kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lockdown yazidi kuleta hasira Kenya

    Joto la jiwe linazidi kuwa moto huko kwa manyang'au hadi uvumilivu unaanza kuwashinda. Yaani wanasiasa wanawala jamaa hivi hivi huku hali inazidi kuwa mbaya kwa vijana wasiojua mbele wala nyuma. Eti ni kwa sababu ya vita dhidi ya corona.
  2. Cannabis

    JamiiForums Tanzania India : Taharuki baada ya Nyani kuiba sampuli za damu za waonjwa wa COVID19 kuzitafuna na kukimbia

    Hali ya taharuki imetokea katika mji wa Meerut baada ya kundi la nyani kumvamia mfanyakazi wa maabara aliyekuwa amebeba sampuli za damu za wagonjwa wa COVID-19. Nyani hao walikimbia baada ya kuiba sampuli tatu na kuzitafuna wakiwa juu ya mti. Tukio hili lilirekodiwa na camera ikimuonyesha...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Maambukizi ya Corona yafikia 1745

    Idadi ya maambukizi ya #COVID19 imeongezeka baada ya maambukizi 127 mapya kuthibitika na kufanya nchi hiyo kuwa na jumla ya maambukizi 1,745. Idadi hiyo imekuja baada ya kupima sampuli 3,831 Wizara ya Afya imesema pia watu 4 zaidi wamefariki na kufanya idadi ya vif kufikia 62. Vifo vinne...
  4. guwe_la_manga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii mishikaki huuzwa shilingi ngapi huko Kenya?

    Ningependa kuja hapo Namanga upande wa Kenya ili niiuze hii mishikaki. Lengo ni kupata pesa za Kikenya ili kukuza kipato changu. As we speak 1 Kenyan bob=21.6 Tshs. Natanguliza shukrani.
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkewe Rais wa Burundi aletwa Kenya kutibiwa Corona

    Hawa Burundi nao pia walijitutumua kwa kujifanya wakaidi na kugoma kufunga chochote, wakajisahau wao ni kainchi kadogo kenye watu wachache, hawana jeuri ya kustahimili vifo vingi kama maskini wenzao wenye idadi kubwa ya watu wa kupoteza na maisha bado yaendelee. Sasa kirusi kimegonga ikulu na...
  6. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya barred ethanol from Tanzania

    ===== KRA intercepts ethanol worth Sh6m at Kenya-Tanzania border (KRA) has intercepted 20,000 litres of ethanol concealed under a bag of potatoes at the Kenya-Tanzania border in Namanga. The Kenya Revenue Authority (KRA) has intercepted 20,000 litres of ethanol concealed under a bag of...
  7. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makali ya Corona huko Kenya

    Kazi takribani millioni nne kupotea. Ni kilio na kusaga meno. Kwisha kazi yao, Kushobokea wazungu kunazidi kuwaponza. ===== Makali ya janga la COVID -19 yanazidi kushuhudiwa nchini huku wafanyikazi wengi wakipoteza ajira kila uchao. Hoteli ya Fairmont ndiyo kampuni ya hivi punde kutangaza...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Oxford kufanya majaribio ya chanjo ya COVID-19 Kenya

    Kulinagana na taarifa zilzitolewa ni kwamba chuo kikuu cha Oxford kipo mbioni kufaanikisha chanjo dhidi ya virusi vya corona na kutaraji kuifanyia majaribio nchini Kenya kwa watu wazima. Taarifa hizo zinaendelea kufahamisha kuwa chanjo hiyo itatolewa kwa watu wenye umri wa zaidi ya miaka...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Haiwezakani siye tusiwe na korona wakati Kenya wana visa zaidi ya 1600, jihadhari

    Kenya inaendelea kupima na kupambana na korona wakati siye tunajidanganya imekwisha. Leo hii wamegundua visa 147, hii inaonyesha Korona bado ipo na inaongezeka badala ya kupungua. Najua wanaopenda kusikia habari nzuri wakati wa majanga kujiriwadha, na kama wenye akili ya kutuliza wajinga kwa...
  10. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yatangaza visa vipya 147, jumla ya maambukizi yafikia 1,618

    Waziri wa Afya ametangaza visa vipya 147 vilivyothibitika baada ya sampuli 2,831 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita. Maambukizi mapya yamerekodiwa kutoka kaunti 11 ambapo Nairobi ina visa (90), Mombasa (41), Kiambu (3), Nyeri (2) na Uasin Gishu (2). Vingine vimetokea Kajiado, Kilifi, Embu, Homa...
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna nchi zipo vizuri ila huwa hawapigi kelele sana kama Majirani zetu

