Kama Rais wa Kenya Ruto aliikuta Kenya ina Deni Kubwa kutoka Nairobi hadi Johannesburg wa Jirani alikuta Deni la wapi na wapi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,742
109,177
"Kwa Miezi hii Mitano tu nimefanikiwa Kupambana na Uchumi wa Kenya kwani Serikali iliyopita imetuachia Deni Kubwa la Urefu wa kutoka hapa Nairobi hadi Johannesburg" amesema Rais wa Kenya Ruto.

Chanzo Taarifa: Radio One Nipashe

GENTAMYCINE sijashangaa sana kwani kuna Rais wa nchi moja ( Nimeisahau Jina na nikiikumbuka nitaitaja ) alipoingia tu Madarakani mwaka 2015 alikuta Deni la hiyo nchi lina Ukubwa wa Urefu wa kutoka Mji Mkuu Wao hadi Jijini Pyongyang Korea ya Kaskazini huku aliyewapa Deni hilo akiwa yuko na Anakenuakenua tu hovyo Afrika Mashariki, Ulaya na Marekani.
 
Acha upumbavu Jenta. Magufuli ndo mkopaji mkuu duniani. Halafu utaskia 'tunajenga kwa pesa za ndani'
 
Unafiki mkubwa sana, KIKWETE na MAGUFULI kwenye Suala la Madeni, MAGUFULI kaliingiza TAIFA kwenye madeni lukuki.

Huu unafiki ndio unatufanya tuwe masikini hadi leo, hatuko wawazi katika kila nyanja, sisi ni ushabiki wa kijinga kama hivi.
Nionyeshe ni wapi katika Uzi huu Kikwete katajwa au hata Kunasibishwa na Content ya huu Uzi wangu. Una kiherehere kama Makahaba wa Meeda Baa Sinza. Hovyo.......!!!
 
Unafiki mkubwa sana, KIKWETE na MAGUFULI kwenye Suala la Madeni, MAGUFULI kaliingiza TAIFA kwenye madeni lukuki.

Huu unafiki ndio unatufanya tuwe masikini hadi leo, hatuko wawazi katika kila nyanja, sisi ni ushabiki wa kijinga kama hivi.
Acha upumbavu Jenta. Magufuli ndo mkopaji mkuu duniani. Halafu utaskia 'tunajenga kwa pesa za ndani'
Acheni mihemko. Magu alikuta deni ni tr35, ndani ya miaka yake sita lilipanda hadi tr60, tangu alipokufa hadi leo deni ni tr 91 haya ndani ya miaka miwili deni limekua kwa tr31 tafakari.
 
Unafiki mkubwa sana, KIKWETE na MAGUFULI kwenye Suala la Madeni, MAGUFULI kaliingiza TAIFA kwenye madeni lukuki.

Huu unafiki ndio unatufanya tuwe masikini hadi leo, hatuko wawazi katika kila nyanja, sisi ni ushabiki wa kijinga kama hivi.
Una ushahidi gani kuthibisha uongo wako uliotukuka tena bila aibu. Shame on you. Kawadanganye watoto wa chekechea hivi, sio kila mtu aliishia secondary
 
Back
Top Bottom