kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Y

    JamiiForums Tanzania Kuacha kazi

    Habari Wana JF natumaini muwazima Naomba kuuliza niliajiriwa nimwenzi wa pili Sasa ila naona mambo yanaingiliana je? Kunauwezekano wakiacha kazi na baadae nikishakaa sawa nikarudi utumishi nikapambana tena kupata
  2. M

    JamiiForums Tanzania Heche ajiuzulu mapema, ameshindwa kazi

    Chama hivi sasa kimekosa nidhamu hasa kuibuka kundi G55. Jukumu la makamu ni kuweka sawa nidhamu ndani ya chadema. Heche kashindwa kazi hio, ajiuzulu kabla ya mambo kuharibika
  3. prync

    JamiiForums Tanzania Oya wazeee habari, ivi wataalamu wa interview za TBS embu tupeanile possible angles hasa kwenye kazi za CIVIL ENGINEERS

    Oya wazeee habari, ivi wataalamu wa interview za TBS embu tupeanile possible angles hasa kwenye kazi za CIVIL ENGINEERS
  4. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Juma Mwambusi afukuzwa kazi Coastal siku moja kabla haijakutana na Yanga

    GSM mungu anakuona Mwambusi aliacha kazi Yanga huku machozi yanamtoka kwa kugombana na GSM Mwambusi alisikika kwenye mitaa ya makorola Tanga kuwa lazima awakazie Yanga. Kufumba na kufumbua anarudi ofisini anakutana na barua ya Thank You Return to sender Coastal anaenda kukutana na Yanga bila...
  5. excel

    JamiiForums Tanzania Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu maji yamezidi Unga

    Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu sana naona maji yamezidi Unga Naja kwenu JF Experts mnisaidie kutafuta ajira hapa na Pale katika field za Logistics and Transport Napatikana Jijini Mwanza, itapendeza zaidi nikifanikisha hapa maana siwezi kusafiri kwenda Mbali kwa sababu ya mzazi wangu.
  6. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia usajili namba zingine zilizosajiliwa kwa NIDA taarifa zinazokuja si za kweli, HALOTEL wafanyie kazi jambo hili kabla halijaleta mtafaruku

    Nimeshangazwa sana nilipojaribu kuangalia line za mitandao mingine zilizosajiliwa kwa namba yangu ya NIDA kwa kubonyeza *106# kisha nikachagua kuangalia line zote zilizosajiliwa kwa NIDA yangu, ndipo niliposhtuka kuona kuna namba nyingi ikiwemo ya airtel, ambayo baada ya kujaribu kumpigia...
  7. Youngstunna

    JamiiForums Tanzania Unatafuta kazi ??

    Tunakusadia kufanya maombi ya kazi Huduma zetu 👉 kukuandalia Cv yenye muonekano wa kitaifa na kimataifa. 👉 Kukujulisha taarfa mbali mbali za nafasi za kazi kulingana na taaluma yako. 👉 Kufanya maombi ya kazi kwa niaba yako sehemu mbalimbali ndani ya mwaka mzima. 👉Kukujulisha...
  8. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Mbali na kazi unayoifanya ni kazi gani nyingine unaipendelea zaidi lakini unajizuia kwa sababu zako binafsi?

    Ugonile. Binafsi kipindi niko mdogo ndoto yangu kubwa ilikua kuwa Hakimu/Judge lakini baada ya kugraduate iyo kozi na kuipractice kidogo mahakamani niliona majukumu ni mengi sana ambayo yataniitaji niwe mtu wa kusoma kila siku kitu ambacho nakichukia sana ivyo nikaamua kuipiga chini nikageukia...
  9. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Ana miaka 47 anaishi kwa Wazazi wake, kazi hana na anataka kuja kwetu kujitambulisha

    Mambo mengine ni ya aibu hata kuyaelezea. Huyu BABA ana miaka 47, amenipita 12 years, niliwahi kutoka naye kimapenzi nikiwa chuo, Ila nikampiga chini baada ya kuona hana vision na hajui kusudi la yeye kuwepo duniani. Baada ya miaka mingi ya kuto onana, kwa kuwa Mimi niko Dodoma ninakoishi na...
  10. Muchaa

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Sales & office admin

    Anahitajika kijana mkazi wa Babati Qualification.. 1. Degree/Diploma in business or any related field 2. Awe mkazi wa Babati 3. Awe na uwezo wakusafiri kupita katika wilaya zilizopo Mkoa wa Manyara..... Mawasiliano piga 0687222251
  11. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi, mshahara Laki 1 na 80. DSM

