kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Generali wa Kenya akimbia uwanja wa vita Goma, DRC

    Ni jambo a kuchekesha na kusikitisha. General Jeff Mungai Nyagah wa KDF(Kenya Defence Forces) ameukimbia uwanja wa vita huko Goma, DRC. Sababu zilizotolewa ni kudharauliwa na maisha yake kuwa hatarini. Gen Nyagah alkuwa kamanda wa EACRF East African Community Regional Force iliyotakiwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kenya kama kwetu, Maandamano halali na haramu sambamba leo

    Raila Odinga (baba) atakuwapo barabarani leo 0600 kwenye maandamano yaliyoitwa haramu na serikali huko. Kwamba: 1. Wana ujumbe wao kupeleka ikulu 2. Wana ujumbe wao kupeleka hazina 3. Wana ujumbe wao kupeleka tume ya uchaguzi. Hizo ni ofisi za umma na katiba inawaruhusu kufanya hivyo kwa...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Harry Belafonte, Sidney Poitier, Miriam Makeba na Sal Davis: Kenya Independence Celebrations 1963

    HARRY BELAFONTE, MIRIAM MAKEBA, SIDNEY POITIER AND SAL DAVIS KENYA INDEPENDENCE CELEBRATIONS 1963 Nakuwekeni kipande hiki kama kumbukumbu ya Harry Belafonte kama nilivyoelezwa na Sal Davis. Nilimwambia Sal Davis siku moja tukae kitako tuandike maisha yake. Akanikubalia. Haya yalitokea baada...
  4. FaizaFoxy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA - KANISA LABADILISHWA KUWA MSIKITI BAADA YA WAFUASI WA KIKRISTO KUSILIMU

    Sisemi mengi video clip ina yote kwa Kiswahili...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Dini Tanzania hawajakemea mauaji yaliyosababishwa na Mchungaji Kenya? Wanaogopa nini kukemea Imani potofu?

    Tulitegemea viongozi wa Dini wakemee mauaji huko Kenya, lakini wamekaa kimya means wanaona ni sawa alichofanya mwenzao? Soon wachungaji wa Tanzania nao wataleta crisis kama ya Kenya kutokana na kukosekana Kwa udhibiti wa mahubiri. Hiki alichofanya mchungaji Kenya, alikifanya kibwetere Uganda...
  6. jastertz

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje serikali inakosa mishahara ya wafanyakazi wake mfano Kenya?

    Habari wana uchumi wa JF! Kama somo linavyosema hapo juu.. Kwa mara ya kwanza tangu Kenya ijinyakulie Uhuru 1963 , serikali imeshindwa kuwalipa mishahara wafanyakazi wa umma na wabunge. Kufikia sasa wafanyakazi wa umma hawajui ni lini watalipwa mishahara yao hali ambayo ilianza mwezi Disemba na...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania, Kenya, Uganda zaomba kuandaa AFCON 2027 kwa ushirikiano

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepokea maombi kutoka nchi sita zinazowania uenyeji wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 ikiwemo Tanzania. Jumla ya waombaji sita wamefanikiwa kuwasilisha maombi yao ambao ni Algeria, Botswana na Misri huku Kenya, Uganda na Tanzania...
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nabii Mkongo aliyetabiri vifo Kenya!

    Huyu nabii ni mkongo mkimbizi yuko huko Iowa katabiri miezi minane imepita
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Kanisa la Mchungaji Ezekiel Odero lafungwa, zaidi ya watu 100 waondolewa

    Zaidi ya watu 100 wamehamishwa kutoka kanisa la Mchungaji Ezekiel Odero, la New Life Prayer Centre and Church, baada ya Mchungaji huyo anayedaiwa kuwa Mshirika wa Paul Mackenzie Nthenge kukamatwa mapema Aprili 27, 2023. Paul Mackezie anatuhumiwa kwa mauaji ya Waumini wake baada ya Miili 98...
  10. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa Ugomvi wa Kimapenzi, Mama amchoma mwanaye Visu zaidi ya 100, amla Utumbo na Figo

    Wakuu, Baada ya habari mbaya za Mchungaji mmoja kusababisha vifo vya zaidi ya watu 40, Nchi ya Kenya imekumbwa na tukio lingine baya linalosikitisha sana. Kutokana na jinsi video hiyo ilivyo sensitive sitaweza kuiweka hapa. Lakini inamuonesha mama akimchoma visu zaidi ya 100 mwanaye mwenye...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Tanzania ina wahubiri wengi wendawazimu na wabaya kuliko huyo mmoja wa Kenya

