kelele

  1. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Watch this: Hapa ingekua kinyume tungesikia kelele za ubaguzi

  2. Lavit

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

    Muda mchache uliopita kavamiwa nyumbani kwake, polisi hawajasema wametoka kituo gani na haijajulikana anapelekwa wapi. Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi --- Kupitia mtandao...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tusipigiane kelele tusubirie Jumapili

    Wengine hatutaki mikelele ya kina Sheikh Yahya Wa mitandaoni Juu ya nani atashinda kwenye Derby ya Kariakoo. Tusubiri siku ifike tuone nani atakuwa mshindi.
  4. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu anapenda kelele?

    Nimesoma uzi mmoja wa Tycoon mmoja hapa Jf, anadai utafiti wake wa miaka 22 unaonesha Mungu wa walokole ndio ana nguvu kuliko Mungu anaeabudiwa na Madhehebu mengine. Nimejaribu kuchunguza Mifumo wanayoitumia walokole wengi 100% katika ibada zao, maombi kiujumla huwa zimejaa kelele nyingi sana...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania Baada ya suala la bandari kupita huku kinachofanyika ni kelele tu hakuna la kubadirika

    UTANGULIZI rais Samia ameshasema yeye atajibu kwa vitendo na pia Kuna fununu kuwa hata wasaidizi wake wameambiwa wasijibu maana hakuna kurudi nyuma tena KIHISTORIA Hakuna jambo liliwahi kushindikina kimvuatano Kati ya CCM na upinzani na upinzani ukashinda kama lipo litaje ? Hakuna taasisi...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mwenye dada hakosi shemeji, IGA ni posa tu. Je, tuendelee kupiga kelele kuzozania posa, au tutulie tupange Mahari ya maana kwenye HGA?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye swali, hoja, kisha majibu utatoa wewe msomaji mwenyewe. Kuna msemo wa Kiswahili usemao "Mwenye Dada Hakosi Shemeji!". Hii IGA iliyoridhiwa na Bunge, ni barua tuu ya posa!, jee tuendelee...
  7. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Ligi ya mpira ikiisha Watanzania huwa wapo serious na siasa. Ligi ikianza kelele za Simba na Yanga zitatumika kuwaleta DP World rasmi

    Kwa sasa Ligi imeisha kumetulia sana, habari za Dpworld zinakita kila kona ndio main talk ya nchi mithiri ya panya anaezurura kila kona pale paka akienda nje kupumzika kidogo. Hili suala limewekewa pause, linakuja kuplay ligi ikianza hasa kama Yanga na Simba zitakutana hapo ngao ya jamii. Ndio...
  8. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania DP World na kelele zinazoendelea, napata tabu sana kuamini iwapo Rais yupo ama laa! Na kama yupo mbona hatoi mwelekeo? Ona na huu udini!!

    Sauti ya Rais ni faraja, Rais, kwa sauti yake, ni dira ya nchi na wananchi Lakini pia, yeye ndiye kocha mkuu, kunapotokea wasaidizi wake wameelemewa uwanjani, yeye hutokea kubadili upepo wa mchezo Sasa yapata mwezi na ushee nchi ipo kwenye mzozo wa mkataba wa bandari! Kila upande...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Unpopular Opinion: Kibegi cha jezi za Simba kimefunika kelele zote za Yanga kuanzia Wiki ya Mwananchi hadi Usajili wao

    Simba Sports mwaka huu wamekuja tofauti. Jezi zao zinazinduliwa kileleni kwenye Mlima Kilimanjaro ijumaa wiki hii. Sasa jezi hizo zimewekwa kwenye kibegi na amepewa Ahmed Ally kusafiri nacho kwa ndege kutoka Dar kwenda Kilimanjaro. Kila anapopita vibe ni kubwa na watu wanaomba wapige nae picha...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi

    Balozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari katika Hoteli ya Regency Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023 kuhusu hati ya makubaliano yaliyoingiwa kati ya Tanzania na DP World. Soma hapa hotuba nzima ======= Dkt. Slaa: Hadi kufikia hatua ya azimio hili kuridhiwa na Bunge, ikumbukwe...
  11. Upekuzi101

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu hawapigi kelele bure

    Kelele kelele "Viongozi wa chama cha ANC wametishia kwenda mahakamani wakiishutumu serikali kuwapa Dubai tenda ya usimamizi wa bandari kinyume cha sheria kwasababu wananchi hawakuhusishwa. Wakisema kwamba, barua iliandikwa na kutiwa saini na Waziri wa Fedha tarehe 30/3, barua yenye maelezo...
  12. Huihui2

    JamiiForums Tanzania NEMC mko wapi wakati Mwamposa anatupigia kelele usiku kucha?

