kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. E

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Serikali yangu: Misallocation of employment inasababisha upungufu wa ajira Tanzania

    Naomba nirejee kwenye mada moja kwa moja. Kuna watumishi wanapangiwa vituo vya kazi na serikali alafu wanavikimbia na kuhamia private tena bila taarifa. Watu hao wanasababisha misallocation of employment, jambo ambalo linaongeza upungufu wa ajira inchini. Kama watumishi hao wangebakia...
  2. JamiiForums Tanzania Mfumo Vodacom Airtime billing unafanyaje kazi?

    Nimepitapita playstore na nimeona kuwa ikitaka kununua kitu huu mfumo unatumika. Naomba kwa ambaye kawahi utumia au anajua jinsi unavyofanya kazi anijulishe namna unafanya kazi?
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Tourist Assistant

    Hi
  4. JamiiForums Tanzania TRA, mfumo wenu wa e-filing haufanyi kazi

    TRA acheni ubabaishaji. Kama hamkuwa tayari kuingia kwenye mfumo wa kidigitali mlitakiwa msubiri mpaka pale mtakapokuwa tayari. Sio kulazimisha kuonekana mpo advanced wakati ni ubabaishaji mtupu. Toka tarehe 1 February mtandao wenu unasumbua kufanya e-filing. Na due date ikipita mnaimpose...
  5. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ataka Walimu waongezewe kazi wafundishe masomo kuanzia matatu ili kupunguza uhaba wa Walimu

    Akikazia mawazo ya wabunge kama kawaida yake nimemsikia Spika ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuwaongezea masomo ya kufundisha walimu kwa maana ya kuwafundisha kuyafundisha tangu wakiwa vyuoni hasa vyuo vikuu ili kupunguza uhaba wa walimu na kuongeza tija kwa Wanafunzi. Akitolea...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa haki za Mtumishi wa Serikali aliyefukuzwa Kazi

    Wasalaam, naomba kujuzwa haki za mtumishi wa Serikali ambaye amefukuzwa kazi huku akiwa na Malimbikizo ya Mshahara ambayo hakulipwa. Je utaratibu ni upi? Na kipindi aliposimamishwa alikuwa akilipwa Nusu ya Mshahara je baada yabkufukuzwa analipwa kiasi cha nusu alichokuwa akikatwa wakati wa...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kazi ya Serikali sio kulisha watu, sitatoa chakula cha bure kwa wataokumbwa na njaa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewaagiza Watanzania kutumia mvua zinazonyesha kipindi hiki kulima mazao ya chakula na biashara ili kuepukana na janga la njaa, na endapo eneo lolote litakumbwa na njaa serikali haitokuwa tayari kupeleka chakula. Rais Magufuli ametoa...
  8. JamiiForums Tanzania CCM yaanza kuzifanyia kazi hoja za Lissu

    Wadau wa Jf mnakumbuka wakati wa kampeni Lissu alipinga suala la wamachinga kupewa vitambulisho ambavyo havina picha wala majina. Sasa baada ya kuumbuka kwa kutoa vitambulisho ambavyo havina picha wala jina la mhusika Serikali ya CCM imeamua kujirekebisha baada ya Lissu kuwashambulia wakati wa...
  9. JamiiForums Tanzania Je, mikataba ya utumishi wa umma inasemaje kuhusu kufanya kazi part time?

    Kila mtu anajua kuwa mishahara ya watumishi wa umma ni midogo sana na kiuhalisia haikizi mahitaji ya kila siku. Watanzania wengi wapo kwenye utumishi wa umma sababu tu ni ajira ya kudumu na ukiwa nayo kiasi fulani unaweza kupoza rim. Hivi mtu anakuwa na net pay ya 350000 kwa maisha ya leo...
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa Waandishi wa kujitegemea -Wepostnow

    Wepostnow tuunatafuta waandishi wa kujitegemea kujiunga na timu yateu.Utaweza kupata hadi kiasi cha shilingi 460,000 kila mwezi (200$). Wepostnow inakupa nafasi ya kuandika kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza. Pia mfumo wetu unakupa nafasi ya kufanya kazi muda wowote ule kupitia simu yako ya...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaoning'iniza vitambulisho vya kazi nje ya ofisi zao huwa wanamaanisha nini?