    Abidjan ni mji mkuu wa nchi ya Ivory Coast na pia mji kubwa zaidi nchini humo. Abidjan is also known as the Paris of Africa , Abidjanis the biggest and most important city of Cote d'Ivoire. With a population of around 4,000,000 people, it is the second largest city in West Africa after Lagos and...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Benki Kuu Kenya: 75% ya biashara ndogo na za kati zitafungwa hadi mwezi Juni

    BENKI KUU KENYA YASEMA 75% YA BIASHARA ZA NDOGO NA KATI ZITAKUFA Gavana wa Benki Kuu ya Kenya Zaidi ya 75% ya biashara ndogo na biashara za kati zipo hatarini kufungwa kutokana na ukosefu wa pesa Hii ni kutokana na shughuli kuzorota kutokana na kuwa na tishio la janga la #CoronaVirus Ukuaji...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Amchinja mjomba wake na kumpelekea kichwa shangazi yake

    Polisi wa Mwatate kaunti ya Taita Taveta wanamshikilia mtu mmoja anayetuhumiwa kumkata kichwa mjomba wake Kijana huyo wa miaka 20 ameripotiwa kumchinja mjomba Mei 27, wake na kupeleka kichwa kwa mke wa mjomba wake huyo, ambaye alikimbia baada ya kukiona Sababu za kufanya tukio hilo...
  14. kavulata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya tumieni takwimu kwenye lockdown ya CORONA

    COVID-19 imeua watu 55 Kenya tangu Mwezi March 2020 hadi May 2020. Kabla ya kuendelea na lockdown ya CORONA toweni takwimu ya vifo kutokana na magonjwa mengine Kama Malaria, TB, HIV, ajali za bodaboda katika kipindi Cha kuanzia March- May 2020 same period ili kuona Ni ugonjwa gani umeua wakenya...
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kenya: Watanzania watatu wakamatwa na kuwekwa Karantini, mmoja akimbia. Wadaiwa kuingia nchini humo kinyemela

    Mtanzania mmoja amekimbia na wenzake watatu wamekamatwa na kuwekwa Karantini baada ya kuingia katika Kaunti ya Homa Bay kinyemela siku ya Jumatatu. Aliyekimbia alijifanya anaongea na simu wakati wakihojiwa na Mkuu wa eneo la Kagan Kusini, Sospeter Oyugi katika Kituo cha biashara huko Rangwe...
  16. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaendelea kuzuia Watanzania kuingia Taveta na kufanya biashara

    Wafanyabiashara katika mpaka wa Holili uliopo Wilaya ya Rombo wamelalamikia kitendo cha wao kunyimwa kuingia nchini Kenya kufanya baishara na kutakiwa kuagiza mizigo kwa njia ya simu huku wao wakiingia nchini na kufanyabiashara bila kubughudhiwa. ======= nomasana, sam999, NairobiWalker...
  17. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Kenya Kuna Wabunifu: Angalia Barakoa Zao

    Corona imeingia Kenya na kuleta opportunities mpya kwa wanchi; angalia barakoa walizotoa
  18. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Africa Is Talking , Africa's Largest Unified Communication Platform

    Business APIs in Africa are getting a boost from global venture capital thanks to a new $8.6 million round for Africa’s Talking—a Kenyan based enterprise software company. The new financing was led by IFC Venture Capital, with participation from Orange Digital Ventures and the investor that’s...
  19. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Gumzo Africa's First Video Conferencing App

    Gaming Startup Usiku Games has launched what they describe as the first “made in Africa for Africa” video conferencing system. Dubbed Gumzo, which is Kiswahili for chatting, the new platform promises better quality calls with unlimited attendees at affordable prices. Currently, the company says...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya mtoto auzwa kwa Tsh. 65,000

    Binti wa miaka 17, wa kidato cha pili mkazi wa Butere Kaunti ya Kakamega, amelazimika kumuuza mwanaye mara baada ya kujifungua, baada ya kufukuzwa na baba yake mlezi kwa kuwa na ujauzito huo. Taarifa zinasema binti huyo alifukuzwa kwa kuwa alipewa mimba na nduguye wa karibu hivyo mtoto ambaye...
Back
Top Bottom