    Usiku wa kuamkia tarehe Julai 8, 2023 mpaka muda naandika hii thread Mwamposa anafoka tu kutokea pale Kawe anapofanya maujinga yake. Ni wazi NEMC haina meno kwa kuwa inaweza kuzifungia baa tu za Kitambaa Cheupe au Juliana na Wavuvi Camp lakini huyu wameacha atunyime usingizi wakazi wa Kawe...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu sakata la mkataba wa bandari, safari hii lazima kelele za chura zimzuie mtu kuteka maji

    Natoa woto kwa watanzania wote kwa ujumla, safari hii watanzania tushikamane kupiga makelele kila kona hadi yafanyike mageuzi makubwa kuhusu mtazamo na mawazo ya viongozi wetu kuhusiana na mkataba mbovu sana wa bandari za Tanzania! Kwa ujumla wetu safari hii "kelele za chura lazima zimzuie mtu...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali mmeshindwa Kudhibiti haya Makanisa ya Kilokole yanayokesha Kutupigia Kelele Usiku Kucha ili Sisi Wanaotukera tuchukue Maamuzi?

    Haiwezekani Great Thinker wa JamiiForums GENTAMYCINE ( alias 'East African Brain ) nataka Kulala nasikia tu Mikelele ya....Ooooooo Rabashaka Raboshoka.....Ooooooo mtendeee Bwana Yule na Huyu........Ooooooo Rabota Rushakakaka.........Ooooooo Mfinyange Mfinyange.......Ooooooo zuia Usihgizi Wao...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ndio DP World, kwa Kelele Hizi bado utakuwa na moyo wa kuwekeza?

    DP world wakiendelea na huu Mkataba na uwekezaji wake basi nitajua kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia. Mwekezaji lazima awe na wasi wasi pale wenyeji wanapoonekana hawajafurahiswa na uwekezaji wako. Je watapata ushirikiano? Ningekuwa mimi ndio DP world huu mradi ningeupiga chini tu. Then...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania DP World: Hizi Kelele, Kulalamika, Shutuma, na Lawama ni za Kweli au ni Ujinga Tu? Rais Samia Anastahili Kulaumiwa au Kupongezwa?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo. Kama kawaida yangu, kila nipotapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zinazozungumzia jambo lolote lenye maslahi kwa taifa, liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii, na hufanywa kwa mtindo wa maswali fikirishi, kisha...
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Baa za Dar hazijui kupiga kelele, MWANZA Kuna baa inapiga mziki unafika kata 5.

    Chini ya chuo Cha TIA Kuna chimbo linaitwa Green View linapiga live band usiku mzima. Mziki wake ukiwa kata ya Mahina, Mhandu, Mecco, Buzuruga na maeneo mengine ya karibu usiku mzima Ni mwendo wa live band mwanzo mwisho. Na wamiliki wanasema mziki wao wamefungulia asilimia 1 sijui hali itakuwaje...
  18. polokwane

    JamiiForums Tanzania Wengi wanaopiga kelele kuhusu bandari ni wapitisha mizigo kimagendo bandarini

    Baada ya kufanya utafiti mdogo imebainika kuwa wengi wa wapiga kelele kuhusu bandari ni wale walio zoea kupitisha mizigo kimagendo yaani kupitisha mizigo kwa kukwepa kulipa malipo halali. Lakini wengine ni lile kundi ambalo lina danganya nyaraka mfano mtu kaingiza kontena 100 akidai kwamba...
  19. covid 19

    JamiiForums Tanzania Tuchuguzeni kwa makini hizi kelele zinazopigwa kuhusu Ubinafsishaji Bandari, mbona kama kuna Vigogo wawili wanapigania Maslahi yao binafsi?

    Hivi, 1. Kama bandari inabinafsishwa gati na 5 hadi 8 na kuachwa gati namba 9 hadi 11 kwanini kelele ziwe nyingi kiasi kwamba ni bandari yote inauzwa? 2. Kama huyo anayekuja anakuja kuboresha miundominu na utoaji huduma sasa mbona wafanyabiashara ndio wanapiga kelele hawataki kabisa kwani si...
  20. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mvua zinanyesha nchi nzima, mavuno kwa wingi yanavunwa na kelele za "Bashe Funga Mipaka" zimekwisha

    Kuanzia Bashe amekuwa Waziri wa Kilimo msimamo wake ilikuwa ni kutofunga mipaka ili wakulima wapate bei nzuri ya mazao yao. Humu JF kuliandikwa nyuzi nyingi za kulaani kutofunga mipaka na kutabiri njaa kutokea Tanzania. Kati ya Machi na Mei mikoa mingi sana wamevuna na bei zimeshuka chini. Na...
Back
Top Bottom