kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya classifies Namanga border town with Tanzania as COVID-19 high-risk area

    FILE PHOTO: Children walk past a signage at the border crossing point between Kenya and Tanzania in Namanga, Tanzania. REUTERS/Njeri Mwangi/File Photo The Kenyan government on Wednesday classified Namanga, the border town with Tanzania, as a COVID-19 high-risk area following a surge in numbers...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kenya wameruhusiwa na nani kutangaza maambukizi mapya ya madereva wa Tanzania?

    Nimeona tangu juzi kupitia luninga ya ITV naibu waziri wa afya wa Kenya akitangaza maambukizi mapya ya Corona kwa raia wa Tanzania ambao ni madereva. Msingi wa swali langu ni kwanini Kenya inawatangaza ilhali haiwatibu? Kwa mfano leo wametangaza kuwapima madereva nane ambao wamekutwa na Corona...
  3. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madereva wengine nane wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya baada ya kugunduliwa kuwa na Corona

    Jana ilikua madereva 23 wa Tanzania, leo ni nane. Halafu ukiwaza wote hawa kabla kufika mpakani na Kenya huko walikotoka wanatema mbegu balaa, natumai kila wanaorudishwa kwao hawaingii mtaani, wanajifungia au kufungiwa sehemu. Sijui lini ndugu zetu wa Kusini watelewa kwamba hiki kitu kipo na...
  4. G Sam

    JamiiForums Tanzania Namanga: Madereva 23 toka Tanzania wazuiliwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na COVID-19

    Wewe Waziri wa Afya kweli ni mwanamke unayejua uchungu wa mtoto? Kwenye janga hili la Corona unafuata muongozo upi ambao unaelekea kuiua Tanzania? Tumechoshwa na habari za aina hii kila siku. Pia nikueleze kuwa tunachoshwa na madhila tunayoyaona huku mitaani. Hatujazoea kuishi na maiti sisi...
  5. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Deaths continue to rise as COVID-19 cases hit 715 in Kenya

    Kenya on Tuesday recorded 15 new cases of COVID-19, raising the country's total number to 715, Health CAS Rashid Aman has said. However, the number of fatalities in the country has risen now reaching 36 after three more fatalities were recorded in Mombasa. The CAS confirmed two died at home...
  6. mimitungi

    JamiiForums Tanzania Kenya Kufanya Majaribio ya dawa mbili kutoka USA kwa ajili ya Corona

  7. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Kenya waandamana wakitaka chakula

    We want food’: Standoff in Eastleigh as irate residents take to the streets A section of Eastleigh residents demanding for relief food on May 11, 2020 A section of Eastleigh residents are demanding relief food following government restrictions on movement in and out of the ward...
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Kenya wanakwepa tunayopitia Tanzania

    Taarifa kutoka Kenya zinadokeza kwamba Uhuru kamtosa William Ruto mbio za urais 2020. Ruto inasemekana sababu kubwa iliyofanya atoswe ni kushiriki mauaji ya watu mwaka 2007 baada ya kaamasisha umma kuwashambulia watu jamii ya kikuyu pia alitoa ushauri wa kutekwa na kakatwa kiganja kwa afsa wa...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madereva 9 Wakenya waliotokea Tanzania wagunduliwa kuwa na Corona. Visa vyafikia 700

    Jana tumeona ya Zambia, leo ya Wakenya tisa wameingia kutoka Tanzania wote wameathirika, duh! Bongo imekua vipi, hizo sera za kila kitu ruksa hata kusongamana kwenye vilabu kutawaponza sana. ======= Nine Kenyan truck drivers who arrived in the country from Tanzania are among 28 people who...
  10. mimitungi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matokeo ya Lockdown Kenya

  11. Influenza

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya COVID19: Madereva wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya

    Madereva wa magari zaidi ya 50 wa Tanzania wamezuiwa kuingia Kenya katika mpaka wa Namanga hadi hapo watakapopimwa kujua kama wana maambukizi ya CoronaVirus Taarifa zaidi inafuata.....
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapata wagonjwa wapya 23 wa CoronaVirus

    Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 672 baada ya wagonjwa wapya 23 kukutwa na virusi hivyo katika kipindi cha saa 24. Wakati wa mkutano na waandishi wa habari siku ya Jumapili katibu msimamizi wa maswala ya Afya nchini Kenya Rashid Aman amesema kuwa idadi ya...
  13. Sinister

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Colonel Zipporah Kioko, the new Kenya Defence Forces spokesperson

    IN SUMMARY Ms Kioko has also been promoted to full colonel, becoming among the few senior military officers in that rank and above. Women troops have continued to make progress in ranks and in being given duties that have traditionally been regarded as for men. Zipporah Kioko is the new Kenya...
  14. Nyendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imethibitisha visa vipya 28 vya Covid-19 na kufanya visa kufikia 649, pia imetangaza kifo 1

    Idadi ya visa vya Corona nchini kenya imefikia 649 baada ya kutangazwa kesi mpya 28. Katika kesi hizo 28, watu 10 ni kutoka Mombasa, 9 kutoka Nairobi, 4 kutoka Migori, 2 kutoka Kajiado na mmoja mmoja kutoka Machakos, Kiambu na Homa Bay. Katika taarifa iliyotolewa Ijumaa na Waziri wa Afya Dr...
  15. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moody wanasema Kenya imefulia

    Hawa majirani au "mashemeji" zetu wanazidi kuporomka tu aisee. Moody’s revises Kenya’s ratings to negative May 8 2020. Kenya’s huge borrowing requirements has pushed down the country’s rating to negative from stable. This negative outlook of B2 by Moody’s rating agency reflects the rising...
  16. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabomu ya machozi yatumika kutawanya waandamanaji

    Hii imetokea leo huko Kenya, mabomu ya machozi nje nje. Watu wameshaanza kuchoka, lakini BBC watajikausha kwa sababu ni aibu inayotokea kwenye koloni lao. Ingetokea Dar kelele zao zingekuwa nyingi hadi tusiweze kulala. ====== Police were forced to lob teargas and use water bowsers to...
  17. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Shirika la Fedha Duniani (IMF) laidhinisha fedha kwa ajili ya Kenya na Uganda kusaidia kupambana na makali ya uchumi

    Shirika la Fedha Duniani leo limeidhinisha fedha kwa ajili ya nchi za Kenya na Uganda. Fedha hizi ni kwa ajili ya kusaidia kupambana na makali ya kiuchumi yaliyosababishwa na janga la Corona. Kenya imepatiwa Dola za Marekani milioni 739 huku Uganda ikipewa Dola milioni 491. ====== The IMF...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapata idhini ya kufanya majaribio ya chanjo ya Corona kwa binadamu

    WANASAYANSI nchini Kenya wameungana na wenzao wa Kimataifa katika juhudi za kutafuta chanjo ya ugonjwa wa Covid-19, kwa kufanyia majaribio dawa tatu. Majaribio ya chanjo itafanyiwa binadamu ili kubaini ikiwa dawa hizo zinaweza kutibu ugonjwa huo. Lakini Je dawa hizo ni zipi? Watafiti wamekuwa...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya jinsi corona inavyoshughulikiwa Kenya na Tanzania

    Kenya wamefanya lock down na hasa katika miji mikubwa kama Nairobi na Mombasa ambayo ndio malango makuu ya Kenya. Sasa wana visa 490 wakati Tanzania ina visa 480. Kenya wanaripoti visa vipya (updates) kila siku, sisi mara moja kwa wiki 2. Kenya wamepima watu 24,784, Tanzania imepima watu 652...
  20. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A night Kajiado's Governor closed the border btn Tanzania and Kenya, this happened

    Road linking 3 counties closed as cracks develop on bridge Hundreds of commuters heading to Bungoma, Kakamega and Busia counties were Monday morning forced to seek alternative routes to their destinations after part of the bridge linking the three counties collapsed. The river has burst its...
Back
Top Bottom