Natafuta mtu wa kufanya naye kazi. Nina ujuzi wa kutengeneza bidhaa za aina mbalimbali lakini sina mtaji

muksinihamisi

Member
May 1, 2020
14
6
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22, Elimu yangu ni ya secondary nimemaliza mwaka 2017.Nashukulu mungu nilipata ufaulu mzuri ila sikuweza kupata chaguzi.Kutokana na uchumi sikuweza kuendelea na masomo bali nikajiingiza kwenye ujasiriamali kwa bahati mzur nikapata ujuzi wa kutengeneza bidhaa mbalimbali za viwandani kama vile sabuni za miche aina zote ikiwemo medicated soap aina tofauti tofauti,sabuni za maji aina zote kma vile sabuni za kudekia(tiles cleaner)handwash,jik,shampoo nk.

Pia,utengenezaji wa mafuta ya mgando,lotion nk.Nimeshindwa kukuza hii idea kutokana na capital.Hivyo naomba mtu ambaye tutaweza kushare idea na kuikuza wenda tuka fanya kitu
 
Ndugu mambo vp nimeona kwenye uzi hapa kwamba unauwezo wa kutengeneza bidhaa mbalimbali za viwandani nakuomba ndugu kama hautajali nami unielekeze maana nami nimekwama kama wewe sina mbinu kama atojali mawasiliano yangu hayo no 0693151519
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22, Elimu yangu ni ya secondary nimemaliza mwaka 2017.Nashukulu mungu nilipata ufaulu mzuri ila sikuweza kupata chaguzi.Kutokana na uchumi sikuweza kuendelea na masomo bali nikajiingiza kwenye ujasiriamali kwa bahati mzur nikapata ujuzi wa kutengeneza bidhaa mbalimbali za viwandani kama vile sabuni za miche aina zote ikiwemo medicated soap aina tofauti tofauti,sabuni za maji aina zote kma vile sabuni za kudekia(tiles cleaner)handwash,jik,shampoo nk.

Pia,utengenezaji wa mafuta ya mgando,lotion nk.Nimeshindwa kukuza hii idea kutokana na capital.Hivyo naomba mtu ambaye tutaweza kushare idea na kuikuza wenda tuka fanya kitu
Kaka nione dm tuyajenge

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22, Elimu yangu ni ya secondary nimemaliza mwaka 2017.Nashukulu mungu nilipata ufaulu mzuri ila sikuweza kupata chaguzi.Kutokana na uchumi sikuweza kuendelea na masomo bali nikajiingiza kwenye ujasiriamali kwa bahati mzur nikapata ujuzi wa kutengeneza bidhaa mbalimbali za viwandani kama vile sabuni za miche aina zote ikiwemo medicated soap aina tofauti tofauti,sabuni za maji aina zote kma vile sabuni za kudekia(tiles cleaner)handwash,jik,shampoo nk.

Pia,utengenezaji wa mafuta ya mgando,lotion nk.Nimeshindwa kukuza hii idea kutokana na capital.Hivyo naomba mtu ambaye tutaweza kushare idea na kuikuza wenda tuka fanya kitu
NimekuPM namba yangu ...tuwasiliane mara moja tuyajenge
 
Back
Top Bottom