kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Mjue ‘Yesu wa Tongaren’ anayeogopa kusulubishwa na kukimbilia kujisalimisha Polisi

    Kiongozi wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem sect lililopo Bungoma nchini Kenya, Eliud Simiyu. Kenya. Kiongozi wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem sect lililopo Bungoma nchini Kenya, Eliud Simiyu maarufu ‘Yesu wa Tongaren’amelazimika kwenda kutoa taarifa polisi ili kuokoa uhai wake baada ya...
  2. Ajinyonga ukweni baada ya kunyimwa mke

    Mwanaume mmoja ambaye jina lake halijafahamika amejinyonga na kufariki dunia ukweni kwake baada ya juhudi za kupatanisha na mke wake kugonga mwamba. Mwanaume huyo alikuwa amekwenda ukweni kwake Kijiji cha Kolondo Mashariki mwa Homa Bay, ambapo inaelezwa lengo lake ilikuwa ni kumrudisha mke wake...
  3. M

    Kenya dollar shortage

    Kenya kuna uhaba wa dola za Marekani sahii tunauziwa dola moja kwa shiligi za kenya 137. Shilingi ya kenya ilikua shilingi 21 za bongo sahii ni 18. Bongo dola ni pesa ngapi
  4. Kenya: Wafuasi wa Azimio wafunga barabara wakilalamikia gharama ya maisha

    Wafuasi wa Azimio katika Kaunti ya Migori wamefunga sehemu ya barabara wakilalamikia gharama ya juu ya maisha na kuunga mkono mwito wa Raila Odinga wa maandamano makubwa. =============== Azimio supporters in Migori County block section of a road in protest over the high cost of living and...
  5. Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

    Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu unaweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo: 1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena 2. Umechapwa ukulia utachapwa tena 3. Ukijililia tu bila kupigwa, utachapwa 4. Kusimama wakati wazee wameketi, utachapwa 5. Ukiketi wakati wazee wamesimama. utachapwa...
  6. Kenya yazindua msako wa LGBTQ Shuleni

    Wizara ya Elimu nchini Kenya imeanzisha msako mkali dhidi ya kile ilichotaja kuwa kupenyezwa kwa ajenda ya LGBTQ shuleni. Kwa mujibu wa Waziri wa Elimu, Ezekiel Machogu aliwaambia maseneta siku ya Alhamisi. ========== Kenya's education ministry has launched a crackdown on what it described as...
  7. Data driven decisions. Kwanini NALA wawe na HQ Kenya na sio Tanzania?

    Nimeona uzi wa mdau mmoja Upepo wa Pesa nadhani akilalamika ni kwanini nala wawekeze USD 5 Million in Kenya wakati kampuni imeasisiwa na mtanzania? Mods nawaomba msiunganishe huu uzi kwasababu nataka uwe na discussion tofauti. Kuna kitu kwa wachumi na pia kwenye uwekezaji huwa tunakiita...
  8. Kenya kukubali haki za mashoga ni jambo la aibu sana

    Kenya kukubali haki za mashoga ni jambo la aibu sana kwa vizazi vijavyo, labda wanaharakati wa mashoga ni wale wanaume ambao hawazai au hawatazaa, kwasababu kitendo cha kuona mtoto uliyemzaa anakuwa shoga ni kitendo cha aibu sana, inafikia mahali nchi hiyo mashoga wanafungua forum yao inayoitwa...
  9. Maoni ya Mbunge Neema Lugangira kuhusu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Kilimo Afrika, CAADPBR

    Mbunge wa Viti Maalum CCM - Kagera Mhe. Neema Kichiki Lugangira, Anaandika; Namshukuru Mhe. David Kihenzile, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo kwa kunipa fursa ya kuwasilisha Mada kuhusu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Kilimo Afrika CAADPBR kwa Tanzania...
  10. Rostam Azizi to build 200 million LPG Facility in Kenya with Our money may be!

    Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ? Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni...
  11. Mwanasiasa wa Kenya, George Wajackoyah adai aliwekewa zuio kuingia Tanzania, atoa siku 7 apate maelezo

    Mwanasiasa wa Kenya na kiongozi wa Chama cha Roots, George Wajackoyah amedai kuwa licha ya kuruhusiwa kuingia Tanzania siku mbili zilizopita akiwa mgeni wa CHADEMA, alinyanyaswa na mamlaka upande wa Tanzania. Anadai akia Arusha alizuiwa muda mrefu kwa kile alichoambiwa kuna zuioa la yeye...
  12. Kama Rais wa Kenya Ruto aliikuta Kenya ina Deni Kubwa kutoka Nairobi hadi Johannesburg wa Jirani alikuta Deni la wapi na wapi?

