Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Wanabodi,
Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?
Bandiko hili ni la swali moja...
Kitendo cha serikali ya Kenya kuwahamisha waalimu wote ambao sio wazawa/waisilamu kutoka kaunti za Mandera na Wajir na kaskazini mashariki mwa Kenya kutokana na kushindwa kuwahakikishia usalama wao kwasababu ya kulengwa na Alshabaab, ni dalili za wazi kwamba GoK imesalimu amri mbele ya...
The government of Kenya has announced plans to construct an agro-industrial park in Uasin Gishu County, a move expected to boost farming. The project will be under the Alliance for Sustainable Urban Development in Africa (Dasuda) programme. It will sit on a 45 acre of land located in Moi’s...
Jana nimebahatika kuhudhuria ibada katika Kanisa moja pale Mtwapa katika pwani ya Kenya, ama kwa hakika ibada iligeuka kuwa " kama" mkusanyiko wa wanasiasa.
Watu wanazungumzia nani awe Rais wa Kenya baada ya Uhuru kanisani wakibishana juu ya William Rutto, Raila Odinga na Gideon Moi...
Mkulima wa kisasa Galus Msekwa anayeendesha kilimo kwa utaalamu wa juu avutia wanunuzi toka mbali kama miji ya Nairobi na Mombasa. Mtangazaji Captain Gadner Habash alifika katika shamba hilo la mkulima na kufanya naye mahojiano exclusive na kituo cha Televisheni cha Clouds cha jijini Dar es...
Raia wanne wa Uchina waliokamatwa na Mkurugenzi wa idara ya upelelezi wa makosa ya jinai (DCI) wanatarajiwa kurudishwa kwao baada ya amri iliyotolewa na Waziri wa mambo ya ndani wa Kenya Fred Matiang'i.
Agizo hilo lilisainiwa na Matiang'i Jumatano baada ya mahakama kuruhusu polisi kuwashikilia...
Wana bodi ndugu zangu wa JF naomba mwenye uelewa wowote kuhusu kifo cha huyu aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Kenya wakati wa utawala wa Rais Daniel Arap Moi hatujuze kuhusu kifo chake kilikuwaje maana mpka wapelelezi kutoka UK Scotland Yard walikuja kufanya upepelezi juu ya tukio hilo
Mwenye nyumba Ngángá Gitau, amemchoma visu mpangaji wake hadi kufa Warren Jirongo (26) baada ya kushindwa kulipa kodi ya mwezi Januari
Wakazi wa eneo hilo wamemzonga mwenye nyumba huyo kwa hasira na kuchoma nyumba zake moto baada ya yeye kumuua kijana huyo
Kijana huyo ni yatima ambaye alikuwa...
Nafuatilia shughuli ya mazishi ya mwenda zake Rais mstaafu Moi wa Kenya mubashara kupitia Citizen Tv.
Kiukweli mwendazake Moi alikuwa ni tajiri wa kutosha, sasa nimewaelewa mabepari wa Tanzania Chadema wanaoamini kuwa Umaskini ni laana.
Ila CCM ni Chama cha kistaarabu sana marais na mawaziri...
Edward Mwangi aliondoka nyumbani kwake miaka 26 iliyopita baada ya kuzozana na mkewe, alikaa Nairobi kabla ya kwenda Nakuru ambako alikuwa akifanya kazi mashambani.
Aliondoka na redio na akarudi na redio ile ile. Edward Mwangi kutoka Gikangu kaunti ya Murang’a
Aliamua kwenda kutafuta ajira...
Wadau wa maswala ya intelijensia hii kitu imekaaje?
Hakukuwa na coordination kati yao?
==========
Rwandan President Paul Kagame’s arrival at the Nyayo Stadium to attend the national prayer service for the late former President Daniel Moi was marked with chaos.
A video posted by the Daily...
Afisa Kilimo wa Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro, Erick Kaaya amesema wamepokea taarifa kuwa Nzige wapo Kilometa 50 kutoka ulipo mpaka wa Kenya na Tanzania
Katika taarifa iliyotolewa na Afisa huyu wa Wilaya, amewaomba Wananchi watakapoona Wadudu jamii ya Panzi kutoa taarifa mapema kwenye...
Wakati serikali ikiendelea kuwekeza katika miradi mikubwa ya maendeleo hasa katika sekta ya miundombinu, ripoti ya ujenzi ya The Africa Construction Trends Report (2019) iliyoandaliwa na Kampuni ya Deloitte kutoka nchini Uingereza inaonesha kuwa Tanzania inaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na...
Mimi nikimuangalia Rais Magufuli kitabia naona ni kama Moi alizaliwa upya kuitawala Tanzania. Wanafanana sana kitabia na hizi ni baadhi ya tabia zao kwa jumla zinazofanana.
1. Wanapenda sana wasifiwe. Enzi za Moi zilitungwa nyimbo nyingi kumsifia kitu kinachoonekana kwa Rais Magufuli pia.
2...
Rais wa Pili wa Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi amefariki dunia
Rais Uhuru Kenyatta amewatangazia wananchi wa Kenya asubuhi ya leo.
Mzee Moi amefariki leo Februari 04, 2020 alfajiri saa 11 na dakika 20 (5:20am) akiwa na umri wa miaka 95 (ingawa aliyekuwa katibu wake, Lee Njiru amesema...
Mahakama Kuu Kenya imesitisha kutekelezwa kwa mfumo wa usajili wa wananchi kwa njia ya alama za vidole hadi hapo sheria ya kulinda taarifa itakapopitishwa.
Mbali na kuzuia utekelezaji huo, mahakama imesema kuwa kukusanya taarifa za eneo (GPS) na vinasaba (DNA) ni kinyume na katiba ya nchi...
My Take:
Hizi ni aina za mahakama zinazotambua vyema wajibu wake wa kulinda haki za watu.
Hizi information zikiwa ploriferated huna pa kukimbilia maana fingerprints ndiyo password yako usiyoweza kuibadili
Baada ya USA kuelewana na China na NAFTA (Canada, Mexico, USA), katika negotiation za bilateral trade, Next itakuwa ni EU halafu baada ya hapo ndo wengineo kama South America alafu Africa.
Ndani ya North Africa, Marekani imeshaanza kufanya bilateral trade agreements mpya na Morocco, halafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.