kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Benki Kuu Kenya: 75% ya biashara ndogo na za kati zitafungwa hadi mwezi Juni

    BENKI KUU KENYA YASEMA 75% YA BIASHARA ZA NDOGO NA KATI ZITAKUFA Gavana wa Benki Kuu ya Kenya Zaidi ya 75% ya biashara ndogo na biashara za kati zipo hatarini kufungwa kutokana na ukosefu wa pesa Hii ni kutokana na shughuli kuzorota kutokana na kuwa na tishio la janga la #CoronaVirus Ukuaji...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Amchinja mjomba wake na kumpelekea kichwa shangazi yake

    Polisi wa Mwatate kaunti ya Taita Taveta wanamshikilia mtu mmoja anayetuhumiwa kumkata kichwa mjomba wake Kijana huyo wa miaka 20 ameripotiwa kumchinja mjomba Mei 27, wake na kupeleka kichwa kwa mke wa mjomba wake huyo, ambaye alikimbia baada ya kukiona Sababu za kufanya tukio hilo...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya tumieni takwimu kwenye lockdown ya CORONA

    COVID-19 imeua watu 55 Kenya tangu Mwezi March 2020 hadi May 2020. Kabla ya kuendelea na lockdown ya CORONA toweni takwimu ya vifo kutokana na magonjwa mengine Kama Malaria, TB, HIV, ajali za bodaboda katika kipindi Cha kuanzia March- May 2020 same period ili kuona Ni ugonjwa gani umeua wakenya...
  4. JamiiForums Tanzania Kenya: Watanzania watatu wakamatwa na kuwekwa Karantini, mmoja akimbia. Wadaiwa kuingia nchini humo kinyemela

    Mtanzania mmoja amekimbia na wenzake watatu wamekamatwa na kuwekwa Karantini baada ya kuingia katika Kaunti ya Homa Bay kinyemela siku ya Jumatatu. Aliyekimbia alijifanya anaongea na simu wakati wakihojiwa na Mkuu wa eneo la Kagan Kusini, Sospeter Oyugi katika Kituo cha biashara huko Rangwe...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaendelea kuzuia Watanzania kuingia Taveta na kufanya biashara

    Wafanyabiashara katika mpaka wa Holili uliopo Wilaya ya Rombo wamelalamikia kitendo cha wao kunyimwa kuingia nchini Kenya kufanya baishara na kutakiwa kuagiza mizigo kwa njia ya simu huku wao wakiingia nchini na kufanyabiashara bila kubughudhiwa. ======= nomasana, sam999, NairobiWalker...
  6. JamiiForums Tanzania Kenya Kuna Wabunifu: Angalia Barakoa Zao

    Corona imeingia Kenya na kuleta opportunities mpya kwa wanchi; angalia barakoa walizotoa
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Africa Is Talking , Africa's Largest Unified Communication Platform

    Business APIs in Africa are getting a boost from global venture capital thanks to a new $8.6 million round for Africa’s Talking—a Kenyan based enterprise software company. The new financing was led by IFC Venture Capital, with participation from Orange Digital Ventures and the investor that’s...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Gumzo Africa's First Video Conferencing App

    Gaming Startup Usiku Games has launched what they describe as the first “made in Africa for Africa” video conferencing system. Dubbed Gumzo, which is Kiswahili for chatting, the new platform promises better quality calls with unlimited attendees at affordable prices. Currently, the company says...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya mtoto auzwa kwa Tsh. 65,000

    Binti wa miaka 17, wa kidato cha pili mkazi wa Butere Kaunti ya Kakamega, amelazimika kumuuza mwanaye mara baada ya kujifungua, baada ya kufukuzwa na baba yake mlezi kwa kuwa na ujauzito huo. Taarifa zinasema binti huyo alifukuzwa kwa kuwa alipewa mimba na nduguye wa karibu hivyo mtoto ambaye...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha zinatisha: Maasai watwangana na jamii ya Kipsigis Narok nchini Kenya, wanne wapoteza maisha

    Mgogoro wa mifugo umeleta mapigano ya jamii hizi mbili zenye uhasama wa muda mrefu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania How Tanzania is Overtaking Kenya as Regional Economic Powerhouse..

    It is no doubt Tanzania is strongly coming up as a real competitor and perhaps an emerging producer of the East African community. It is also true that the ease and cost of doing business in Tanzania is cheaper than it is in Kenya. Periodic electoral chaos in Kenya associated with ethnic...
  12. JamiiForums Tanzania Kupiga chabo

    SIASA Sent using Jamii Forums mobile app
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IMF: Tanzania Rapidly Closing its Economy gap with Kenya

    Kenya’s status as East Africa’s economic powerhouse is at stake as Tanzania races closely behind, with a higher growth rate that is increasingly narrowing the gap between the two economies. Tanzania has added impetus to its economic firepower, growing by an impressive seven per cent over the...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya most integrated country in COMESA, AU report

    Rwanda and Zambia came second and third respectively; with Eswatini, and Sudan scoring being the least integrated into the region. Overall, the Index shows that levels of integration on the continent are relatively low with an average score of 0.327 out of 1. The report observed that although...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamiliki wa maroli nchini Kenya wazuia maroli yao kuvuka kwenda Uganda kwa hoja ya madereva wa Kenya kunyanyapaliwa

    Ukistaajabu ya Musa... Kile Tanzania ilichokipinga kwa unyanyasaji walio kuwa wanafanyiwa madereva wa Tanzania kwenye mipaka ya na Kenya ndicho Kenya imekifanya huko Malaba mpaka baina ya Kenya na Uganda. Wamiliki wa maroli Kenya wamezuia maroli yao kuvuka upande wa Uganda hadi pale...
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta: Hatuwezi kuendelea na lockdown

    - Rais alisema serikali imeafikia uamuzi wa kuwa haiwezi kuendelea kuwafungia watu - Alisema sasa itafikia wakati wa watu wenyewe kujilinda dhidi ya maambukizi ya coronavirus - Nchi jirani ya Tanzania ni mojawapo wa zile ambazo hazikufunga shughuli zake za kuchapa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Onions Suppliers from Tanzania

    Natokea Kenya nataka kuanza biashara ya vitunguu natafuta mtu atakaye nisaidia kupata supplier wa vitunguu kutoka Tanzania kwa bei nafuu. Asante
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyans love gossiping than football...

    Mpaka wanaume wanapenda gossiping than football. Sijasema mimi, Mkenya huyu anasema..
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu laki mbili wakabiliwa na njaa huko Kilifi, Kenya

    Yaani huku virusi vya corona huku njaa. Wakenya mtakoma safari hii. Acheni kujifanya wajuaji.
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya watamani kuiga Tanzania: Wachoshwa na daily briefings za corona

    Muendelezo wakutaja positive cases kila siku saa tisa alasiri bila kutoa solutions kumeonekana kuwakera Sana Wakenya kiasi kwamba kuomba huo utaratibu usitishwe Kama Tanzania ilivyofanya. Nimeambatanisha screen shorts na video ambayo ukiangalia comments zake asilimia zaidi ya 90 wanataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…