    "Kwa Miezi hii Mitano tu nimefanikiwa Kupambana na Uchumi wa Kenya kwani Serikali iliyopita imetuachia Deni Kubwa la Urefu wa kutoka hapa Nairobi hadi Johannesburg" amesema Rais wa Kenya Ruto. Chanzo Taarifa: Radio One Nipashe GENTAMYCINE sijashangaa sana kwani kuna Rais wa nchi moja (...
  13. Wafanyakazi wa Ikulu ya Kenya kuanza mfungo wa kutokula ili kuombea Nchi

    Rais wa Kenya, William Ruto na mkewe wametambulisha mfumo mpya wa kufanya maombi kwa ajili ya Nchi hiyo kwa kufunga kutokula na kufanya maombi mara moja kwa wiki ikidaiwa kuwa utaratibu huo pia unaweza kuanza kutumiwa na wafanyakazi wa Ikulu. Utaratibu unatarajiwa kufanyika kila Jumatano ambapo...
  14. Baadhi ya Makampuni Kenya yageukia nchi Jirani kuagiza Dola kutokana na uhaba wa fedha hizo

    Habari ya saa hizi wakuu, Hali si shwari huko kwa Ruto, inasemekana uchumi wa Kenya uko katika hali mbaya na wameomba msaada kutoka Tanzania. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, Kenya imekumbwa na upungufu wa dola za Kimarekani kuwezesha kuagiza bidhaa nje, mzigo mkubwa wa madeni ambao unakaribia...
  15. Airtel Kenya wazindua kadi za simu ya kielektroniki (eSIM)

    Today we are happy to launch eSIM (embedded SIM), a digital SIM that enables customers to access same functionality as someone using a physical SIM. You no longer need to fear damaging or losing your SIM card, and if you are a frequent traveler, you will find the eSIM very convenient for...
  16. J

    Hivi Raila Odinga anawezaje kupata wafuasi wengi hivi Kenya? Amewaloga Wakenya na uchawi gani?

    Wakuu kwema? Habari hapo kwa majirani ni mzee Odinga anadai alishinda uchaguzi na anasema ataitisha maandamano makubwa ya kwenda kumtoa Ruto Ikulu Uchaguzi ulikuwa wa wazi na matokeo yote yaliyotoka vituoni na kusainiwa na mawakala wa pande zote yote yalikuwa uploaded online Na kama kuna wizi...
  17. Lema ana ushirika na shirika la ujasusi la Kenya? George Wajackoya ni jasusi nguli la Kenya, ndilo lilimtorosha Tanzania

    George Wajackoya ni Jasusi ambalo limeajiriwa na shirika la ujasusi la Kenya, Kuna msemo kwamba jasusi hastaafu. Jasusi huyu ndiye alihusika na "mission" nzima ya kumtorosha Lema Tanzania, akamuweka Nairobi katika makazi ya Siri, na sasa ameingia Tanzania kumpokea. Lema ni agent wa shirika la...
  18. CCM jifunzeni Kenya upatikanaji na utendaji wa Tume Huru ya Uchaguzi, msione aibu

    Wakati umefika kwa chama kikongwe Afrika kubadilika. Ni miaka 61 TANU/CCM kipo madarakani huku ikitumia mifumo ya chama kimoja cha siasa wakati nchi ipo kwenye Mfumo wa Vyama Vingi. CCM na Serikali yake imekuwa ikiendesha nchi kwa kutumia Katiba ya Chama Kimoja kwa Vyama Vingu vya Upinzani na...
  19. Charles Kitwanga: Inanichekesha kuona kivuko chetu kinapelekwa Kenya kutengenezwa

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Zamani wa Tanzania, Charles Kitwanga amesema “Tunachukua kivuko chetu, sijali kama ilinunuliwa kwa Bilioni 8 na inaendwa kutengenezwa kwa bilioni 7.5, tunashindwaje kuitengeneza sisi Watanzania hadi kupeleka Kenya. “Tuangalie nani yupo nyuma wa huo mpango, inanipa...
  20. Miaka kumi na saba (17) ya bonde la mto Nile - Nairobi, Kenya

    MIAKA KUMI NA SABA (17) YA BONDE LA MTO NILE - NAIROBI, KENYA. Mhe. Eng. Maryprisca Mahundi (Mb) ambaye ni Naibu Waziri wa Maji mnamo tarehe 22 Februari 2023 ameiwakilisha Tanzania katika sherehe za miaka 17 ya Bonde la mto Nile Jijini Nairobi Kenya mkutano uliojumuisha nchi Kumi na Moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…