Kenya: Wafuasi wa Azimio wafunga barabara wakilalamikia gharama ya maisha

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464


Wafuasi wa Azimio katika Kaunti ya Migori wamefunga sehemu ya barabara wakilalamikia gharama ya juu ya maisha na kuunga mkono mwito wa Raila Odinga wa maandamano makubwa.


FrGDhe1WAAA1ZWu.jpg

FrGDhe1WAAElHBH.jpg

===============

Azimio supporters in Migori County block section of a road in protest over the high cost of living and in solidarity with Raila Odinga's call for mass protests.

Source: WKTNews


=============

Transport Paralysed, Businesses Closed As Azimio Supporters Protest In Migori

Transport was paralysed and businesses closed on Monday morning after Azimio supporters staged protests in the streets of Migori.

The protesters who were carrying placards and rungus barricaded roads with stones and demanded for the opening of IEBC servers.

They could also be heard complaining about the high cost of living, and asked Kenyan government to first deal with the price of essential goods.

At the time of publishing, police officers had started arriving in the area where the protests were taking place, trying to remove the stones that rendered roads impassable.

The protests follow a similar one in Kisumu on Friday, where pro-Azimio protesters walked towards the State Lodge.

The actions are in response to an order from Azimio leader Raila Odinga, who last week gave an ultimatum to the government to reduce the cost of living, failure to which there will be a mass action.

Source: Citizen Digital
 
Aombe msaada wa FFU wa tz!maana wana muda sana hawajafanya kazi yao pendwa!wamechoka kulinda mabenki.
 
Tarehe 20 ni week ijayo tu hapo, wananchi wote kenya wanakutana Nairobi kuelekea Ikulu.

Mzee wa roho mbaya (makamu wa Rais Gachagua) kasema NO handshake liwalo na liwe!.
 
Badae Raila anaenda shake hands na Ruto anapewa ulaji wafuasi wanabaki kushangaana.
 
Back
Top Bottom