kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Mu7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mshindi wa Urais Kenya kutangazwa saa 9:00 mchana

    Stay tuned
  2. Area 56

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uniform za Polisi wa Kenya ni zipi haswa? Naombeni ufafanuzi

    Najua wanavaa blue lakini kwenye matukio mengi hasa hata ya kutangazwa kwa mshindi wa Urais wa Kenya hapo Bomas, naona askari wengi wamevaa kimbati za jeshi. Je nayo ni sehemu ya uniform za jeshi la polisi kenya?
  3. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Rais Mteule wa Kenya kuapishwa Agosti 30

    Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya, Iwapo mshindi atatangazwa leo, na asipate zuio la kupinga ushindi wake, Rais Mteule ataapishwa Agosti 30 ambayo ni siku 14 baada kutangazwa kwa Matokeo ya Urais Kifungu cha 141 cha Katiba ya Kenya kuhusu Rais kuchukua Madaraka kinasema: (1) Kuapishwa kwa Rais...
  4. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Tume ya Maridhiano yataka atakayeshindwa Urais Kenya kukubali matokeo

    Tume ya Taifa Maridhiano, NCIC imetoa wito kwa Mgombea yeyote wa kiti cha Urais atakayeshindwa baaada ya Matokeo kutangazwa, kukubali na kawasiliana na Mshindi ili kupata amani Mwenyekiti wa NCIC, Samuel Kobia amesema leo kuwa Uchaguzi ulikuwa wa amani, na kuongeza kuwa Wagombea wote wawili...
  5. and 998 others

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Lissu yupo kimya dhuluma Uchaguzi Kenya

    Nilitegemea Lissu kusema neno dhuluma ya wazi ya uchaguzi nchi jirani. Badala yake kakaa kimya akiendelea kulamba asali ulaya.
  6. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hizi hapa sababu za kuchelewa matokeo ya Urais Kenya

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC imetoa ufafanuzi kuhusu sababu za kuchelewa kutoa Matokeo pamoja masuala mengine yanayolalamikiwa na hatua inazochukua Tume imesema kwasasa inafanyia kazi masuala yafuatayo:- 1. Uthibitishaji wa picha ya Matokeo ya Fomu 34A dhidi ya Fomu 34B 2...
  7. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hakika hakuna cha kujifunza kutoka katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya

    Nikiwa napitia katika mitandao mbalimbali ya kijamii nchini niliona baadhi ya wanaharakati, wafuasi na viongozi wa vyama vya upinzani wakidai kuwa Tanzania inapaswa kujifunza kutoka uchaguzi Mkuu wa Kenya. Wakidai kuwa uchaguzi huo ni huru na wa haki. Kwa ufuatiliaji nilioufanya katika...
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Vurugu zanukia Kenya, mawakala wa Odinga waishtumu tume kufanya uhalifu

    Mzee Odinga sijui kanusa kushindwa sijui Mawakala wake wamekuwa wakilalamikiwa na Tume kuzua vurugu kila mara kwenye ukumbi wa kuhesabia kura Bomas Wakala Mkuu wa odinga anasema Bomas imekuwa chumba cha uhalifu akimaanisha haamini mchakato wa uhakiki
  9. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yasitisha malipo ya Ruzuku ya Unga

    Wakenya watalazimika kuanza kununua Unga kwa bei ya juu baada ya serikali kusimamisha Mpango wa Kitaifa wa Ruzuku ya Unga wa Mahindi kutokana na uhaba wa fedha Waziri wa Kilimo, Peter Munya kupitia taarifa yake leo amethibitisha hilo kwa maelezo kuwa Hazina ya Taifa haijatoa pesa za Ruzuku...
  10. Mtini

    JamiiForums Tanzania Kikwete wa Kenya na Kikwete wa Tanzania ni watu wawili tofauti

    Rais mstaafu JK naona anasifia tume huru ya Kenya, wagombea binafsi na uwazi wa uchaguzi na anasema Africa ijifunze Kenya. Binafsi maswali ni mengi kuliko majibu, alipokuwa Rais alifanya nini kuhakikisha hayo yanatokea? Si, ni yeye aliyeusambaratisha rasimu ya Warioba kwa hotuba yake pale...
  11. Marathon day

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi wa Kenya ulianza vizuri ni nini kimeusibu?

