Hivi kazi ya Reservation kwenye mbuga za wanyama zinafanyika kwenye maeneo gani?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Naomba kufahamu mtu akiwa anafanya upande wa Reservation ndani ya mbuga za wanyama anafanya upande wa Serikalini au Ni kwenye hotel za kitalii tu zilizoko ndani ya mbuga za wanyama?

Majibu tafadhali
 
Hotelini au kampuni ya safari infanya Kazi ya kubook hoteli zote Kwa niaba ya mgeni.
 
Back
Top Bottom