kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya na tanzania

    Dhamira na lengo la kuanzisha uzi huu ni baada ya kuona ushindani mkubwa humu jf baina ya watanzania na wakenya wakilinganisha maendeleo( kati ya mambo mengine) katika nchi hizi mbili.. Ushindani wa kulinganisha si mbaya kwani unaweka wazi mapungufu yaliyopo katika nchi zetu lkn ushindani ambo...
  2. Barbarosa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini Capitalism imeshindwa kuwatoa Kenya?

    Kenya ni Capitalistic state tangia day 1, lkn kwa nini imeshindwa kuwaondoa hapo? Je, tatizo ni IQ au ni nini? BTW nchi zote ambazo zimekuwa zikifwata capitalistic economic system ziko mbali sana Kiuchumi, lakini Kenya bado wana matatizo yale yale yanayozisumbua (former) socialistic states, kama...
  3. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serekali ya Kenya Iuze baadhi ya Kampuni inazo miliki ili Kushtua Uchumi au La?

    Miaka ya 70's Serekali ya Kenya iliamua kuuza baadhi ya hisa za kampuni za kiserekali ambazo zilikua hazifanyi vizuri kama KQ ambapo ilifanyikiwa kuleta faida kwa Serekali kwa karibia miaka 20 kabla KQ kuanza kupata hasara kuanzia 2015 hadi sasa, jambo ambalo limefanya GoK kuamua kununua hisa...
  4. Tz boy 4tino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lugha ya kiingereza hata Kenya ni tatizo acheni Kujimwambafy.

  5. Mekatilili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Half of Tanzanians living in ‘multidimensional poverty’

    Kenya has seen marked improvement in this 2019 ranking. In spite of the spate of natural disasters brought about by climate change. ==== An estimated 55.4 percent of Tanzanian population or around 31,778,000 people are in multidimensional poverty while an additional 24.2 percent or 13,872,000...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Kenya wengi ni watoto wa wapigania uhuru lakini Tanzania ni watoto wa wakulima, wafugaji na Chadema wafanyabiashara

    Nilikuwa nasoma historia za wanasiasa wa Kenya akina Mudavadi, Ruto, Kalonzo Musyoka, Raila na wengine wengi nimeona 95% ni watoto wa wapigania Uhuru. Yaani wana ile spirit ya siasa. Nikarudi hapa nyumbani kwa wakina Mwigulu, Mbowe, Tundu Lissu, Zitto, Nape, January na wengine wengi nimegundua...
  7. joseph1989

    JamiiForums Tanzania Diamond platnumz atawala chart za Kenya na Tanzania Boomplay kwa wanamuziki wa TZ.

    Rf
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Benki ya Maendeleo Afrika yatoa mabilioni ya pesa kwa ajili ya ujenzi wa barabara Kenya na Tanzania

    Watu zaidi ya milioni tatu katika nchi za Tanzania na Kenya, watanufaika na Euro milioni 345 kutoka Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kusaidia ujenzi wa barabara. Barabara zitakazohusika ni za Mombasa-Lunga Lunga/Horohoro na Tanga-Pangani-Bagamoyo katika awamu ya kwanza, ikiwa ni asilimia 78.5...
  9. Barbarosa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Volkswagen made in Kenya iko wapi?

    Nilisikia kwa muda sasa Kampuni ya Volkswagen Group wamejenga assembling plant nchini Kenya, je tayari wameshaanza uzalishaji? Na ni aina gani ya VW wanaunga unga? Na wanauzia wapi?
  10. hiram

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro crater ipo KENYA?

    ndege aliyopanda edo kumbwembe
  11. Gunther1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Among Top Nations in 2020 Global Fintech Ranking

    by Mwakaneno Gakweli December 19, 2019 Kenya bagged 42nd position in the Global Fintech Ranking by Findexable. The country ranked second in Africa, just a few points behind South Africa which took the leading position. Global Fintech Index by Findexable recognized Kenya’s efforts in...
  12. Sinister

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya and Tanzania road construction receives aid from AfDB

    The African Development Bank’s (AfDB) board in Abidjan approved of the US$384.22m financing package for road construction support for the Mombasa-Lunga Lunga/Horohoro and Tanga-Pangani-Bagamoyo roads Phase I (Kenya to Tanzania). It is in the form of the African Development Bank and African...
  13. Jackal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Newly Married Couple Commits Suicide over Wedding Debt in Kisumu

    Newly Married Couple Commits Suicide over Wedding Debt in Kisumu Two families in Kisumu are mourning their two children who together committed suicide 4 days after their beautiful wedding. According to Sources, the newly married couples allegedly killed themselves because of the huge debt they...
  14. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaji wa Mahakama ya Rufaa Prof. Odek akutwa amefariki nyumbani kwake

    Jaji wa Mahakama ya Rufaa Kenya, Prof. Otieno Odek amekutwa akiwa amefariki jumatatu asubuhi nyumbani kwake Kisumu nchini Kenya. Inaelezwa kuwa timu ya wataalamu wapo eneo la tukio kwa uchunguzi wa kina kabla ya kupeleka mwili wa Prof. Odek mochwari. Marehemu alikuwa anaishi peke yake na...
  15. Nyendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamuziki huyu wa Kenya anataka ulinzi?

    Msanii wa Kenya King Kaka anataka ulinzi baada ya watu wasiojulikana kutoupokea vema wimbo wake mpya unaokemea maovu ikiwemo rushwa. King Kaka amabye jina lake halisi ni Kennedy Ombina, mwishoni mwa juma alitoa video ya wimbo aliouta 'Wajinga Nyinyi', akikosoa maovu miongoni mwa jamii ya...
  16. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya on course to achieve universal access by 2022

    Kenya is on course to attain universal access to electricity with every home and business connected to the grid by 2022, according to a new report. This is in stark contrast to many Central African countries for which this is an unattainable feat in the near future. The report by the...
  17. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Investors in renewable energy apply for licences to produce 4000 MW (4GW)

    Power producers have made new offers to develop electricity plants that could double Kenya's generating capacity. Different companies had as of last year applied for licences to develop power plants that would use renewable energy sources with a capacity to produce over 4,000 megawatts (MW) of...
  18. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbo wa King Kaka wa Wajinga nyinyi!!! (Kenya)

    Kenya rapper King Kaka has released a song on Saturday, December 14, mocking Kenyan politicians. "Washenzi....."! "Politicians wana ujinga za kila aina...."!
  19. Mr. MTUI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fire fighter wa Kenya

    Wanazima moto wa gesi kwa maji😀😀😀
  20. mwaswast

    JamiiForums Tanzania Meanwhile pale South Africa Kenya inatawala

    Samoa na Australia wamepokea kichapo cha mbwa kutoka Kenya
Back
Top Bottom