonde la Mpunga ni Historia

    Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima: Nimelipa gharama yote ya Ujenzi wa mtaro huu ili kuhakikisha ndugu zangu wa Msasani hawapitii changamoto hii tena sawa sawa na Ahadi yangu niliyoitoa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020. Hivi sasa, Kero ya Mafuriko eneo la Bonde la Mpunga ni Historia.
  10. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania KERO Maeneo ya Sabasaba - Dodoma kuna kero kubwa sana ya foleni ya magari jioni na asubuhi

    Maeneo ya Sabasaba hapa Dodoma, majira ya Asubuhi na Jioni kuna foleni sana ya magari, hakuna utaratibu maalum uliowekwa eneo hilo. Wakati mwingine Trafiki wanakuwepo lakini si mara zote unajikuta unakaa saa zima foleni. Yaani hakuna utaratibu mzuri wa kuongoza yake magari pale Soko la...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Posta ya Dar kuna chemba zinatiririsha maji taka barabarani, Mamlaka hazijaona, mbona zipo kimya?

    Eneo la Posta barabara inayotokea kwenye Kanisa la KKKT kuelekea Karemjee kuna chemba zimepasuka zinatiririsha maji taka, hali ni mbaya hasa kwa watembea kwa miguu. Tunaomba mamlaka zitafute suluhu ya hii changamoto, njia nzima imejaa maji taka hali ambayo inaleta kero na hofu ya Watu kupata...
  12. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Mnaoendesha Tanesco mjitafakari sana

    Huu uzi nauandika kwa masikitiko makubwa sana! Tanzania Umeme Umekuwa ukikatika tangu miaka 60 iliyopita, hadi leo umeme bado unaendelea kukatika na natumai miaka 50 ijayo ukija Tanzania utakuta hali ni hii hii!. Leo sababu ni hii miaka 100 ijayo kutakuwa na sababu nyingine mbalimbali, ni kama...
  13. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Kukutana na Ndugu Wakati wa Sherehe: Kero au Furaha ya Familia?

    Sherehe zinapofika – iwe ni Krismasi, Eid, harusi, au hata birthday ya bibi – kuna kitu kimoja hakikosekani: kukutana na ndugu. Na hapa ndipo mambo huanza kuwa moto! 😂🔥 Kwa wengine, hii ni nafasi ya kufurahia, kula nyama choma, na kufufua kumbukumbu za utoto. Kwa wengine, ni msiba wa kisirisiri...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Miundombinu ya Barabara na changamoto ya umeme ni kero Mtaa wa Mganza – Morogoro

    Juzi nilikuwa Morogoro kwenye Mtaa wa Mganza, Kata ya Mindu, nilikutana na moja ya changamoto ambayo ukweli inawaumiza Wakazi wengi wa hapo. Nilichokiona ni kuwa Wananchi wengi wa hapo wanakabiliwa na changamoto ya miundombinu ya Barabara hali ambayo imesababisha athari kadhaa hasa kwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kero kutoka mbagala hadi mjini, njia imerudishwa kwenye foleni

    Jambo ambalo nashindwa fahamu aliyetoa ushauri njia ya mwendo kasi kuzuiwa kupita hadi magari madogo kuanzia mbagala hadi bendera tatu. Njia hii inawakazi wengi na wapo ambao wanaenda tafuta mahitaji wapo wanaoenda kutafuta bidhaa na kuja wauzia waliobaki walipotoka na bado wapo ambao wanaenda...
  16. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Barabara ya banana kitunda wakati wa mvua ni kero

    Kero kubwa madimbwi mengi magari yanaharibika
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakusanya taka Mbeya baadhi hawatoi risiti

    Kuna baadhi ya wakusanyaji pesa za taka wamekuwa na tabia ya kutotoa risiti baada ya kupewa pesa za taka. Takribani miezi mitatu mfululizo wakusanyaji pesa wanakuja na daftari ( counter book) wanaandika majina Jambo ambalo ni kinyume na utaratibu wa makusanyo ya pesa za ushuru wa taka Hili...
  18. aise

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya maji machafu mitaani, mfano mzuri ni hapa Buguruni

    Katika jamii nyingi, miundombinu bora ya maji taka ni msingi wa afya na ustawi wa wakazi. Na ni haki kwa kila raia kuishi kwenye mazingira safi na salama. Hata hivyo hali ni tofauti hapa Buguruni. Mvua kidogo ikinyesha maji machafu hutapakaa kila mahali, yakibeba uchafu na harufu mbaya...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: Ofisi za CCM zitumike kutatua kero za wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ofisi za Chama nchi nzima zinapaswa kutumika kutatua changamoto za wananchi. Wasira ameyasema hayo leo Jana Machi 26, 2025 alipokuwa akiweka jiwe la msingi katika jengo la ofisi za CCM katika Kata ya Chibe...
  20. tamuuuuu

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha tumekuwa tunakatiwa maji pasipo utaratibu na mamlaka za maji

    Ndugu waziri wa maji Juma Aweso pole kwa majukumu. Kwa masikitiko makubwa baadhi ya wananchi huku Arusha tumekuwa tunakatiwa maji pasipo utaratibu na mamlaka za maji.Ukataji umekuwa ni wa kibabe na hakuna makubaliano wala maridhiano.Watu wa maji wanafungua mageti ya watu bila taarifa kwa...
Back
Top Bottom