kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. byeyombo

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Corona, Wakenya wabuni barakoa zao

  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuvaa barakoa ni lazima, asiyevaa barakoa anaweza kwenda jela miezi sita

    Inspekta jenerali wa Polisi, Hilary Mutyambai amewaagiza polisi kumkamata mtu yoyote atakayeonekana mitaani bila kuwa na barakoa. Kuvaa barakoa ni lazima ili kuzuia maambukizi ya #Covid19. Swala hilo limeshatangazwa na gazeti la serikali kupitia ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali Aprili 6...
  3. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndani ya Hospitali Inayotibu Wagonjwa wa Corona Nchini Kenya

    Hospitali hii ina shughulikia jumla ya wagonjwa 123 walio na corona, duh, mambo yanatisha hapo ndani kazi si mchezo
  4. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Cargo volumes at Mombasa port remain steady despite global trade challenges

    Port operations at Mombasa remain steady despite a small variance on the weekly arrival of vessels, occasioned by a slow down in the global supply chain over Coronavirus. Manufacturing and international trade, cargo volumes remain high compared to last year, Kenya Ports Authority(KPA) data...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: 11 zaidi wagundulika na #covid19 akiwemo mtoto wa mwaka mmoja

    Wizara ya Afya ya Kenya imetangaza visa vipya 11 vya #Covid19 na kufanya idadi ya visa nchini humo kuwa 208 Mmoja kati ya waliothibitikakuwa na #CoronaVirus ni mtoto wa mwaka mmoja. Sampuli 674 zimechunguzwa kwa masaa 24 yaliyopita Wanne kati ya hao waliokutwa na #Covid_19 wanahistoria ya...
  6. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Good news dog lovers

    Attention all Kenyan Dog lovers and breeding kennels,the annual Kenya police dog auction(In Langata ) has been postponed. This gives you time to prepare your wallet and vocal chords for this annual auction that is also a good family event. This year 18 highly trained and battle ready dogs from...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

    Waziri wa afya Mh. Ummy muda huu anazungumza na viongozi mbalimbali wa dini juu ya mikakati ya kudhibiti Corona. -- ALIYOZUNGUMZA WAZIRI UMMY MWALIMU (KWA UFUPI) Viongozi wa dini mnayo nafasi ya kipekee kutoa taarifa sahihi, kwa weledi na uwazi, hivyo kupunguza uwepo wa taarifa zisizo za kweli...
  8. T

    JamiiForums Tanzania COVID-19 Imetukuta Watanzania kipindi kibaya sana. Pray for the nation

    Ndugu Watanzania na taifa kwa ujumla, mimi leo nakuja mbele yenu kuwaambia jambo moja zito sana na kiukweli naomba mnielewe. Nawaomba tuliombee taifa letu na viongozi wetu wasasa na wazee pia. Hakuna asiyejua tunapita kipindi gani kama taifa na hakuna asiyejua kwa wakati huu mezani kwa Rais...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Anga la Tanzania lafungwa kwa safari zote za abiria za kimataifa

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga imefuta safari zote za ndege za abiria za kimataifa tangu jana. Ndege za mizigo tu ndio zitaruhusiwa kuingia kwa masharti kuwa wafanyakazi wa ndege hizo watawekwa quarantine kwa gharama zao. At last, wanasiasa wamesikiliza ushauri wetu juu ya Corona pandemic.
  10. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Kibra Fashion designer distributing free face masks

  11. waltham

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hospitali ya kuelea itakayotoa huduma ziwa Victoria yaelekea kukamilika ujenzi

    Mother hospital kijijini butere subcounty, kakamega county Kenya Hamptons floating hospital is a game changer in the Medical industry in the Lake region economic bloc (LREB) and will serve five Lake Victoria Counties. The floating hospital has been designed and is being build by a large...
  12. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuanzia wiki ijayo, Kenya itakuwa na uwezo wa kupima sampuli 35,000 za Korona kwa 24Hrs kutoka sampuli 600

    Hizi ni mashini ambazo zilikua zilinunuliwa kufanya mass rapid testing ya TB na HIV, mashini hizo saba zimewezesha Kemri kuwa na uwezo wa kufanya test 2 Million za HIV ndani ya wiki. Lakini zilikua zinahitaji software mpya ya kuzifanya ziwe zinaweza kupima corona automatickly, software ho mpya...
  13. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya aliyesafiri kutokea Tanzania akutwa na Corona,wengine wanne wathibitishwa.Kifo kimoja chatangazwa

    The number of coronavirus cases in Kenya has risen to 184 after five more patients tested positive for COVID-19. Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe on Thursday said the new cases include three Kenyans and two foreigners. Three of the five patients had traveled from Tanzania while the other...
  14. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania As a sign of giving up the fight, Kenyans should prepare themselves for the worst!

  15. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msafiri kutoka Tanzania apatikana na Corona Kenya. Idadi yafikia 172

    Wameongezeka waathirika 14 huku mmoja akiwa ametokea Tanzanua na kufanya idadi kufikia 172, hadi sasa Kenya imepima watu zaidi ya 5,000 maana kasi ya kupima imeongezeka, mbinu zinatumika kwa umakini kufuata kila aliyekutana au kuhusiana na waathirika. ----- Fourteen more patients have tested...
  16. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta atangaza visa 16 vipya vya Corona, idadi sasa yafika 158 na vifo 6. Afunga Kaunti za Nairobi, Kilifi, Kwale na Mombasa

    Leo tena Kenya imeripoti visa vipya 16 vya maambukizi ya Corona, huku Rais Uhuru Kenyatta akikumbuka shuka wakati kumekucha, ameagiza wakenya wote kuvaa barakoa wakiwa nje za nyumba zao. Jambo ni jambo la kupongezwa kwa kuanza kuchukua hatua za dhati za kukabiliana na tatizo la kuenea kwa...
  17. simplemind

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kufuta malipo ya umeme na maji kuwapa unafuu wananchi

    Pamoja na viongozi kupunguza mishahara kwa hadi asilimia 80, kupunguza malipo ya kodi na kuanzisha foundation za kusaidia ambao watathirika zaidi kiuchumi Uongozi unapendekeza kufuta malipo ya umeme na maji kwa miezi sita.
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Simu za watu zinafuatiliwa kama namna ya kupambana na #covid19

    Ili kupambana #CoronaVirus wakenya wanahofu kupoteza haki yao ya faragha kwa kuwa simu zao zinafuatiliwa ili kupunguza maambukizi ya #Covid_19 Kufuatilia simu huanza mara baada ya mtu kuonekana ana hatari kubwa ya kuwa na maambukizi. Na hufuatiliwa hadi pale itakapothibitika pasi na shaka kuwa...
  19. Nyendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wanne wasimamishwa kazi Kenya

    Hatimaye serikali ya Kenya imeonekana kuchukua hatua dhidi ya mauaji na ukatili unaoripotiwa kuendelezwa na maafisa wa polisi wanapoidhinisha amri ya kutotoka nje ya saa moja usiku hadi saa kumi na moja asubuhi. Idara ya usalama imetangaza kuwa polisi wanne wamesimamishwa kazi kusubiri...
  20. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mandera County ,Governor Ali Roba opens 10 more isolation beds and 4 ICU beds today

    Mandera County Governor, Ali Roba, has unveiled the County’s isolation ward where Coronavirus patients will be treated. Mandera is yet to record any coronavirus case despite the country recording 110 COVID 19 cases as of today.
Back
Top Bottom