    Huwa nashindwa kuwaelewa jamaa ambao huwa wanatoka mazingira ya ofisi zao wakiwa bado wamening'iniza vitambulisho vyao. Yaani utawakuta mtaani wanatembea navyo hata huko migahawani bado wanavyo tu. Huwa inakua ni mikwara tu. Au ni Usongo baada ya kusota mtaani Bila ajira kwa muda mrefu Ama...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi TANROAD mikoani mnafanya kazi gani?

    Hakuna kitu mnanikera kama mashimo yaliyoko lami ambayo yanadumu mwaka mzima. Mashimo yanaharibu gari, yanasababisha ajali mbaya Sana na kupunguza uzalishaji na nguvu kazi ya Taifa. Juzi nimepita njia ya Iringa Dodoma. Mashimo yaleyale niliopita mwaka juzi nimekuta yameongezeka hasa hasa...
  13. JamiiForums Tanzania Hizi Ikulu ndogo zilizopo kila mkoa kazi yake ni nini?

    Habari wakuu, kumekuwa na malalamiko mengi kuhusiana na mweshimiwa kujichimbia Wilayani Chato Kwa muda sasa, maneno ni mengi, wengine wanadai kakimbia Corona wengine wanadai mzee kaenda kupumzika home kwao baada ya purukushani za kampeni n.k.. Naamini kila mkoa kuna Ikulu ndogo, sijajua kama...
  14. JamiiForums Tanzania Sijaona umuhimu wa sekretarieti ya ajira kurudia majina ya waliopata kazi katika matangazo mapya ya kazi

    Niende moja kwa moja kwa mada. Inasikitisha na ni fedheha kwa taasisi kubwa ambayo iko chini ya ofisi ya Raisi kuwaongopea/ kuwahadaa watanzania katika kutenda haki katika kutoa ajira kwa Watoto wa maskini pasipo kuwa na ukiritimba wa namna yoyote. Leo nilikuwa nikipitia tovoti ya Sekretarieti...
  15. JamiiForums Tanzania Ndio! Mazingira magumu ya kufanya kazi; Ndio! Malipo ya chini; Ndio! Hata hivyo sio kisingizio cha kubaka na kushambulia wagonjwa na wanafunzi

    Wafanyakazi wa Afya na Walimu ni waajiriwa wakuu serikalini. Mshahara wao na hali yao ya kazi ni duni sana . Na tunapaswa kuwahurumia na kufanya kazi kwa bidii ili kuboresha hili swala. Walakini, katika siku za hivi karibuni tumesikia visa kadhaa vya kushambuliwa na ubakaji wa wagonjwa na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi amtembelea Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, wasema uchaguzi umekwisha sasa kazi tu!

    Waziri wa foreign affairs Prof Kabudi na watendaji wakuu wa wizara yake wamekutana na makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar maalim Seif na kukubaliana kuchapa kazi kwa pamoja. Maalim Seif amesema uchaguzi umekwisha aliyepata kapata na aliyekosa amekosa cha muhimu ni watanzania kuungana pamoja...
  17. M

    JamiiForums Tanzania TFF, Benchi la Ufundi la Taifa Stars huko CHAN 2021 nimeshamaliza Kazi kwa Kikosi hiki Namibia leo na Guinea Wiki ijayo wanakufa!

    ANGALIZO Tafadhali kisibadilishwe na pia Kicheze kama ambavyo nimekipanga kwani Kiunyangindo kimeonyesha Mafanikio na tutashinda mechi zilizobakia. Kikosi cha Kuanza kiwe hiki tu.... 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Yassin Mustafa 4. Ibrahim Ame ( kama bado hajapona aanze Dickson Job )...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kazi za machimbo Mererani

    Habari wakuu, Naomba mwenye taarifa au uzoefu na maeneo tajwa hapo juu kwa utafutaji Kifupi nilibahatika kuajiriwa na taasisi kubwa ya kifedha hapa nchini, mshahara haukuwa mbaya, nilitaka kubadili mazingira ya kazi na kujiajiri kwenye biashara, vile isivyo bahati nilifeli. Tangu hapo...
  19. V

    JamiiForums Tanzania Wenye kuhitaji kazi za ndani fursa ndo hii

    Kampuni hii imejikita kuwatafutia mabinti wa kike kazi za ndani
  20. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Tanzania Red Cross Society

    Dear All, This is for your information and action. Regards.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…