N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 6,825
- 9,532
Soma haya mashairi ya nyimbo zinazopigwa kila uchao na watoto wetu wanasikiliza no wonder nimesoma huko Temeke watoto wanabakana sababu mojawapo ni manyimbo haya yasiyo na maadili. Kwaani BASATA mko wapi na mnafanya kazi gani kudhibiti hizi nyimbo....hawa wasanii si wamesajiliwa na ninyi? Kweli chombo cha serikali mnapitisha nyimbo zenye matusi hivi?
Hizo bia unazomnunulia blaza
Ukimpiga kimoko ukilala atatangaza
Sio pesa tu usipokaza
Usiwe kilaza bro we mpeleke moto
Peleka moto, mpelekee moto
Peleka moto, mpelekee moto
Peleka moto, mpelekee moto
Peleka moto, mpelekee moto
Usiishie kununua chipsi tu
Nyama nyingi kuliko chipsi zipisi mmh
Anakula zege wanakodolea mahips tu
Na unapasuka hujanyonya hata lips, duu
Haa, kwao wanamuita kicheche
Tembeza moto mpaka mwisho usitoke na cheche
Kati kati tu utaskia acha ipoe nipepee
Afu ukicheki comrade rungu kipepee
Huo natoa kama mfano tu lakini ukweli ni kwamba BASATA wazazi hatuwaelewi mnakipeleka wapi kizazi chetu....Aidha Mamlaka nyingine zisaidiane na BASATA kuzuia huu upuuzi wa kuimba na kughani matusi.
Rapper Nikki wa Pili kutoka kundi la Weusi aliwahi kueleza kuwa kipindi cha kampeni (2015) kulikuwa na nyimbo nyingi ambazo zilikuwa kinyume na maadili. Kupitia ukurasa wake wa twitter aliandika; “Tukizungumzia nyimbo za matusi bwana zilitoka wakati wa kampeni, bwana we matusi ya nguoni, tena yakitukana watu wazima na heshima zao, hapa walezi walikaa kimyaaa,” alisema Nikki.
Bado nyimbo nyingi za Bongo Fleva zinaimba matusi sana...kwanini BASATA mnakaa kimya??!! Nyimbo hasa za wale vijana wa kundi maarufu ndio zina matusi kwelikweli lakini hatujawahi kusikia wakichukuliwa hatua.