kelele

  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mnakomaa kwa kelele kibao kwa kiofisi kama hiki, jengeni jengo la maana kama wenzenu ACT Wazalendo

    Kelele kibao kwa kiofisi kama hiki?
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kelele za CHADEMA huko Twitter na mitandao ya kijamii mingine unaweza kudhani wanakubalika. Uraiani hamna lolote

    Na hiki ndio huwa kinawafanya wanaangukia pua, puuu. Uraiani hawakubaliki kabisa maana ndio kwenye uhalisia. Lakini wao wanakomaa kueneza propaganda njaa kwenye mitandao ya kijamii. Kura zikijakupigwa kiuhalisia wanabaki kusema wameibiwa.
  3. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Magufuli Kuna kelele sana

    Sijui ni ubunifu au ni kitu Gani. Stand ya Mabasi ya Magufuli ni stand ukiwemo huwezi mpigia mtu simu akakuelewa..yaani ni makelele ya spika na matangazo mwanzo mwisho, Kariakoo Kuna uafadhali. Najiuliza kwani uongozi wa hii stand hawalioni hili? Kama ni wao ndiyo Wana regulate haya matangazo...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mtu ameshawai kusikia kelele za panya anatembea juu ya gypsum board?

    Habari wadau, Kuna hoja nimeisikia kwamba panya yeyote hawezi kutembea wala kukimbia juu ya gypsum board. Anateleza. Je, mtoa hoja anasema ukweli ama anadangaya? Kwa watu mnaoishi kwenye mazingira yenye gypsum board Je, mmewahi kusikia panya juu ya hizo board anakimbia ama anatembea kama...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaotupigia Kelele kuhusu Chama nina Maswali yangu haya Kwenu

    1. Hivi Simba SC haijawahi Kufungwa Chama akiwemo? 2. Hivi Simba SC haijawahi kutoka Sare Chama akiwemo? 3. Hivi Simba SC ilipofika hatua ya Robo Fainali ya CAFCL mwaka Chama alikuwepo? Na kupitia hili la Chama GENTAMYCINE nimegundua kuwa 85% ya mnaolishadadia nje ya kuwa ni Wapuuzi na...
  6. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Gari langu linapiga kelele nikiingiza gia

    Hili ndo gari langu la Kwanza kununua, lakini nikiri kusema nilibahatika muuzaji alikua na njaa sana Ni land cruiser prado sx5.0 turbo nilipata Kwa million 7.5 Body ni station wagon Sasa kwanzia jumapili gia zinaingia Kwa tabu sana hasa namba Moja na reverse na niligundua Hilo pindi nimetoka...
  7. luangalila

    JamiiForums Tanzania Lounge zilizopo Moro mjini zinapiga sana kelele (Noise Pollution)

    Kuna mwaka nikiwah sikia Nemc walitoa tamko la swala la kumbi za starehe na mabar zifunge sound proof (vipuguza sauti na mitetemo) ktk Hizi kumbi ili kupunguza kelele ... Sijui walifikia wapi ? Aah nipo hapa Moro town kuna lounge inaitwa Star park inapiga mziki mkubwa mnooo yaan ni kelele tupu...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru, If you are a man of Principles, Hata Wakushukie vipi Stand Firm!, Don't Apologize!, Utaheshimika Zaidi na Zaidi!

    Wananodi, Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii, CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kama moto wa kifuu, kwa kumshukia kama mwewe, huku wengine wakimbeza, kumkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!. Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kama ujenzi wa barabara ya Morogoro - Dar hauzidi bilioni 300, sioni sababu ya kufanya Private Public partnership, kisiasa italeta kelele

    Morogoro Dsm ni kilometa hazizidi 200, hata kama kilometa moja ni bilioni moja, haizidi bilioni 200, hivi kama nchi tunakosa fedha hizi? Na asilimia kubwa ya eneo Hilo fidia ni kidogo. Tiweke mpango wa miaka minne Kila mwaka tutenge bilioni 100, tutaepuka political issues na pia inawezekana...
  10. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Only in Tanzania, tuko tayari kupiga kelele Bar zikeshe ila sio huduma nyingine.....

