kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Utapenda namna Babutale, Fella na Sallam walivyo professional kwenye kazi yao

    Lazima tukubali huu utatu wa mameneja wa WCB wanafanya kazi yao kwa weledi mkubwa. Ni ukweli usiopingika hata wewe unaesoma hapa, mtoto wako akiwa na kipaji kikubwa cha kuimba. Ukiambiwa umtafutie management serious ya kumpa mafanikio huu utatu ndio utakuwa wa kwanza kuja kichwani mwako...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi BASATA ipo kweli? Inafanya kazi gani kama nyimbo humu nchini ni matusi matupu, BASATA jikagueni kama mnatosha

    Soma haya mashairi ya nyimbo zinazopigwa kila uchao na watoto wetu wanasikiliza no wonder nimesoma huko Temeke watoto wanabakana sababu mojawapo ni manyimbo haya yasiyo na maadili. Kwaani BASATA mko wapi na mnafanya kazi gani kudhibiti hizi nyimbo....hawa wasanii si wamesajiliwa na ninyi? Kweli...
  3. JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu: Rais anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

    Leo Mama Samia ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe, alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na mkuu wa mkoa wa Tanga ambapo alianza na salam kutoka kwa Rais Magufuli "Kabla ya kuwapongeza...
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji awafuta kazi Wakuu wa Majeshi

    Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi amewafuta kazi wakuu majeshi wa ardhini na angani wakati nchi inapokabiliana na wanamgambo wa Islamic States kaskazini mwa nchi hiyo na uasi wa wanamgambo wanaohusishwa na chama kikuu cha upinzani. Katika taarifa iliyotolewa usiku Alhamisi rais hakutoa sababu ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania KAZI IENDELEE: Barabara ya Morocco - Mwenge wafikia asilimia 70

    Maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Morocco-Mwenge km 4.5 inayojengwa kwa njia 4 mpya, service road, taa za Kisasa, mifereji mikubwa ya kupitisha maji ukiwa umefikia asilimia 70.35. Mradi huu utapunguza kwa kiasi kikubwa msongamano wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi pamoja na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kuwa Mwenyekiti wa kamati ya harusi ni kazi sana

    Pledges za michango yote ni milioni 18, harusi ni mwezi huu wa tatu mwishoni, hadi muda huu watu wachache wametoa, cash iliyopo ni milioni moja kasoro. Bwana Harusi kachanganyikiwa kaniachia mipango yote nipange mimi, nafanyaje? Bwana Harusi aliahidi kutoa milioni tano lakini katoa laki tano...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina Shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and fisheries)

    Habari zenu ndugu, Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and fisheries). Naishi Ubungo Dar es salaam kwa sasa.Ninatafuta kazi katika sekta resmi na isiyo rasmi...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi nipate kipato cha kujikimu na familia yangu nina uzoefu wa kazi za ujenzi

    Kwema wana jukwaa la JF Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam tegeta nakuja mbele yenu kuomba kazi yoyoye halali ya kujipatia kipato. Maji yamenifika ukingoni baada ya kukaa muda mrefu bila kazi na na familia ya mke na mtoto mmoja na wote macho yao kwangu kama kichwa cha familia Nina uzoefu na kazi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kama Secretary, Switchboard, Safari Consultant, Receptionist au customer service nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10

    Hi, Mimi ni mwanamke wa miaka 35 naishi dar ni mlemavu wa miguu ni (disability) nina uzoefu wa zaidi ya miaka kumi kwenye kazi za Receptionist, Customers service, Switch board operator, Safari Consultant na Personal Assistant naombeni msaada wa kunisaidia kupata wanaotoa ajira asanteni sana...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, Elimu Diploma (Animal Health and Production)

    Habarini za humu ndugu zangu, Naitwa Deus graduate wa diploma ya udactari wa mifugo (Ordinary diploma in animal health and production), nimehitimu mwaka 2019 katika chuo cha mifugo LITA TENGERU ARUSHA (Livestock training agency- TENGERU). Baada ya hapo nimekuwa nikijitolea kutibu mifugo...
  11. JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi ya ushonaji

    FUNDI USHONAJI (FUNDI CHEREHANI) (TAILORS) 1.1 MAJUKUMU YA KAZI • Kushona nguo kulingana na mahitaji ya mteja. • Kufundisha na kushauri mteja kulingana na huduma anayohitaji. • Kutunza vitendea kazi vya ofisi. • Kusimamia kazi zote za mteja. • Kuweka kumbukumbu nzuri za wateja. • Kutathimini...
  12. JamiiForums Tanzania Daktari afukuzwa kazi kwa kumfanyia upasuaji mgonjwa ‘guest’

