kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Kenya waandamana wakitaka chakula

    We want food’: Standoff in Eastleigh as irate residents take to the streets A section of Eastleigh residents demanding for relief food on May 11, 2020 A section of Eastleigh residents are demanding relief food following government restrictions on movement in and out of the ward...
  2. technically

    JamiiForums Tanzania Kenya wanakwepa tunayopitia Tanzania

    Taarifa kutoka Kenya zinadokeza kwamba Uhuru kamtosa William Ruto mbio za urais 2020. Ruto inasemekana sababu kubwa iliyofanya atoswe ni kushiriki mauaji ya watu mwaka 2007 baada ya kaamasisha umma kuwashambulia watu jamii ya kikuyu pia alitoa ushauri wa kutekwa na kakatwa kiganja kwa afsa wa...
  3. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madereva 9 Wakenya waliotokea Tanzania wagunduliwa kuwa na Corona. Visa vyafikia 700

    Jana tumeona ya Zambia, leo ya Wakenya tisa wameingia kutoka Tanzania wote wameathirika, duh! Bongo imekua vipi, hizo sera za kila kitu ruksa hata kusongamana kwenye vilabu kutawaponza sana. ======= Nine Kenyan truck drivers who arrived in the country from Tanzania are among 28 people who...
  4. mimitungi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matokeo ya Lockdown Kenya

  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya COVID19: Madereva wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya

    Madereva wa magari zaidi ya 50 wa Tanzania wamezuiwa kuingia Kenya katika mpaka wa Namanga hadi hapo watakapopimwa kujua kama wana maambukizi ya CoronaVirus Taarifa zaidi inafuata.....
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapata wagonjwa wapya 23 wa CoronaVirus

    Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 672 baada ya wagonjwa wapya 23 kukutwa na virusi hivyo katika kipindi cha saa 24. Wakati wa mkutano na waandishi wa habari siku ya Jumapili katibu msimamizi wa maswala ya Afya nchini Kenya Rashid Aman amesema kuwa idadi ya...
  7. Sinister

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Colonel Zipporah Kioko, the new Kenya Defence Forces spokesperson

    IN SUMMARY Ms Kioko has also been promoted to full colonel, becoming among the few senior military officers in that rank and above. Women troops have continued to make progress in ranks and in being given duties that have traditionally been regarded as for men. Zipporah Kioko is the new Kenya...
  8. Nyendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imethibitisha visa vipya 28 vya Covid-19 na kufanya visa kufikia 649, pia imetangaza kifo 1

    Idadi ya visa vya Corona nchini kenya imefikia 649 baada ya kutangazwa kesi mpya 28. Katika kesi hizo 28, watu 10 ni kutoka Mombasa, 9 kutoka Nairobi, 4 kutoka Migori, 2 kutoka Kajiado na mmoja mmoja kutoka Machakos, Kiambu na Homa Bay. Katika taarifa iliyotolewa Ijumaa na Waziri wa Afya Dr...
  9. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moody wanasema Kenya imefulia

    Hawa majirani au "mashemeji" zetu wanazidi kuporomka tu aisee. Moody’s revises Kenya’s ratings to negative May 8 2020. Kenya’s huge borrowing requirements has pushed down the country’s rating to negative from stable. This negative outlook of B2 by Moody’s rating agency reflects the rising...
  10. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabomu ya machozi yatumika kutawanya waandamanaji

    Hii imetokea leo huko Kenya, mabomu ya machozi nje nje. Watu wameshaanza kuchoka, lakini BBC watajikausha kwa sababu ni aibu inayotokea kwenye koloni lao. Ingetokea Dar kelele zao zingekuwa nyingi hadi tusiweze kulala. ====== Police were forced to lob teargas and use water bowsers to...
  11. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Shirika la Fedha Duniani (IMF) laidhinisha fedha kwa ajili ya Kenya na Uganda kusaidia kupambana na makali ya uchumi

    Shirika la Fedha Duniani leo limeidhinisha fedha kwa ajili ya nchi za Kenya na Uganda. Fedha hizi ni kwa ajili ya kusaidia kupambana na makali ya kiuchumi yaliyosababishwa na janga la Corona. Kenya imepatiwa Dola za Marekani milioni 739 huku Uganda ikipewa Dola milioni 491. ====== The IMF...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapata idhini ya kufanya majaribio ya chanjo ya Corona kwa binadamu

