Volkswagen made in Kenya iko wapi?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Nilisikia kwa muda sasa Kampuni ya Volkswagen Group wamejenga assembling plant nchini Kenya, je tayari wameshaanza uzalishaji? Na ni aina gani ya VW wanaunga unga? Na wanauzia wapi?
 
Nilisikia kwa muda sasa Kampuni ya Volkswagen Group wamejenga assembling plant nchini Kenya, je tayari wameshaanza uzalishaji? Na ni aina gani ya VW wanaunga unga? Na wanauzia wapi?

Unveiling of the first VIVO
President-Uhuru-Kenyatta-with-Volkswagen-CEO-Herbert-Diess-while-driving-Polo-Vivo.jpg

Kenya Posta Services Purchases a Fleet of the Model

Posta-kenya.jpg

DgMwqKOWAAApme8

Assembli Line
vw.jpg
 
Asante kwa picha, imekaa kama VW Polo old model, wanaunga magari mangapi kwa siku kwenye hiyo plant? Na ni shilingi ngapi?
 
Asante kwa picha, imekaa kama VW Polo old model, wanaunga magari mangapi kwa siku kwenye hiyo plant? Na ni shilingi ngapi?

Tatizo ni jinsi ulivyo, huwa unabadilisha rangi kama kinyonga, mara unakuja na matusi dhidi ya Kenya mara unakuja kihivi, sasa wadau wanapokujibu hawajui ujio wako kwa wakati huo, aidha umekuja kitoto au una nia njema. Unakua kama mwanamke akiwa kwenye siku zake, hujui leo anaamkaje, mara furaha tupu mara aamke amenuna mpaka kuzimu.

Kanzidata tunayo sio tatizo, hapa tunaweza tukakutafutia taarifa unazoziomba kisha badala ya kushukuru utukane.....hehehe jamaa wewe shughuli, na ndio desturi yenu huko.
 
Back
Top Bottom