Habari wanajukwaa.
Naomba Kama unafanya kazi NSSF Geita njoo PM Kuna kitu ningependa nikuulize, au Kama unamfahamu anayefanya kazi hapo naomba uniunganishe naye.
Natanguliza shukrani.
Habari humu ndani kijana anafuta nafasi ya kazi. Amemaliza CBE DODOMA 2021. Ana Diploma Bissness Administration. Ni kijana mwaminifu na muadilifu sana. Mawasiliano. +255761972755,+255612246050. Tumsaidie apate ajira ndugu zanguni
Ndugu zangu poleni na majukumu.
kijana wenu nakuja mbele yenu kutafuta kazi au kibarua ili kuweza kumudi garama za maisha .
kwenye maswala ya ujenzi nimebobea hasa upande wa ROOFING KUDHIBITI MAJI KWA KUTUMIA ROOFING FELT.
Nipo tayari kujifunza zaidi
naombeni kazi ndugu zangu
Nahitaji kuweka tv ukutani ,sitaki nyaya zinging inie Sasa nimejaribu kufatilia naona vitu tofauti naomba kunichagulia ipi Bora kati ya aina izo mbili za uwekaji TV ukutani? Kuweka ubao tv mbele au tv ifunike ubao
Wajenzi na wazee wa fursa. Ramani hii hapa.. Simple design but very unique
Hii joint inafaa nje kidogo ya mji mahali palipotulia na penye parking ya kutosha
Swali la Kizushi: Je kuna haja ya kujenga gesti hausi pembeni kidogo!?😂
Watanzania wengi maisha yetu hatuishi kwa kujiajili wengi tumeajiliwa na waajili
Lakini katika kuajiliwa huko wapo ambao wameajiliwa na watu sahihi lakini wapo ambao wameajiliwa na watu wasio sahihi
Sasa Basi Kuna watu hawafai kabisa kufanya kazi chini yao labda uwe hauna jinsi naa hata Kama...
Habari wana JFM
Mimi nikijana wa kitanzania,niko na uhitaji wa kazi yeyote iliyo halali.
Lakini pia nimesomea shahada ya Information Technology ,mwenye connection na kazi naomba anisaidie .
Napatikana singida Tanzania.
Email: samwelnduro@gmail.com
Phone:0744968695
Habari wanajamii forum samahan kama ntakuwa nje ya mada ila nilikuwa nahitaji msaada wenu mtu yeyote mwenye connection ya kazi aniambie elimu yangu ngazi ya Diploma ya manunuzi
Usilipe pesa kupata kazi mtandaoni*
KWA SABABU ⬇️⬇️⬇️
Nimejitolea kumsaidia kila kijana mwenye uhitaji na kazi bila kujali elimu yake
kwa sasa nitaposti kazi zote kwenye huu uzi na ni bure kabisa hakuna pesa za udalali
kuwa karibu na huu uzi kisha niambie upo wapi na unaweza nini
KUMBUKA...
Marejea visiwa vilivyoko ziwa Victoria zaidi sababu huko ndiko nilikokuwa enzi hizo.
Sijajua kwa Sasa kukoje sababu mpaka Sasa ni zaidi ya miaka 18 tangu nitoke.
1.Kuuza pombe kali na gongo kwa wavuvi
2.Kuuza madawa ya binafamu na kutoa tiiba kama vile kushona walevi waliopasuana sehemu za...
Hakika kwa yanayoendelea naamini,toka amepigwa kwenye kura hakuwahi kuongelea Chadema wala kuhudhuria vikao,hata jana kwenda kumsalimu Lissu ni kujiosha tu nami nasema mtakuja kuamini msiyoamini.
Hata wengi wanaopinga na mambo ndani ya chama ni watu waje wa karibu,wengine viongozi wenzake mf...
Ndugu zangu nahitaji kazi nipo KIBAHA MAILI MOJA, Kazi nazoweza kufanya ni
1.Ulinzi
2. Kuhudumia wateja eneo lolote la biashara au bar
3. kazi zote za nguvu hata viwandani
4. kazi za hotelini
Kama una kazi nipigie 0681050265 Asante. 🙏
Naitwa Fredy Gendo, nipo Kilimanjaro Moshi, natafuta kazi nimesomea uongozi wa biashara ngazi ya cheti na nina VIP katika upande wa udereva, naomba msaada wenu wadau, barikiwa.
JF inaenda viwango vingine vya kimataifa zaidi.. Tunajiribu kupanua wigo wa mijadala na kazi za ubunifu za maonesho mbali mbali za wabunifu kwenye nyanja zote ambao ni maarufu duniani
Kwa kushirikisha kazi zao kwenye mitandao yetu kunatupa nasi nafasi ya kuzitambua na kuzienzi kazi zao adhimu...
"Tunapokufa, pesa zetu zinasalia benki... Lakini tunapoishi, hatumiliki pesa za kutosha kwa matumizi. Kwa kweli, tunapotoka, bado kuna pesa nyingi ambazo hazijatumika.
Mfanyabiashara mkubwa wa China alikufa. Mke wake, akiwa amebakiwa na dola bilioni 1.9 benki, alioa dereva wake. Dereva alisema...
Habari wadau.
Poleni na majukumu ya kujenga taifa.
Moja kwa moja kwenye mada mimi shuka chini niliomba kupigwa ban endapo Simba atafuzu kwenda Nusu Fainali.
Dah! MUNGU saidia akafuzu.
Sasa Mods wakawa wamesahau kunilamba ban sijui mbeya gani akafukunyua uzi wangu hatimae nikapigwa ban...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.