Kenya 2022 Rais mstaafu Dkt. Kikwete asifia uwazi uliodhihirishwa na Tume ya Uchaguzi Kenya

Kenya 2022 General Election

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,757
48,403
Asifia utendaji wa polisi walivyohakikisha usalama bila kuingilia zoezi, pia asifia tume ilivyo onyesha uwazi na kuhakikisha matokeo ambayo hayakuchakachuliwa.

Mataifa ya Afrika mna mengi ya kuiga kutoka Kenya.

heads.jpg

Election observer missions to Kenya have lauded the electoral commission for professionally carrying out a smooth voting exercise despite reported cases of failed electronic identification kits in some polling stations.

The East Africa Community (EAC), the Intergovernmental Authority on Development (Igad), the Commonwealth, the African Union (AU), and the Common Market for Eastern and Southern Africa (Comesa) observer missions also single out the police for heightened security at the polling centres.

However, the team faulted the use of state resources during political campaigns, failed Kiems kits in some polling stations, low voter turnout and lack of youth participation in both elective posts and the voting process.
 
Asifia utendaji wa polisi walivyohakikisha usalama bila kuingilia zoezi, pia asifia tume ilivyo onyesha uwazi na kuhakikisha matokeo ambayo hayakuchakachuliwa...

Mkuu kwa taarifa yako hayo maneno kokote wanakokwenda kutazama uchaguzi ndio maneno yao. Viongozi wa kiafrika hata siku moja hawawezi kusema uchaguzi wa mahali fulani una matatizo.

Ikitokea mapinduzi ndio huwa wanalia, lakini uchaguzi wa box la kura, huwezi kuwasikia wakisema tofauti na alichoongea JK.
 
Asifia utendaji wa polisi walivyohakikisha usalama bila kuingilia zoezi, pia asifia tume ilivyo onyesha uwazi na kuhakikisha matokeo ambayo hayakuchakachuliwa........
Mataifa ya Afrika mna mengi ya kuiga kutoka Kenya.

heads.jpg

Election observer missions to Kenya have lauded the electoral commission for professionally carrying out a smooth voting exercise despite reported cases of failed electronic identification kits in some polling stations.

The East Africa Community (EAC), the Intergovernmental Authority on Development (Igad), the Commonwealth, the African Union (AU), and the Common Market for Eastern and Southern Africa (Comesa) observer missions also single out the police for heightened security at the polling centres.

However, the team faulted the use of state resources during political campaigns, failed Kiems kits in some polling stations, low voter turnout and lack of youth participation in both elective posts and the voting process.
Kwahiyo JK ameamua kumnanga marehemu wazi wazi hivyo🤣🤣
 
Back
Top Bottom