    Mwanao GENTAMYCINE nakuomba kimya kimya agiza watu wako (hasa wa system) wafuatilie, nakuhakikishia Mheshimiwa Rais utaletewa taarifa za ajabu na za kusikitisha kuliko hata aliyoyafanya huyo Mhubiri mmoja mpumbavu, muhuni, mwendawazimu na gaidi wa Kenya. Kuna mmoja anawaambia mabinti wapakae...
  12. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Update: Miili iliyofukuliwa ya Waumini waliofunga hadi kufa yafikia 83

    UPDATE: Miili zaidi imefukuliwa katika Makaburi yanayohusishwa na 'ibada ya njaa', na kufanya jumla ya vifo kufikia 83, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka - Polisi wamekuwa wakizunguka msitu wa #Shakahola kwa takriban Siku 4 baada ya kupokea taarifa kuhusu dhehebu linaloongozwa na...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya Makundi ya Kenya yaliyofanya maajabu

    THE KENYAN TRIO I GIVE MY DUE RESPECT (CURRENTLY) Natamani sana kusikia kolabo inayobeba vichwa hivi vitatu ninavyovisikiliza zaidi kutoka KE kwa sasa. Nimekuwa nikimwelewa Shinski toka enzi za Klepto na "Tuendelee, Swing, Furahia na Mpenzi." Hata baada ya kusplit na kwenda majuu na kuacha...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Waumini waliofariki kwa njaa katika mfungo wafikia 15

    Update: 8 more bodies exhumed from Shakahola; 15 bodies exhumed in 2 days 8 more bodies have been exhumed on the second day of exhumation at the Shakahola area, Kilifi county. This brings the total number of bodies exhumed in two days at 15. The 15 bodies have been exhumed from three...
  15. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Russia kupeleka mbolea bure nchini Kenya

    Wakati MK254 akimtukana na kumshambulia Rais Putin kila siku, yeye aamua kumjibu kwa vitendo kwa kupeleka mbolea bila malipo nchini Kenya na gharama za usafiri italipia Russia yenyewe ili kuwakomboa na njaa wakenya wanaoteseka na njaa kali. Nasema hivi UUNGWANA NI VITENDO. Russia to deliver...
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzanians in Kenya to study Nairobi Expressway model

    Karibuni majirani Nairobi. Tanzania has on Wednesday, April 19, sent a delegation from the Tanzania National Roads Agency (Tanroads) to visit the Kenya National Highways Authority (KeNHA) on a benchmarking exercise of the Sh1.76 trillion (Ksh88 billion) Nairobi Expressway, Kenyan media has...
  17. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Yaani mwaka 2023, mwezi uandame Rwanda, Kenya na Uganda halafu usiandame Tanzania! Hapa kuna utapeli kwa 100%

    Bila kuzingatia kwa mwaka huu 2023 nani yuko sahihi kati ya wale waliosema mwezi umeandama Kenya, Uganda na Rwanda (hivyo ijumaa ni sikukuu) dhidi ya wale waliosema mwezi haujaandama Tanzania (hivyo Ijumaa watu waendelee kufunga), hapo kuna harufu ya Uongo na utapeli kwa 100%. Sote tunajua...
  18. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Serikali yatangaza Ijumaa ijayo kuwa Sikukuu ya Idd

    Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya ndani inayoongozwa na Profesa Kithure Kindiki imetangaza Ijumaa ya Aprili 21, 2023 kuwa Siku Kuu, kusherehekea Idd-ul-fitr.
  19. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua: Transfoma za Wanaume Mlima Kenya zimezima kwa sababu ya pombe

    Nyeri, Kenya Naibu Rais ameachilia kombora la utani kwa wanaume wa eneo la Kati, akidai wameshindwa na majukumu muhimu ya ndoa kwa sababu ya kutekwa na ulevi. Bw Gachagua alisema wanaume wa Mlima Kenya wamekuwa mateka wa pombe, hasa ile haramu. Alisema athari za pombe zimewalemea kiasi cha...
  20. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkristo kuingia Msikitini na kukosea hivi ni sawa kweli?

    Asalaam alykhum. Nimefuatilia sana hikinkipande cha sinema nikaishia katikati, kucheka nataka, kuwa serious nashindwa. Nikaona siyo sawa, kama mtu huwezi kuenenda sawa sawa na utaratibu wa ibada basi bi bora kutulia tu. Hebu mcheki yule mwamba VP Gachagua anachofanya kwenye 01:36 hadi walio...
Back
Top Bottom