Ili RPC afukuzwe kazi au ahamishiwe Makao Makuu inahitajika matukio mangapi ya kihalifu yatokee kwenye Mkoa wake?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,650
218,105
Hili ni swali ninalompelekea IGP Simon Sirro, kwamba Ili RPC aonekane ameshindwa kazi ya kulinda usalama wa Raia na mali zao kunahitajika uhalifu wa kiwango gani utokee?

Jana ni Lissu, leo ni Mbowe, kesho ni nani?

Ili ionekane RPC kishashindwa kazi ni kipi kinatakiwa kitokee, na je ni Umri upi wa mwisho kwa ofisa wa polisi kuendelea kulitumikia jeshi hilo, anaruhusiwa hata akiwa mzee wa miaka 70? Uwezo wake wa kulitumikia jeshi utakuwa na weledi wowote?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mkuu....
Naomba nijibu hoja kwa kuambatanisha picha tu ndio iongee
IMG-20200609-WA0003.jpg
 
Na je ni Umri upi wa mwisho kwa ofisa wa polisi kuendelea kulitumikia jeshi hilo , anaruhusiwa hata akiwa mzee wa miaka 70 ? je uwezo wake wa kulitumikia jeshi utakuwa na weledi wowote ?
Hii haina tofauti na kung'ang'ania uongozi wa chama kwa zaidi ya miaka 20!
 
Ina maana uneambiwa humu IGP Sirro yumo Mkuu!? Kwann usifunge Safari uende Makao makuu ukahoji
 
Je ni matukio mangapi yanahitajika ili kumpandisha RPC cheo.

Mroto kisha kamata matukio mengi sana hapo DODOMA sasa huu usanii wa mbowe na kundi lake hauna mashiko.

Yeye aje atuelezee matumizi ya B8 za michango.

Matumizi ya ununuzi wa magari hewa nk.

Mnyika kajikanyaga leo kueleza watu waliokuwa na mbowe eti si wakati muafaka kuwataja ila anakiri mbowe hakuwa peke yake saa ya tukio.

Duh!
 
ingekuwa hivyo kazi ya upolisi ingekuwa ngumu kuliko zote duniani ndugu yangu.

maana hata yeye mwenyekiti ana maswali anatakiwa kujibu,ila bahati mbaya siasa kila sehemu.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
RPC Muroto kamanda Polisi Mkoa wa Dodoma ameshindwa kazi ya kulinda Usalama wa Raia na Viongozi wa Jiji la Dodoma.
RPC Muroto anastahili kupumzishwa(to be fired) kwa Uzembe kutokana na matukio makubwa yanayotokea Dodoma na hafanyi lolote.

Wakti Lissu anapigwa Risasi Muroto alikuwa RPC lakini mpaka leo miaka zaidi ya 2 hajakamata hata Kiroboto! Kifo Cha Sheikh Bura keep na zaidi ya mwaka hajakamata hata Kiroboto na Jana tena Mhe Mbowe kushambuliwa na Watu wasiojulikana Muroto anapiga sound tu. Ni saa ya kutumbuliwa akapumxike maana kazi imemshinda.
Kama ataachwa aendelee kuwa RPC Dodoma basi Watz wajue kuwa yeye ni SEHEMU ya genge la WASIOJULIKANA.
 
Nani kakwambia mbowe ndio raia tu alewe zake huko ajekutusumbua

Back
Top Bottom