    Mbona huu uchaguzi wa Kenya walianza vizuri, watu tukajua ndani ya siku Moja mbili tutamjua Rais , lakini sasa ni takribani siku ya nne mambo bado, kunani tena?
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkuu wa Utumishi Kenya atoa hotuba ya matayarisho ya kukaribisha awamu mpya ya uongozi

    Afisi ya Rais Harambee House Nairobi, Kenya Mkuu wa Utumishi wa Umma, kufuatia uchaguzi mkuu anatoa mwongozo unaoainishwa kikatiba jinsi mambo ya kukabidhiana ofisi ya Urais mara IEBC itapotangaza mshindi wa kiti cha Urais. Ulinzi kwa Rais Mpya, shughuli ya Uapishwaji Rais na jinsi kamati...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Huu uwazi wa uchaguzi wa Kenya ni mageuzi makubwa sana! Kila mtu duniani anaweza kudownload matokeo na kujijumlishia

    Pale kituoni kura zikihesabiwa na kujazwa kwenye form (34A), kila wakala anaipiga pcha na kuwarushia watu wake, anapata hard copy kisha hiyo form inakuwa uploaded kwenye mfumo wa tume ya uchaguzi. Kila mtu anaweza kudownload na kujijumlishia ili kuona mwenendo wa mgombea yeyote, kisichotakiwa ni...
  14. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Tangu uchaguzi wa Kenya uanze, Tanzania Rais angekuwa ametimiza siku tatu

    Kenya ilifanya uchaguzi siku ya Jumanne mpaka leo bado wanakusanya matokeo ambayo hayabadilishiki kwenye vituo na kujumlisha kura za urais. Sisi kulingana na umakini wetu, rais angetawazwa Jumatano na leo ingekuwa siku yake ya tatu kitini.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona kinachoendelea uchaguzi Kenya, thinking ya UCHAWA CCM nilitegemea ibadilike, kuondoa mawazo ya utwana na utumwa wa kumuona Rais Mungu

    Tuna mengi sana ya kujifunza Kenya na uchaguzi wao. 1. Uwazi 2. Uhuru wa media zao 3. Incumbent president Uhuru hana kauli yoyote kuhusu uchaguzi 4. Katiba yao inaruhusu haya yanayotokea 5. etc etc etc Summary nzuri ameifanya Askofu Bagonza kama ilivyo hapa chini! UCHAGUZI MKUU KENYA...
  16. Superbug

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa huu uchaguzi wa Kenya, familia na wapenzi wa Hayati Magufuli muombeeni toba mpendwa wenu

    Tufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu. Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane. Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao. Tufanye hakuna familia zilizoathirika na wazazi wao kufukuzwa kazi kionezi. Tufanye hakuna watu waliofunguliwa...
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Rais mstaafu Dkt. Kikwete asifia uwazi uliodhihirishwa na Tume ya Uchaguzi Kenya

    Asifia utendaji wa polisi walivyohakikisha usalama bila kuingilia zoezi, pia asifia tume ilivyo onyesha uwazi na kuhakikisha matokeo ambayo hayakuchakachuliwa. Mataifa ya Afrika mna mengi ya kuiga kutoka Kenya. Election observer missions to Kenya have lauded the electoral commission for...
  18. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Waangalizi wa Kimataifa wa wasifia Uchaguzi Kenya 2022 ktk ripoti ya awali tarehe 12 Agosti 2022

    12 Agosti 2022 Vyombo vya kimataifa vilivyoalikwa na IEBC kuwa waangalizi wa mchakato mzima wa uchaguzi Kenya 2022, vimetoa pongezi kwa jinsi mchakato mzima kuwa kuelekea uchaguzi na zoezi la upigaji kura, utangazaji matokeo pia vyombo vya ulinzi na usalama kutekeleza wajibu wao bila...
  19. M

    JamiiForums Tanzania AJABU: Vyombo vya Habari Tanzania na Watanzania tunavyofuatilia uchaguzi Kenya, tuna maslahi gani haswa?

    Wana JF nisaidieni. Asubuhi mchana usiku taarifa za maendeleo ya Uchaguzi Kenya katika vyombo vya habari hapa Tz hadi kushangaza. Labda niko nyuma ya wengine lakini najiuliza ni lipi hasa la kutufanya tushabikie na kushobokea uchaguzi wa wenzetu kwa kiasi hicho? Ingelikuwa Marekani ama...
  20. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Nimejifunza mambo matano kwenye Uchaguzi Mkuu wa Kenya

    Uchaguzi Mkuu wa Kenya umefanya nijue umuhimu wa utawala wa sheria na Katiba hasa kwenye masuala muhimu ya kusimamia haki za msingi za wananchi. 1. Hakuna Kupita bila Kupingwa 2. Mtandao Haukuzimwa (No VPN Needed) 3. Majukumu ya Vyombo vya Dola (Kulinda usalama wa Wapiga Kura na zoezi hilo)...
Back
Top Bottom