Naomba kujua hatua za kwenda Kenya

Naomba kujua hatua za kwenda Kenya

wakukurupuka1

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
525
Reaction score
1,216
Mimi ni Mtanzania nataman na mimi niende nchi jirani kucheki mazingira.

Naomba kujua hatua za kufuata mpk niende au ndio tunaenda tuu kama K/koo.
 
Mimi ni mtanzania nataman Na mimi niende nchi jirani kuchek mazingira

Naomba kujua hatua za kufuata mpk niende Au Ndio tunaenda tuu kama kkoo
Beba passport, covid vaccine certificate na yellow fever vaccine proof. Zaidi ya hivyo hamna kingine zaidi ya kujikimu ukiwa huko.
 
Kama Mbagala tu. Na hakuna kuulizwa kitu. But uwe na passport
Sio lazima, utakata kibali Cha muda na upime homa ya manjano ( yellow fever) au kama vipi unaweza kupimia hapo mpakani Cha msingi uwe na cheti chake
 
Sio lazima, utakata kibali Cha muda na upime homa ya manjano ( yellow fever) au kama vipi unaweza kupimia hapo mpakani Cha msingi uwe na cheti chake
Hiyo yellow fever bado inapimwa tu?

Hivi huo ugonjwa ndio upoje? In real life sijawahi uona, na mara ya kwanza kuujua, ilikuwa ni kwenye mishe za kusafiri kama hivi
 
Mimi ni mtanzania nataman Na mimi niende nchi jirani kuchek mazingira.

Naomba kujua hatua za kufuata mpk niende Au Ndio tunaenda tuu kama kkoo.
uwe na passport tu,unaenda ama kwa basi kupitia sirari au horohoro tanga unagonga passport upande wa kenya na tanzania basi unaingia kenya
 
Kama huna passport na cheti cha Korona kuna njia za panya
Nenda pitia njia ya Moshi mpaka border ya Holili ukifika hapo chenji hela kabisa then unakodi boda boda hapo wapo wajanja wanakupitisha njia za panya mnaibukia Taveta ambapo ni upande wa Kenya ukifika hapo ndio mwisho unadandia magari ya kwenda mbele (uwe na balance kidogo utampanga konda au dereva) mkifika kwenye check point dereva huwa anawapoza askari wanaokagua then imeisha hiyo!
Ila ukifika Kenya kama uwezo mfukoni unaruhusu usisahau kufika Mombasa ukajifunze dhambi mpya ambazo hujawahi kuzijua toka uzaliwe![emoji38]
 
Back
Top Bottom