Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,067
- 2,454
Habari wakuu,
Mimi ni mwandishi wa makala mwenye uzoefu mkubwa katika kuandika maandishi yenye ubora wa hali ya juu kwa lugha zote mbili yani Kiswahili na Kiingereza. Nimejikita zaidi katika sekta ya utalii, safari, michezo, kamari na masuala ya kijamii, huku nikitumia mbinu za kisasa za SEO kuhakikisha makala zangu zinawafikia wasomaji wengi mtandaoni.
Kwa sasa, ninafanya kazi na tovuti maarufu ya We Are Zanzibar, ambapo nimechangia kwa kiasi kikubwa kuimarisha ubora wa maudhui yao. Hapa ni baadhi ya kazi zangu zilizofanikiwa zaidi:
Wasiliana nami kupitia:
PIA KWA WALE MTAKAOFIKA ZANZIBAR KWA SABABU MBALIMBALI mkihitaji usagiri wa taxi msisite kunitafuta kwa mawasiliano hayo hapo juu, hizi hapa chini ni bei zetu kutoka Airport kwenda sehemu mbalimbali;
Pax From To
1-4 Airport Town Price 30k
5-8 Airport Town Price 60k
1-4 Airport Bububu Price 40k
1-4 Airport Fumba Price 50k
5-8 Airport Bububu Price 70k
5-8 Airport Bumbwini 90k
5-8 Airport Fumba Price 70k
1-4 Airport Kiwengwa Price 70k
5-8 Airport Kiwengwa Price 100k
1-4 Airport Bumbwini Price 70k
1-4 Airport Chwaka Price 70k
1-4 Airport Matemwe Price 70k
1-4 Airport Paje Price 80k
5-8 Airport Chwaka Price 110k
5-8 Airport Matemwe Price 110k
5-8 Airport Paje Price 110k
5-8 Airport P/Mchangani Price 100k
1-4 Airport Bwejuu Price 80k
1-4 Airport Jambiani Price 80k
1-4 Airport Kendwa Price 80k
1-4 Airport Kizimkazi Price 80k
1-4 Airport Makunduchi Price 90k
1-4 Airport Michamvi Price 90k
1-4 Airport Nungwi 80k
1-4 Airport Pongwe Price 80k
1-4 Airport Pwani Mchangani 70k
5-8 Airport Bwejuu Price 110k
5-8 Airport Jambiani Price 110k
5-8 Airport Kendwa Price 110k
5-8 Airport Kizimkazi Price 110k
5-8 Airport Makunduchi Price 130k
5-8 Airport MichamviPrice 130k
5-8 Airport Nungwi City 120k
5-8 Airport Pongwe Price 110k
(PAX IELEWEKE KUWA NI IDADI YA WATU)
Asanteni, wakuu sana.
Mimi ni mwandishi wa makala mwenye uzoefu mkubwa katika kuandika maandishi yenye ubora wa hali ya juu kwa lugha zote mbili yani Kiswahili na Kiingereza. Nimejikita zaidi katika sekta ya utalii, safari, michezo, kamari na masuala ya kijamii, huku nikitumia mbinu za kisasa za SEO kuhakikisha makala zangu zinawafikia wasomaji wengi mtandaoni.
Kwa sasa, ninafanya kazi na tovuti maarufu ya We Are Zanzibar, ambapo nimechangia kwa kiasi kikubwa kuimarisha ubora wa maudhui yao. Hapa ni baadhi ya kazi zangu zilizofanikiwa zaidi:
- SEO yenye matokeo chanya: Makala zangu kama eSim Zanzibar, Daladala Zanzibar, Fukuchani Ruins, Forodhani Market, na Msonge Organic Family Farm zimefanikiwa kuwa za kwanza au ndani ya tano za mwanzo kwenye matokeo ya utafutaji wa Google. Hili limeongeza trafiki ya tovuti kwa kiasi kikubwa, jambo ambalo ni ushahidi wa uwezo wangu wa kutumia mbinu bora za SEO.
- Makala zenye maudhui ya kina na utafiti wa kipekee, mfano; Top 10 Zanzibar Tourism Attractions : (Mwongozo wa kina wa vivutio 10 bora Zanzibar), Prison Island: )Makala inayochunguza historia ya kisiwa hiki pamoja na wanyama wake wa kipekee kama kobe wakubwa [giant tortoises])
- Mwongozo wa malazi: Nimeandika makala zinazochambua hoteli bora, hosteli, na kambi zinazopatikana Zanzibar, zikilenga mahitaji ya aina mbalimbali za wasafiri.
- Utafiti wa kina wa mada yoyote kabla ya kuandika, kuhakikisha maudhui yangu ni sahihi na ya kuaminika.
- Kuandika kwa mtindo wa kuvutia na wa kipekee, unaoendana na malengo ya mteja.
- SEO bora, inayohakikisha makala zinapata nafasi za juu kwenye matokeo ya injini za utafutaji.
Wasiliana nami kupitia:
- Simu/WhatsApp: 0679104011
- Barua pepe: lucktosh97@gmail.com
PIA KWA WALE MTAKAOFIKA ZANZIBAR KWA SABABU MBALIMBALI mkihitaji usagiri wa taxi msisite kunitafuta kwa mawasiliano hayo hapo juu, hizi hapa chini ni bei zetu kutoka Airport kwenda sehemu mbalimbali;
Pax From To
1-4 Airport Town Price 30k
5-8 Airport Town Price 60k
1-4 Airport Bububu Price 40k
1-4 Airport Fumba Price 50k
5-8 Airport Bububu Price 70k
5-8 Airport Bumbwini 90k
5-8 Airport Fumba Price 70k
1-4 Airport Kiwengwa Price 70k
5-8 Airport Kiwengwa Price 100k
1-4 Airport Bumbwini Price 70k
1-4 Airport Chwaka Price 70k
1-4 Airport Matemwe Price 70k
1-4 Airport Paje Price 80k
5-8 Airport Chwaka Price 110k
5-8 Airport Matemwe Price 110k
5-8 Airport Paje Price 110k
5-8 Airport P/Mchangani Price 100k
1-4 Airport Bwejuu Price 80k
1-4 Airport Jambiani Price 80k
1-4 Airport Kendwa Price 80k
1-4 Airport Kizimkazi Price 80k
1-4 Airport Makunduchi Price 90k
1-4 Airport Michamvi Price 90k
1-4 Airport Nungwi 80k
1-4 Airport Pongwe Price 80k
1-4 Airport Pwani Mchangani 70k
5-8 Airport Bwejuu Price 110k
5-8 Airport Jambiani Price 110k
5-8 Airport Kendwa Price 110k
5-8 Airport Kizimkazi Price 110k
5-8 Airport Makunduchi Price 130k
5-8 Airport MichamviPrice 130k
5-8 Airport Nungwi City 120k
5-8 Airport Pongwe Price 110k
(PAX IELEWEKE KUWA NI IDADI YA WATU)
Asanteni, wakuu sana.