kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. mwaswast

    JamiiForums Tanzania Meanwhile pale South Africa Kenya inatawala

    Samoa na Australia wamepokea kichapo cha mbwa kutoka Kenya
  2. Sinister

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Construction of cruise ship terminal in Kenya complete

    Construction of the cruise ship terminal in Kenya is complete. The Kenya Ports Authority (KPA) Daniel Manduku revealed that the facility is set for commissioning next week. “The ultra-modern cruise terminal is ready to be officially handed over to the Port of Mombasa management on December, 16...
  3. kilam

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shamba la Bibi: Mradi hewa wa Itare dam wawagharimu Wakenya KSh 4.3b

    Advance pay for Itare dam set up Kenyans for losses The site in Kuresoi South, Nakuru County, where Itare Dam was supposed to be built. The image was taken on September 17, 2019. PHOTO | FILE | NATION MEDIA GROUP The government may have set up taxpayers for a Sh4.3 billion loss by offering...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kenya Mahakama ya mafisadi ipo kazini, Tanzania tunafeli wapi?

    Niko naangalia mubashara mwenendo wa kesi ya ufisadi inayomkabili Gavana Sonko wa jiji la Nairobi na wenzake wanaotuhumiwa kufisadi fedha za serikali kwenye manunuzi ya umma. Tukio hili linarushwa live kupitia Citizen Tv. Hapa Tanzania tunayo mahakama ya mafisadi lakini sijaisikia ikiendesha...
  5. Gunther1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya is truly a failed country

    Danish Brewing Company E.A Limited is planning to set up a KSh4.59 billion production facility to cement its position in Kenyan Market. Moreover, the firm has intensified expansion plans with the new facility having a capacity of 12-15 million bottles annually. Danish Brewing – subsidiary of...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya kisiasa huishia kwa kugawana vyeo na si kuleta maelewano ya wananchi mfano ni Zanzibar na Kenya

    Wananchi wanaouliza Chadema wanataka maridhiano ya kitu gani wana hoja ya msingi sana kwa sababu anayeombwa maridhiano ni serikali. Ile ilikuwa ni sherehe ya serikali ndipo Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akasema wao wako tayari kwa maridhiano na kumwomba Rais na Amiri jeshi mkuu...
  7. Sinister

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya attracts Google after launching Africa's biggest project

    President Uhuru Kenyatta continues to spread his influence across the globe after one of the largest technology companies in the world expressed interest in investing in his project that emerged as the biggest in Africa. American multinational technology company, Google, was reportedly...
  8. Mekatilili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Likoni: Mombasa Gate Bridge: First Cable Stayed Bridge in Kenya & Longest in Africa

    It looks like all the financial instruments have been finalized & construction over the troubled Likoni channel is about to start. LIKKKONI by Rico Mwash, on Flickr LIK3by Rico Mwash, on Flickr
  9. mwaswast

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ilivyo desturi, Kenya imeigaragaza Tanzagiza

    Naona nyuzi zinafunguliwa Left Right and centre trying to deflect the obvious. Harambee Stars imeitwanga Taifa failures ya Tz katika Cecafa Senior Cup challenge kule kwa Museveni. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ====== National football team, Harambee Stars got their Cecafa Senior Challenge title defence...
  10. Turnkey

    JamiiForums Tanzania CECAFA:Tanzania bara vs Kenya

    1.Aishi Manula 2.Mwaita Gereza 3.Mohamed Hussein 4.Bakari Nondo Mwamnyeto 5.Kelvin Yondani 6.Jonas Mkude 7.Cleoface Mkandala 8.Mzamiru Yassin 9.Paul Nonga 10.Lukas Kikoti 11.Miraji Athuman SUB David Kisu ,Metacha Mnata Juma Abdul Nickson Kababage Gadiel Machiel Baraka Majogoro...
  11. Sinister

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Railways adds more SGR train coaches to meet high demand

    Kenya Railways has announced that it will add five more coaches to the Standard Gauge Railway (SGR) passenger train that shuttles between Nairobi and Mombasa to cater for the rise in passenger numbers in the festive season. The extra coaches that will cater to both economy and first-class...
  12. Mekatilili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Under Construction: Kenya: KSH 50 Billion Lukenya Hills Development 8,800 affordable housing units

