Kenya: Watanzania watajwa kwenye orodha ya Magaidi 35 wanaotafutwa na Serikali

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1697616867737.png

Wizara ya Mambo ya Nje imetoa orodha ya Washukiwa 35 wa Ugaidi wakiwemo raia wa Tanzania, Somalia, Ujerumani, Uingereza, Bangladesh na Wakenya ambao wanatafutwa na Serikali kutokana na kuhusishwa na mashambulio ya Kigaidi yaliyotokea katika Kaunti ya Lamu.

Washukiwa hao wanahusishwa na utegaji wa vilipuzi (IED) katika barabara mbalimbali na mauaji ya raia kwenye barabara kuu ya Lamu-Witu-Garsen. Pia, Wanahusishwa na shambulio dhidi ya kambi ya jeshi la Marekani huko Manda Bay, Lamu mwaka 2020.

Mamlaka hiyo imewataka Washukiwa kujisalimisha katika Kituo chochote cha Polisi nchini Kenya mara moja pmaoja na kuahidi zawadi kubwa ya fedha kwa mwananchi yeyote atakayetoa taarifa za kuaminika zitakazopelekea kukamatwa kwa mshukiwa yeyote.

============

The @DCI_Kenya is appealing to members of the public to volunteer information that may lead to the arrest of thirty five (35) armed and dangerous terror suspects, who are part of the Alshabaab terror network and are responsible for planning and orchestrating the deadly terrorist attacks and violence in Lamu County and the larger Boni Enclave.

The suspects are ordered to surrender to any Police Station in Kenya immediately. A substantial cash reward will be offered to any member of the public who provides credible information leading to the arrest of any of the suspects.

Information on the whereabouts of any of the suspects may be channeled confidentially to the anonymous #FichuakwaDCI Hotline number 0800 722 203 or the police hotline number 999.

Ministry of Interior | Kenya

https://twitter.com/InteriorKE
https://twitter.com/InteriorKE
 
Hivi wakishaingia huko ndo wanapewa majina ya kina Abdi, Ali au?
Kwa waarabu hiyo Ali inasimama kama jina la heshima,wanadanganywa nalo kwamba ni katika wale walioinuliwa kuipigania dini ya alaah.

Ni haki yao maana wanasema ndivyo Mungu wao alivyowataka wafanye
 
Back
Top Bottom