    Madiwani wa halmashauri ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro wamewafukuza kazi daktari na muuguzi wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tumuma za kumtoa mgonjwa wodini na kumpeleka nyumba ya kulala wageni na kumfanyia ya upasuaji wa tezi dume. Wakizungumza leo Jumanne 9 katika baraza kikao cha...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anatafuta kazi ya Udereva

    Wadau, ndugu yangu (mwanaume) anatafuta kazi ya udereva. Umri wake ni miaka 40. Elimu yake ni kidato Cha nne. Anayo leseni class C. Anao uzoefu wa miaka 15 akiendesha watu binafsi/mabosi/viongozi lakini pia magari makubwa ya masafa marefu. Makazi yake ni jijini Dar es Salaam akiwa na mke na...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote, Elimu yangu kidato cha nne

    Wana jamii naombeni kazi yeyote ile mdogo wenu napigika sana mtaani. Elimu yangu ni form4 nipo Dar es Salaam. Mawasiliano: 0692865543
  15. J

    JamiiForums Tanzania RC Mghwira: TRA acheni kufanya kazi kama polisi Wafanyabiashara siyo majambazi, mbunge asema kuwa tajiri imekuwa dhambi

    Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dr Mghwira amewatataka TRA kuacha kukusanya kodi kama polisi bali wazingatie dhana ya Huduma kwa mteja ( Customer Care) yaani kumjali mteja. Mghwira amesema wafanyabiashara siyo majambazi na siyo jambo jema kuwaona wakifunga biashara kila siku. Naye mbunge wa Hai mh...
  16. JamiiForums Tanzania Huu mchanganyiko wa kuboost kinga dhidi ya UVIKO-19 kuna una kazi nyingine kwa wenye ndoa

    Juzi koo lilikereketa sana, kama kawaida kuchukua tahadhari nikasema wacha nikachanganye mavitu nijidunge pema. Nikaoda kwa mke gengeni alete 1. Malimao 2. Tangawizi 3. Kitunguu saumu 4. Pilipili mbuzi Nikaviandaa nikablend vyote, nikachukua maji ya moto nikatia chumvi kidogo nikazimua ule...
  17. JamiiForums Tanzania Nawapongeza sana Uhamiaji makao makuu. Dkt Anna P. Makalala kazi yako inaonekana

    Wakuu za wakati huu. Naomba nipongeze uhamiaji makao makuu kwa huduma nzuri wanazotoa kiukweli, yani sikutegemea. Kiukweli askari wote (au nilokutana nao) wanahuduma nzuri sana, yani wanakuelewesha vizuri pasipoeleweka, wanatabasam na wana lugha nzuri sana na ya kukufanya utake kuuliza zaidi na...
  18. JamiiForums Tanzania Uzembe wako ndio Umasikini wako: Kazi hizi za 'Kichovu' zinalipa mno Ulaya/Marekani- Ila uwe 'Kidume' kweli

    Salaam, Kuna watu huwa wanawaponda sana wenzao waliopo Ng’ambo hasa Ulaya na Marekani wakidai kuwa ni ‘Wabeba Maboksi’ tu na hawana lolote. Kituko ni kuwa ukichunguza haohao wanaoitwa Wabeba Maboksi wengi tu ‘wametoboa’ na sasa wana maisha yao mazuri huko waliko. Mwingine anaweza kunidadisi...
  19. JamiiForums Tanzania Tangazo La Kazi : Nafasi za Kumwaga.

    Wakuu. Wakala wa Vipimo Tanzania wametangaza Nafasi za Kazi katika kada zifuatazo. 1. Afisa Vipimo daraja la III~ Nafasi 150. 2. Dereva Daraja la II - Nafasi. 55 Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 19 March. Changamkieni Fursa. Pitia hapa kwa maelezo zaidi. www.portalajira.go.tz
  20. JamiiForums Tanzania Uzi maalum jinsi ya kupata kazi miradi mikubwa kama Bwawa la Nyerere, Bomba la mafuta, Standard Gauge n.k

    Habari zenu wanabodi! Hebu tujadili leo jinsi gani unaweza ukapata kazi kwenye miradi mikubwa niliyoitaja hapo juu na mengineyo. Kwanza tumuombe Mungu aujalie uzi huu uwe na wachangiaji ambao sio wabinafsi, ambao watashare experience zao mbinu gani wanazotumia au walizotumia kupata kazi kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…