    WANASAYANSI nchini Kenya wameungana na wenzao wa Kimataifa katika juhudi za kutafuta chanjo ya ugonjwa wa Covid-19, kwa kufanyia majaribio dawa tatu. Majaribio ya chanjo itafanyiwa binadamu ili kubaini ikiwa dawa hizo zinaweza kutibu ugonjwa huo. Lakini Je dawa hizo ni zipi? Watafiti wamekuwa...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya jinsi corona inavyoshughulikiwa Kenya na Tanzania

    Kenya wamefanya lock down na hasa katika miji mikubwa kama Nairobi na Mombasa ambayo ndio malango makuu ya Kenya. Sasa wana visa 490 wakati Tanzania ina visa 480. Kenya wanaripoti visa vipya (updates) kila siku, sisi mara moja kwa wiki 2. Kenya wamepima watu 24,784, Tanzania imepima watu 652...
  14. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A night Kajiado's Governor closed the border btn Tanzania and Kenya, this happened

    Road linking 3 counties closed as cracks develop on bridge Hundreds of commuters heading to Bungoma, Kakamega and Busia counties were Monday morning forced to seek alternative routes to their destinations after part of the bridge linking the three counties collapsed. The river has burst its...
  15. pombe kali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Kama una korona karantini lazima, utakaa kwa gharama zako, sh 40000 kwa siku

    Gavana wa kaunti ya Mombasa Joho al-maarufu kama 001 ametangaza amri ya kupima korona nyumba kwa nyumba na wote wanaopatikana na maambukizi wanapelekwa karantini ambapo watajihudumia wenyewe malipo ya ksh2000 ambayo ni sawa na shilingi za kitanzania 42000 kwa siku. Wakizungumza kwa nyakati...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yazuia uuzwaji wa Ng'ombe kutoka Tanzania kutokana na maambukizi ya CoronaVirus kuwa mengi nchini Tanzania

    Gavana wa Kajiado Joseph Lenku amefunga kabisa uuzaji wa Ng’o,mbe katika kaunti hiyo kutoka Tanzania kutokana na visa vya maambukizi mengi zaidi yanayoripotiwa nchini humo. Lenku ametoa amri hiyo baada ya kufanya ziara eneo la Loitoktok ambapo alikuwa anasambaza barakoa kwa wenyeji . “No...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Visa vya #coronavirus vyafika 465, na vifo 24

    Kenya imetangaza visa vuipya 30 vya #COVID19 na kufanya kuwa na jumla ya watu 365 waliothibitika kuwa na #CoronaVirus. Visa hivii vimepatikana kati ya sampuli 883 zilizopimwa saa 24 zilizopita Wizara imetangaza vifo vya watu wawili zaidi na kufanya vifo kufikia 24. Watu 15 wakiripotiwa kupona...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Idadi ya waliokutwa na Covid19 yafikia 435, vifo vyafika 22

    Wizara ya Afya nchini Kenya imeripoti visa vipya 24, leo Mei 2, na kufanya idadi kuwa 435. Watu hao wamepatikana katika sampuli 1,195 zilizopimwa saa 24 zilizopita Mmoja kati ya hao walioripotiwa ametokea Kuria Magharibi na ana historia ya kutembelea Tanzania. Pia Wizara imeripoti kifo cha mtu...
  19. seedfarm

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Dkt. Augustine Philip Mahiga kijijini kwake Tosamaganga mkoani Iringa. Mkewe ashindwa kuhudhuria baada ya kuwa Kenya akiuguza mtoto

    Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga leo atamaliza safari yake duniani kwa kuzikwa kijijini kwake Tosamaganga. Viongozi mbalimbali wa kitaifa wakiongozwa na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu watamsindikiza katika safari yake hii ya mwisho. Aliyekuwa waziri wa Katiba na...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu 15 zaidi wakutwa na #CoronaVirus nchini Kenya, maambukizi yafikia 411

    Waliokutwa na virusi hivyo ni watu wa umri wa miaka 2 hadi 79, wamepatikana katika sampuli 1434 zilizopimwa kwa masaa 24 yaliyopita Pia idadi ya waliokufa yafikia 21 baada ya watu wengine 4 kufariki dunia. Hadi hivi sasa Kauti 14 kati ya 47 zimethibitisha kuwa na maambukizi huku asilimia 91 ya...
Back
Top Bottom