    Kuna mambo yanafikirisha sana. Watanzania (baadhi) wako tayari hata kuandamana kugomea Bar zisifungwe ila sio huduma nyingine za msingi. Leo hii eti mabenki yote yanafungwa jioni kuanzia saa Tisa na nusu, only NMB na CRDB pengine na NBC kwa pale Mlimani City na baadhi ya maeneo. Kwahio kama...
  11. Cvez

    JamiiForums Tanzania Hizi kelele ni kwa udhamini wa Waarabu wa Mchongo

    Dah! Wale Waarabu wamejua kutupa tabu hii wiki na miaka mingine mingi. Imagine kwa haya matokeo tulikua tunaambiwa Uto mechi za ugenini wanashinda. Imagine leo na kuendelea jinsi hali itakavyokua ni huzuni sana tutaambiwa haikuwahi kufungwa kabisa ugenini. Sijawahi ona waarabu hovyo kama...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bunge laitaka Serikali kuhakikisha wanafunzi wenye sifa na wamekosa mikopo kupokelewa Vyuoni haraka

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ametoa agizo hilo Leo Novemba 1, 2022 baada ya kuwahoji Wabunge ambao kwa pamoja wamepitisha Azimio la kuitaka Serikali ihakikishe Wanafunzi wenye vigezo wanaendelea na Masomo. Hatua hiyo inakuja baada ya kuwepo taarifa za Wanafunzi wenye vigezo vya kupata...
  13. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kanisa limejengwa katikati ya madarasa?

    Mimi leo nimesali Pugu Catholich church na ni parokia. Kuna kitu kimenishtua kukuta kanisa liko katikati ya madarasa ambapo kelele na fujo zote wanafunzi wanazipata moja kwa moja. Hivi ilikuwaje Serikali ikakubali kanisa lijengwe katikati ya madarasa tena ni parokia. Je, na makanisa mengine...
  14. T

    JamiiForums Tanzania UONGOZI WA EFM: Huyu mtangazaji wenu mnazi wa Yanga, Twalib Omar aka Muwa, sio proffessional na anapiga kelele tu kuutetea Uyanga wake

    Amani iwe nanyi Moja kwa moja nauendea uongozi wa EFM radio juu ya mtangazaji wao wa kipindi cha Esports anayefahamika kwa jina la Twalib Omar aka Muwa, kwa muda mrefu nimekuwa nikisikiliza kipindi chenu cha mchezo cha asubuhi, huyu mtangazaji wenu anashindwa kusimama katika professionalism ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Eddo Kumwembe: Phiri alivyotuondolea kelele za malalamiko kwa Matola

    JINSI maisha yanavyokwenda kasi. Ghafla jina la Suleiman Matola limeondoka katika midomo ya mashabiki wa Simba. Wiki chache zilizopita walikuwa wanaimba aondoke. Sasa hivi wamekaa kimya. Hii ndio tofauti ya Wazungu na sisi. Wazungu hawana unafiki. Kwa mfano kuna kundi kubwa la mashabiki wa...
  16. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Hizi kelele kelele za Henock Inonga imeitwa kwajili ya World cup 2022 au mechi mechi za kirafiki tu

    Kuuliza si ujinga
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Google inajaribu kuweka mfumo wa kuchuja kelele kwenye calls

    Katika Android 13, kuna kipengele kipya kinaitwa “Clear Calling”. Kipengele hicho kinawezesha kuchuja na kuondoa kelele ambazo zinasikika kwenye calls. Mtumiaji wa Android 13 akiiwasha option hiyo, inaonekana inachuja kelele za background na inasaidia kama mtumiaji akiwa anaongea na simu katika...
  18. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kuimarisha vitengo vya habari Serikalini, kelele za tozo ni matokeo ya wananchi kutopata taarifa sahihi

    Taarifa sahihi ndio msingi wa umoja na mshikamano, kama Taifa tunahitaji kila Mtanzania apate taarifa sahihi kutoka katika vyanzo sahihi. Serikalini katika kila wizara, halmashauri au taasisi kuna kitengo cha habari kwa ajili ya kutoa taarifa ya utekelezaji wa mambo kwenye taasisi hizo au...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kelele za Aweso kwenye Maji hazina uhalisia Morogoro

    Hali ya upatikanaji wa maji safi Morogoro mjini na viunga vyake imeendelea kuzorota siku hadi siku kwa zaidi ya miaka miwili sasa licha ya sifa kama si misifa tele kwa wanaoongoza sekta hii nyeti.
  20. C

    JamiiForums Tanzania Je, kelele za Tozo za Benki zitazima mapema kama kelele za Tozo za miamala?

    Lawama na kelele zinazoendelea kuhusiana na uanzishwaji wa tozo za miamala na za kifedha sasa zimekuwa kama kelele za chura akiwa kwenye maji kwani hayamzuii tembo kuyanywa maji apatapo kiu. Lawama na malalamiko mengi yameanza mwaka 2021 baada ya serikali kuanzishwa kwa tozo mbalimbali kwa...
Back
Top Bottom