    ----- NAIROBI, Dec. 6 (Xinhua) -- Kenyan President Uhuru Kenyatta on Friday launched 8,800 housing units on the outskirts of the capital Nairobi that were developed through a partnership with the United Nations Office for Project Services (UNOPS) to cater for low and middle income earners...
  13. Bana Balume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jengo laanguka Kenya

    BREAKING NEWS: Jengo la ghorofa sita limeanguka asubuhi ya leo katika eneo la Embakasi jijini Nairobi, huku watu kadhaa wakihofiwa kunaswa chini ya kifusi cha jengo hilo. Shughuli za uokoaji zinaendelea huku baadhi ya majeruhi wakikimbizwa hospitalini kwajili ya matibabu Ripoti nchini Kenya...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Yesu wa Tongareni Kenya

    Katika kijiji cha Luhohwe kilichopo jimbo la Bungoma magharibi mwa Kenya anapatikana mwanaume anayejulikana kama 'Yesu' wa Tongareni. Maisha yake yalikuwa ni ya kawaida hadi ilipofika mwaka 2009 ambapo anadai Mungu alimjia na kumpatia jina Yesu, na kuanzia siku hiyo hapaswi kuitwa au kutaja...
  15. Neter

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Journalists Exposing Corruption in Kenya

    The Journalists Exposing Corruption in Kenya "Our goal is to show Africa as it really is: The good, the bad, the ugly, the potential," says John Allan Namu, an investigative journalist in Nairobi, Kenya. He co-founded Africa Uncensored, an investigative journalism collective that works to...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mafuriko Kenya: Msichana afariki akijaribu kumuokoa mwanaume

    Waokoaji nchini Kenya wameuopoa mwili wa kijana mmoja aliyekufa maji alipokuwa akijaribu kumuokoa mwananume ambaye alikuwa akiomba usaidizi alipokuwa akivuka mto uliokuwa umefurika . Anna Nduku mwenye umri wa miaka 19 alianguka katika mto Kandisi karibu na eneo la Ongata Rongai , viungani vya...
  17. simplemind

    JamiiForums Tanzania Kenya wateta unafiki wa Profesa Kabudi kuipa Kenya kisomo dhidi ya ukabila

    Kinaya kwa Tanzania kuipa Kenya kisomo dhidi ya ukabila Majuzi katika kongamano la kitaifa la mchakato wa kuunganisha nchi al maaruf BBI (Building Bridges Initiative) kule Bomas, Nairobi kulizuka mgeni wa nchi jirani aliyehutubu na kuacha maswali mengi kwa wadadisi wa kisiasa. Bwana huyu ni...
  18. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Marekani imeshika nafasi ya kwanza kwa nchi yenye roho nzuri Dunani. Kwa Afrika, Kenya, Zambia na Sierra Leone zaongoza kuwa na roho nzuri

    Taasisi ya Charities Aid Foundation ya Uingereza imeitaja Marekani kama nchi yenye roho nzuri (most generous country) Duniani, ikifuatiaa na Myanmar na New Zeeland huku nchi zenye watu wachoyo zaidi ikiwa ni China, Yemen na Ugiriki. Kwa Afrika nchi kama Kenya, Zambia na Sierra Leoni zikishika...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Siagi ya karanga kutoka Kenya yapigwa marufuku Afrika Mashariki

    NCHI za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimepiga marufuku uingizaji, usambazaji na uuzaji wa bidhaa za siagi, zilizotengenezwa kwa karanga kutoka Kenya. Zimepigwa marufuku kutokana na bidhaa hiyo, kubainika kuwa na vimelea hatarishi kwa afya za walaji. Kwa mujibu wa Shirika la Viwango...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mvua yaendelea kuipiga Kenya

    Kenya inapambana na mafuriko na mvua kubwa iliyoanza mwezi uliopita. Idara ya utabiri wa hali ya hewa imetahadharisha kuwa hali hiyo itaendelea kushuhudiwa hadi wakati wa msimu wa Krismasi. Kitengo cha kupambana na majanga ya kitaifa kinaeleza kuwa watu wasiopungua 130 wamefariki baada ya...
Back
Top Bottom