    Anatafutwa Dada wa kazi kwa ajili ya kumlea mtoto wa miezi 9. Umri wake iwe ni kuanzia miaka 30 hadi 40. Mahali pa kazi ni mbezi dar es salam. Nicheki inbox tuongee.
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ndiyo wakali wa hizi kazi, inafuzu kwenda nusu fainali vizuri tu

    Ni kweli, njia ambayo Simba imetumia kufuzu ni ngumu sana. Baada ya kuona goli la ugenini halipatikani, badala ya kuendelea kulilazimisha ilitakiwa kujihami zaidi ili walau irudi ikiwa na deni la 0-1. Yote kwa yote, yaliyopita si ndwele. Sitaki tena kuangalia kilichotokea kule Misri. Hizi mechi...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Dada Zetu hadi unafika hatua ya kujiuza/ukahaba/umalaya au u barmaid ni kwamba umekoswa kabisa kazi ya kufanya?

    Hi 👋 Siyo jambo jipya wala geni au kwamba hujawahi sikia la hasha. Neno kahaba limetajwa sana kwenye vitabu vya dini bila shaka ukahaba ulianza tangu enzi hizo. Swali langu ni hili hapa duniani kote kuna kazi kibao halali na nzuri kabisa za kufanya bila kificho,hofu wala woga wowote na...
  14. nipo online

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kazi waaminifu wanapatikanaje? (nina shida nao)

    Sitaki kuachia kazi inayonipa mitaji ya kufungua biashara hapa mtaani Lakin changamoto inakuja jinsi ya kuwapata vijana wa kukufanyia kazi. Kama kuna mtu humu jukwaani mmewahi pitia hii kadhia ama hitaji naomba experience, kwa sasa nina kijana lakini anatarajia kwenda shule amefaulu kidato cha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya uwinga pale kariakoo haina tofauti na utapeli. Je unafanyaje kuepuka kuuziwa bidhaa kwa bei ghali na hawa vijana wanaojiita mawinga

    Habari zenu Kukua kwa mitandao ya kijamii nako kumeongeza idadi kubwa ya vijana wanaojinasibu kuwa ni mawinga hususani pale katikati ya jiji la Dar-es-salaam, naizungumzia kariakoo. Kariakoo ni alama ya biashara katika nchi ya Tanzania ,ni sehemu yenye maduka mengi sana ya bidhaa mbalimbali...
  16. B

    JamiiForums Tanzania KAZI YOYOTE YA IT ITANIFAA

    Wakuu, mnaendeleaje humu? Naamini Mungu anaendelea kuwapigania. Kuhusiana na mada tajwa hapo juu, natafuta kazi katika sekta ya IT. Nina ujuzi katika Linux Server Administration, Database Administration, Computer Networking, na misingi ya Usalama wa Mfumo (System Security Basics). Ikiwa kuna...
  17. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kama haufanyi kazi ngumu, mlo mmoja kwa siku unatosha

    Huwa nashangaa Sana MTU anakula milo mitatu ikiwa Kazi zako ni za Ofisini Mwisho unapata kitambi , kisukari na pressure . Ukila mchana usiku usile
  18. youngkato

    JamiiForums Tanzania Nimefanya kazi za freelancing na agencies nyingi sana nimegundua haya

    Nimefanya kazi za freelancing na agencies nyingi sana. Nimejifunza Jinsi wanavyofanya kazi, Jinsi wanavyotafuta Clients Wanavotangaza huduma zao wanavyowasilisha offer zao. Meetings zao nyingi sana Wanavyofanya project management wakiwa na team na hawajuani. Wanafanya hivi 👇👇 1. Cold...
  19. Knock life

    JamiiForums Tanzania Nimewahi kuishi mwaka mmoja bila kufanya kazi yoyote ila nilikuwa nakula vizuri , nalipa kodi , nasaidia ndugu na wazazi

    Katika MAISHA kuna mambo mengi Nilikaa mwaka mmoja bila Kazi ya kuamka Ahsubui Ila mishe mishe za udalali Mara yes Mara no Ila nilikuwa nakula Navaa Nalipa kodi Nasaidia ndugu na wazazi Pasipokufanya Kazi yoyote ya mshahara Kipindi hiki nilijifunza kuwa haitaji kufanya Kazi kwa bidii ili...
  20. CFX

    JamiiForums Tanzania Umebanwa Na kazi unataka mtu wa Kukuingizia Data kwenye Mfumo wako wa Ofisini?

    Habari naitwa Rashid kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Unaweza kuwa unahitaji usaidizi wa muda wa kuingiziwa data zako kwenye mifumo ofisini kwako Usisite Kunitafuta, Nina ingiza Data kwenye Database na mfumo wowote Ule kwa usahihi. Namba za Simu 0627225627/ 0745747368 Email...
Back
Top Bottom